Friday , 19 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia awatembelea Jaji Warioba, Msuya
Habari za Siasa

Rais Samia awatembelea Jaji Warioba, Msuya

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatembelea mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya na Jaji Joseph Warioba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea).

Rais Samia amewatembelea viongozi hao wastaafu leo Alhamisi, tarehe 2 Desemba 2021, katika makazi yao kwa nyakati tofauti.

Picha zilizotolewa na Ikulu ya Tanzania, zinamwonesha Rais Samia akisalimia na kisha kuzungumza na Msuya na nyingine, akizungumza na Jaji Warioba.

Maelezo ya picha hizo, zinaeleza kwamba, Rais Samia amewatembelea wastaafu hao ni kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Tanzania Bara.

Kilele cha maadhimisho hayo, itakuwa tarehe 9 Desemba 2021, katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Wabunge waikalia kooni TAKUKURU Bungeni

Spread the love  BAADHI ya wabunge wamelia na changamoto za utendaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina ataka Waziri Majaliwa ajiuzulu, akosoa teuzi za mawaziri

Spread the love  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amemtaka Waziri Mkuu, Kassim...

Habari za Siasa

CCM yakemea ufisadi, yaipa kibarua TAKUKURU

Spread the love  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea vitendo vya ubadhirifu wa...

Habari za Siasa

Bajeti ya Ikulu 2024/25 kuongezeka, bunge laombwa kurudhia Sh. 1.1 trilioni

Spread the love  WIZARA ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...

error: Content is protected !!