May 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Serukamba amvaa Spika Ndugai

Spread the love

 

MBUNGE wa zamani wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba amemtaka Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kuacha kupotisha umma kuhusu mkopo wa Sh.1.3 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyopata mkopo kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) zenye lengo la kupambana na janga la virusi vya korona (UVIKO-19).

Leo Jumanne, tarehe 28 Desemba 2021, Serukamba amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu kauli ya Spika Ndugai kukosoa mikopo kwamba deni limekuwa kubwa linaweza na ipo siku nchi inaweza kupigwa mnada.

Fuatilia mazungumzo yote ya Serukamba.

error: Content is protected !!