Friday , 24 May 2024

Month: December 2023

Habari Mchanganyiko

NMB wagawa zaidi ya mil. 24 kwa washindi Mastabata

WASHINDI 120 wa kampeni ya Benki ya NMB ya mastabata- halipoi wamejinyakulia jumla ya zaidi ya Sh milioni 24 kama zawadi katika droo...

Habari za SiasaTangulizi

Samia: 2023 ulikuwa wa mageuzi, 2024 ni utekelezaji na matokeo zaidi

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameainisha mipango ya serikali kwa mwaka mpya wa 2024, ikiwemo agizo la kuanzisha safari za SGR kati...

KimataifaTangulizi

Felix Tshisekedi ashinda tena urais DRC

RAIS Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, amefanikiwa kutetea kiti chake baada ya kutangazwa mshindi kwenye uchaguzi wa urais...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Viongozi wenye roho ngumu waombewe

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka watanzania kutumia nyumba za ibada kuwaombea viongozi wa kisiasa wenye roho ngumu...

Habari za Siasa

Miswada sheria za uchaguzi zamuibua Prof. Lipumba, alilia katiba mpya

MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), ameitaka Serikali kupeleka muswada wa mabadiliko madogo ya katiba ili kupata tume huru ya uchaguzi kabla ya...

Biashara

Casino Stud Poker Karata zinakupa ushindi kirahisi

JE wewe ni bingwa wa kucheza karata na umeshindikanamtaani kwako, unahisi hakuna anayekuwezea? Huu hapamchongo mpya wa kutengeneza pesa nyingi hukuunaburudika na kucheza...

Habari za SiasaTangulizi

Mtuhumiwa mauaji ya Beatrice adakwa, anywa sumu

HATIMAYE Jeshi la Polisi limemkamata Lucas Paul Tarimo anayetuhumiwa kumuua kwa kumchoma visu 25 Beatrice James Minja, akiwa amejificha katika kijiji cha Jema...

Michezo

Ligi Kuu England imerejea na maokoto yake ndani ya Meridianbet

  LIGI kuu ya Uingereza maarufu kama EPL leo itaendelea katikwa viwanja mbalimbali ambapo michezo kadhaa itapigwa ikiwa itatoa nafasi ya kuweza kushinda...

Habari Mchanganyiko

Vichwa 3 vya treni ya umeme, mabehewa 27 yatua

Shirika la Reli Tanzania limepokea vichwa vipya vitatu vya treni za umeme vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya...

Kimataifa

Vita Gaza: Afrika Kusini yaishtaki Israel ICC

NCHI ya Afrika Kusini, imefungua kesi katika Mahakama ya Kimataifa ta Uhalifu wa Jinai (ICC), dhidi ya Israel ikiituhumu kwa kufanya mauaji ya...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yamuita Mdee na wenzake

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimefungua milango kwa wabunge viti maalum 19 waliofukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wajiunge nacho. Anaripoti Regina Mkonde,...

Afya

Biteko azindua zahanati Ilala, 12,000 kufaidika

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dk. Doto Biteko amezindua Zahanati ya Bungoni iliyopo mtaa wa Mafuriko Ilala  jijini Dar es...

Michezo

Championship kutoa mkwanja leo

NCHINI Uingereza leo ligi daraja la kwanza maarufu kamaChampionship itaendelea ambapo itapigwa michezo mingiambayo inaweza kutoa nafasi kwa wateja wa Meridianbetkupiga maokoto ya kutosha....

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yajivunia mambo manne 2023

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetaja mambo manne kilichofanikiwa kuyafanya ndani ya mwaka 2023 unaolekea ukingoni, huku kikitaja mikakati yake mipya kuelekea 2024. Anaripoti Regina...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi waibuka tukio la Beatrice kuuawa kwa visu, waonya

JESHI la Polisi limejitokeza na kuwaomba wananchi kutoa ushirikiano wa taarifa kwa jeshi hilo ili kubaini alipo kisha kumkamata mtuhumiwa Lucas Tarimo anayedaiwa...

Biashara

Cheza sasa kasino ya Mighty Empire ushinde mara 2500 ya dau lako

Mighty Empire Hold and Win ni sloti mtandaoni iliyoletwana mtoa huduma iSoftBet. Mchezo huu una bonasi ambazohutolewa kwa wachezaji wote wa kasino ya...

Habari za Siasa

Felix aongoza kwa 77%, Katumbi 15%

Wakati zoezi la kuhesabu kura likiendelea nchini Kongo, Rais Felix Tshisekedi ameendelea kuongoza kwa asilimia 77 na mpinzani wake wa karibu Moise Katumbi...

KimataifaTangulizi

Anne mkosoaji wa Kagame afariki, kifo chaibua utata

Anne Rwigara (41), aliyekuwa mkosoaji wa Serikali ya Rwanda na mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa zamani nchini Rwanda, Assinapol Rwigara amefariki dunia nchini...

Biashara

Meridianbet yawafikia wajasiliamali wa Mbagala Rangi Tatu

WAJASIRIAMALI wadogowadogo kutoka mitaa ya MbagalaRangi Tatu jijini Dar-es Salaam wafikiwa na kampunibingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbet ambapowamefanikiwa kupokea msaada kutoka kwa kampuni...

Habari Mchanganyiko

Puma energy Tz yakabidhi msaada wa mil. 70 Hanang

KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania imekabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi zikiwemo nondo 1000, mabati 800 pamoja na saruji mifuko 600...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watanzania 2 wafa ajalini Zambia, wengine wajeruhiwa

RAIA wawili wa Tanzania, watatu wa Zambia na mmoja wa Kenya wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Serenje nchini Zambia,...

Habari za Siasa

Kipyenga uchaguzi ACT-Wazalendo mikoa chapulizwa

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimefungua rasmi kinyang’anyiro cha uchaguzi wa viongozi wake ngazi ya mikoa upande wa Tanzania Bara, unaotarajiwa kufanyika kati ya tarehe...

Habari Mchanganyiko

TAWA kuchunguza mamba aliyewindwa na mzungu

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imetangaza kuanza kufanya uchunguzi tukio la raia wa kigeni kuwinda mamba mwenye ukubwa unaodaiwa kuweka rekodi...

Michezo

Jumatano ya kuokota na Meridianbet, usipange kuikosa

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet hawataki mteja wake utie huruma, Kwanikipindi hichi cha sikukuu wanataka kuhakikisha watejawake mnapiga maokoto ya kutosha katika...

Habari za Siasa

Umoja wa Mabalozi Afrika wakabidhi msaada Hanang

Umoja wa Mabalozi wa nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi...

Habari za Siasa

Kigogo CCM: Hatuwezi kushinda uchaguzi kwa mabavu

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu, amesema chama hicho hakiwezi kushinda kwa...

Kimataifa

Sherehe za Christmas chungu kwa wapalestina, 241 wauawa

WAPALESTINA 241 wameripotiwa kuuawa, huku 382 wakijeruhiwa katika operesheni ya kijeshi iliyofanywa na vikosi vya kijeshi vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza, ndani...

Habari za SiasaTangulizi

DPP afuta kesi ya Gekul, Madeleka kukata rufaa

OFISI ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), imeondoa mahakamani kesi ya jinai Na. 179/2023, iliyofunguliwa na Hashim Ally dhidi ya aliyekuwa Naibu Waziri...

Biashara

Uwezo wa Mungu wa Kigiriki Zeus kukupa maokoto kila siku ndani ya Meridianbet

  KABLA sijakupa kisa cha miungu ya Kigiriki hususani mungu Zeus, unapaswa kuelewa kwamba kwa kutambua historia ya kale hususani ya Taifa la...

Habari Mchanganyiko

Saba wadakwa na kilo 3,182 za ‘unga’

WATU saba wakiwemo wawili raia kutoka barani Asia, wanashikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya...

Michezo

Boxing Day, fungua zawadi na Meridianbet

  LEO Jumanne ya Boxing day yaani siku ya kufungua zawadi basi michezo mbalimbali ya ligi kuu ya Uingereza itapigwa katika viwanja tofauti...

Habari za SiasaKimataifa

Tshisekedi aongoza kwa 81%, Katumbi 15% uchaguzi DRC

TUME ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, CENI, imetoa matokeo zaidi ya awali ya uchaguzi wa rais, yakionesha rais Felix Tshisekedi...

Biashara

Fanya haya ushinde kiurahisi sloti ya Book of Eskimo

  MSIMU wa Sikukuu wa Krismas na Mwaka mpya hutawaliwa na theluji wenyewe huita White Chrismas, wakiwa na maana ya kwamba Krismasi nyeupe....

Afya

Hospitali binafsi zamwomba Rais Samia asitishe bei mpya ya matibabu

WAMILIKI wa hospitali binafsi nchini wametishia kugomea kutibu wagonjwa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), iwapo bei mpya zilizotangazwa na...

Habari Mchanganyiko

Rombo yafurika, LATRA watoa watoa vibali vya muda

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) mkoa wa Kilimanjaro, imelazimika kutoa kibali kwa mabasi madogo ya abiria maarufu kama Coaster  ya  kukodi...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaomba msaada vifaa vya ujenzi kwa wananchi wa Hanang

SERIKALI imetoa wito kwa jamii kujikita katika kutoa misaada ya vifaa vya ujenzi wa nyumba kwa waathirika wa maporomoko ya udongo yaliyotokea Hanang...

Habari za SiasaTangulizi

Malasusa: Kujilimbikiza mali, rushwa imerejea kwa kasi

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania limeonya watu kuacha tabia ya kujilimbikizia mali na kula rushwa kwa kuwa matendo hayo yamepigwa vita na...

Biashara

Sakura Wind mchezo wa kasino wenye siri kubwa ya ushindi

SAKURA Wind ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni yaMERIDIANBET yenye nguzo tano zilizoandaliwa katikasafu tatu na mistari 20 ya malipo. Ili kushinda, unahitajikupata...

Habari za SiasaKimataifa

Askofu Mkuu: Uchaguzi DRC umekuwa wa machafuko

Katika misa yake ya Krismasi, Askofu Mkuu wa Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Kardinali Fridolin Ambongo ameelezea jana Jumapili jioni...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakristo duniani washerehekea Sikukuu ya Krismasi

Shamrashamra za Krismasi zinaendelea  duniani kote leo Jumatatu, siku ambayo Wakiristo wanasherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo. Sikukuu hii imejiri...

Michezo

Biteko ashiriki Rombo marathon, apongeza ubunifu

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Jumamosi ameshiriki mashindano ya Rombo Marathon yaliyohusisha mbio za Kilomita...

Habari MchanganyikoTangulizi

Silaa asimamisha matumizi ya kituo cha mafuta cha Barrel Dar

  WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni...

Michezo

Kivumbi na jasho wikiendi hii pale Anfield

  JUMAMOSI hii utapigwa mchezo mkali sana katika ligi kuu ya Uingereza ambapo utashuhudia vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Arsenal...

Habari Mchanganyiko

Bihimba atoa msaada wagonjwa Kivule, aomba ukarabati barabara

MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya, ametoa msaada wa fedha kwa Taasisi ya Jamiiyatul Akhlaaqul Islaam (JAI), kwa ajili ya kuhudumia chakula wagonjwa wanaohitaji msaada...

Afya

Wananchi walia ujenzi kituo cha afya kukwama kwa miaka 8

Wananchi wa kijiji cha Songambele kilichopo kata ya Magamba wilayani Songwe mkoani humo, wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa kituo cha afya Ileza ambacho...

Biashara

Cheza sloti na Meridianbet ujishindie Samsung A32

KIPINDI hiki cha sikukuu kampuni bingwa ya michezo yakubashiri ya Meridianbet imekuja na promosheni kabambeambayo itatatoa ofa kwa washindi watakaocheza michezo yaKasino mitandaoni. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Siku 100 za Silaa, atangaza mageuzi ardhi, atumbua vigogo

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amesema Wizara yake inakusudia kufanya mageuzi makubwa ya kimfumo wa utendaji katika...

Biashara

Aviator mchezo wa kasino unaotoa beti za bure kila siku

ILIKUWA ni asubuhi moja ya Jumatano kijana mmoja kutokafamilia duni aliamka mapema sana kisha akaanza kujiandaakwenda shule, kwakuwa alikuwa anaishi kwenye hali yaufukara...

Habari za Siasa

Wizara ya ardhi yazindua “ardhi app” kuwahudumia wananchi

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua mfumo rasmi wa kuwahudumia wananchi popote walipo kupitia simu ya kiganjani “Ardhi App” wa...

Habari Mchanganyiko

NBC yafikisha huduma ya miamala kupitia Mashine ya POS katika Mlima Kilimanjaro

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo Ijumaa imewapokea wafanyakazi wake na wadau mbalimbali wa utalii wakiwemo waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro ambao...

error: Content is protected !!