MOTO umewaka ndani ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) pamoja na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), baada ya Rais Samia...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, amekiandikia barua Chama cha Wananchi (CUF), akikitaka kijieleze dhidi malalamiko ya wanachama...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021WADAU wa ukatili wa jinsia nchini Tanzania, wameshauri waajiri wote pamoja na Serikali kuchukua hatua madhubuti ya kukomesha vitendo vya ukatili vinavyorejesha...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa wasaidizi wake, kutowabudhudhi wawekezaji hususan wazawa kwani kufanya hivyo kunachelewesha fursa za ajira....
By Regina MkondeDecember 3, 2021RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amekili kwa kinywa chake kuwa Ligiya msimu huu ni ngumu na hivyo...
By Kelvin MwaipunguDecember 3, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, nchini Tanzania, imekubali ombi la mwandishi mwandamizi wa habari nchiniwanahabari mkongwe, Saed Kubenea, kuondoa...
By Kelvin MwaipunguDecember 3, 2021MARA baada ya kuingia mkataba hivi karibuni wa kuwa mdhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kampuni ya Gsm Group imeonesha nia...
By Kelvin MwaipunguDecember 3, 2021MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), imeamuru Serikali ya Tanzania, imlipe fidia ya zaidi ya Sh. 50 milioni,...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imechangia zaidi ya Sh milioni 84 kusaidia mipango ya serikali katika mapambano dhidi ya VVU na...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MWAKILISHI Tanzania (Miss Tanzania) katika mashindano ya urembo duniani – Miss World, Juliana Rugumisa ameshindwa kwenda kushiriki katika mashindano hayo mwaka huu...
By Masalu ErastoDecember 2, 2021ALIYEKUWA mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, anatarajiwa kutinga mahakamani, kesho Ijumaa, tarehe 3 Desemba 2021, ili kujibu...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatembelea mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya na Jaji Joseph Warioba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi maadhimisho ya sherehe za uhuru wa miaka 60 Tanzania Bara na kuwataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema ili nchi iondokane na upungufu wa sukari, inahitajika uongozi madhubuti katika kusimamia uzalishaji wake....
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amewaomba Watanzania washirikiane katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19). Anaripoti Regina...
By Regina MkondeDecember 2, 2021Serikali ya Uganda na ubalozi wa China mjini Kampala wamekanusha ripoti kwamba China inaweza kuchukua udhibiti wa uwanja wa ndege wa kimataifa...
By Masalu ErastoDecember 2, 2021MARA baada ya kutoka na ushindi wa mabao 2-1, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Geita Gold Mine, kocha...
By Kelvin MwaipunguDecember 2, 2021BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Simba ya Tanzania, amejinyakulia tuzo na Sh.2 milioni, baada ya kuchaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MNUFAIKA wa mpango wa tatu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wa awamu ya kwanza Antusa Mchau (38), ameiomba serikali kupitia TASAF...
By Masalu ErastoDecember 2, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar ea Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa kesi ndogo ya kupinga...
By Regina MkondeDecember 1, 2021WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka husika kuchukua hatua kali za kisheria kwa watakaobainika kuwanyanyapaa na kuwabagua Watu Wanaoishi na Virusi vya...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitumia salamu za pongeza timu ya taifa ya soka la wenye ulemavu ‘Tembo Warriors’ kwa kufuzu...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo amesema, kila mwaka kuanzia 2022, wizara hiyo itakuwa ikitoa zawadi kwa wanafunzi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021ALIYEKUWA Komandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gabriel Samheta Mhina, akitoa ushahidi wake katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya...
By Regina MkondeDecember 1, 2021WAZIRI Mkuu wa zamani wa Lesotho, Thomas Thabane amefikishwa mahakamani anakoshitakiwa kwa mauaji ya mke wake, Lipolelo Thabane, yaliyotokea mwaka 2017. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021MJUMBE wa Kamati Kuu, ya Chama cha ACT-Wazalendo, Hamad Masoud Hamad, ametangaza nia ya kugombea uenyekiti wa chama hicho, iliyoachwa wazi na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021TIMU ya Tanzania ya soka kwa wenye ulemavu ‘Tembo Warriors’ imefuzu kucheza kombe la dunia Uturuki 2022. Anaripoti John Mapepele, MAELEZO…(endelea). Ni...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM ) kimesema, iwapo kila Mtanzania atawajibika na kufanya kazi kama yalivyo malengo, mipango na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021