Tuesday , 21 May 2024

Month: December 2023

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yamng’ang’ania Spika Tulia kesi ya akina Mdee

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kimesema kinawasiliana na mawakili wake ili kuangalia namna ya kufanyia kazi hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu, Masjala Kuu...

Michezo

Usipitwe hii inapatikana Meridianbet pekee leo, ingia na ubeti

  MECHI za Europa zinaendelea leo hii kuanzia saa 2:45 usiku na saa 5:00 usiku hivyo kwa wewe mteja wa meridianbet ingia na...

Habari Mchanganyiko

Watumishi wa ardhi watakiwa kutatua migogoro ya ardhi

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amekutana na kuzungumza na watumishi wa Wizara hiyo pamoja na watumishi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mtanzania Joshua aliuawa na Hamas

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema wamejulishwa na Serikali ya Israel kwamba Joshua Mollel, kijana wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yabatilisha uamuzi wa Baraza Kuu Chadema kesi ya akina Mdee

MAHAKAMA Kuu Tanzania  Masjala ya Dar es Salaam imebatilisha uamuzi wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililobariki uamuzi wa...

Biashara

Unapocheza kasino Meridianbet leo unavuta mgao wa Tsh Bil 2

KAMA wewe ni mchezaji wa kasino ya mtandaoni basimsimu huu wa Sikukuu Meridianbet haitakua kinyonge, nilazima ufunge mwaka kwa mizawadi kibao na maokoto...

Michezo

Ligi ya Mabingwa Ulaya kupigwa leo, maokoto nje nje Meridianbet

JUMATANO leo itapigwa michezo mbalimbali ya ligi yamabingwa barani ulaya ambayo itatoa nafasi kwa wateja waMeridianbet kujishindia mikwanja kutokana na michezohiyo ya kibabe. Anaripoti...

Habari za Siasa

Macha: Rais Samia mfano wa kuigwa Afrika

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kuwa Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ni mfano...

Biashara

NBC yazindua kampeni ya kumwaga zawadi msimu wa sikukuu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni yake ya msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka  inayofahamika kama “Tabasamu Tukupe Mashavu,” ikilenga...

Habari za Siasa

Kinana azindua ofisi za kisasa CCM Bukombe, ampa 5 Biteko

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amezindua Ofisi za kisasa za Chama cha Mapinduzi  Wilaya ya Bukombe mkoani...

Kimataifa

Papa Francis ataka kuzikwa nje ya Vatican

Papa Francis ameamua kurahisisha taratibu za mazishi ya papa kwa kuwa wa kwanza kuzikwa nje ya Vatican katika zaidi ya karne moja. Inaripoti...

Habari za Siasa

Daktari atoa ushahidi alivyomtibu majeruhi aliyeshambuliwa na mfanyakazi wa CRDB

JOEL Mwinza (44), Daktari Bingwa wa Mifupa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI), Joel Mwinza ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi...

Habari za Siasa

Kliniki ya ardhi yaingiza mil.600 ikitoa hati 3,156

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na jiji la Dodoma imetoa Hati Miliki za ardhi 3,156 na kuwahudumia wananchi...

Habari za Siasa

Samia apangua wakuu wa wilaya, RAS, DAS, DED

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo: Uteuzi wa Katibu Tawala wa Mkoa Amemteua Maryam Ahmed...

Habari za Siasa

Kinana: Dira ya maendeleo itaboresha pato la mtu mmoja mmoja

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulurhaman Kinana amesema mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia...

Michezo

Je, Manchester United itaweza kufuzu hatua ya 16 Bora Ligi ya mabingwa Ulaya?

  ILE klabu yenye mashabiki wengi duniani Manchester United leo ama zao ama za Bayern kitaeleweka yani hapa ni Ten Hag afuzu au...

ElimuHabari za Siasa

Mwalimu mkuu aomba kuhamishwa kisa uchakavu wa shule

MKUU wa shule ya sekondari Udinde iliyopo kijiji na kata ya Udinde katika Halmashauri ya wilaya Songwe mkoani Songwe, Mwalimu Amani Kilagoa amemuomba...

Habari Mchanganyiko

Wahitimu NCT watakiwa kuleta mageuzi kwa watalii

Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT)  wametakiwa kuleta mageuzi katika utoaji huduma bora kwa watalii na wageni wanaotembelea hifadhi na vivutio...

Habari za Siasa

CUF yalia Polisi kuzuia mikutano ya hadhara

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimelaani hatua ya Jeshi la Polisi kukizuia kufanya mikutano ya hadhara katika baadhi ya maeneo, bila sababu za msingi....

Habari Mchanganyiko

Kesi ya mauaji Kakonko kutajwa Desemba 28

KESI ya mauaji inayowakabili maofisa uhamiaji  watatu wilayani Kakonko waliofikishwa kizimbani kwa tuhuma za kumuua Enos Elias itatajwa tarehe 28 Desemba mwaka huu....

Kimataifa

Urusi marufuku vigogo wenye siri za Serikali kusafiri nje

SERIKALI ya Urusi, imeweka zuio la muda kwa maafisa wake wa usalama na wale wenye siri nzito za taifa hilo, kusafiri nje ya...

Kimataifa

UN kupiga kura ya dharura kusitisha vita Israel, Palestina

BARAZA Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), leo tarehe 12 Disemba 2023, linatarajia kupiga kura ya dharura kuitaka Israel na kundi la wanamgambo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Hati Fungani ya NMB jamii yaandika historia kwa kukusanya bilioni 400

Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki, baada ya Hati Fungani ya NMB Jamii kukusanya Sh 400 bilioni ikiwa ni zaidi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Faili la mzabuni aliyelizwa latua kwa Waziri Mkuu

SAKATA la mzabuni, Maarifa Nampela ‘aliyelizwa’ Sh milioni 25 na Halmashauri ya wilaya ya Liwale, mkoani Lindi, limetua mikononi mwa Waziri Mkuu, Kassim...

Biashara

Mkazi wa Moshi alamba mkwanja wa Serengeti Maokoto ndani ya Kizibo

Mshindi wa shindano la maokoto kutoka Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro linaloendeshwa kupitia vizibo vya vinywaji vya Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries...

Biashara

Unataka ushinde kasino ya Meridianbet, cheza sloti ya Rhino Mania

  RHINO Mania ni mchezo wa sloti unaoletwa na mtoa huduma Platipus. Kuna aina mbalimbali za bonasi zinazokusubiri katika mchezo huu wa sloti...

Habari Mchanganyiko

NBC yatoa msaada wa mil. 20 kwa waathirika mafuriko Hanang

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) sambamba na wafanyakazi wa benki hiyo leo wamekabidhi msaada wa fedha taslimu kiasi cha Sh milioni 10,...

Habari Mchanganyiko

Polisi wadaka mirungi kwenye basi la Extra Luxury

Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limekamata shehena ya dawa za kulevya aina ya mirungi ndani ya basi la Extra Luxury lenye namba za...

Michezo

Vijana waadhimisha miaka 62 ya Uhuru kwa kushiriki michezo

UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) tawi la Mlowo, jana Jumapili wameadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kuendesha michezo mbalimbali ikiwemo...

Habari za Siasa

Jaji Kiongozi akerwa wananchi kukosa imani na mahakama

WATENDAJI wa Mahakama ya Tanzania, wametakiwa kuweka mikakati itakayosaidia kurejesha imani ya wananchi kwa mahakama, ili kuimarisha utoaji haki nchini. Anaripoti Regina Mkonde,...

Biashara

NMB kuwezesha wafanyabiashara kuchangamkia fursa soko la AfCFTA

BENKI ya NMB imetangaza dhamira yake ya kutoa masuluhisho thabiti ya kifedha kwa Wafanyabiashara Wakubwa, Kati na wa Wadogo (MSMEs) ili kuwawezesha kuchangamkia...

Elimu

Wananchi waomba msaada ukamilishaji ujenzi wa sekondari

WANANCHI wa Kijiji cha Muhoji, wilayani Musoma Mkoa wa Mara, wamewaangukia wadau wakiwaomba wawasadie michango ya hali na mali ili wakamilishe ujenzi wa...

BurudikaHabari za Siasa

Samia amchangia Professa Jay mil. 50, Chadema, wasanii wamwaga manoti

RAIS Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Sh 50 milioni katika uzinduzi wa taasisi ya Professa Jay Foundation pamoja na kuahidi kumgharamia matibabu...

Biashara

Serengeti wazidi kumwaga mkwanja kwa washindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Lailat Shomari (kulia) mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo katika droo ya saba akipokea mfano wa hundi ya Sh. 500,000/= kutoka kwa HOza...

Habari Mchanganyiko

Oryx yaungana na jamii kuwafariji waathirika maporomoko Hanang

KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imeungana na Watanzania kutoa pole kwa wananchi wa Hanang waliofikwa na maafa ya mafuriko yaliyosababisha vifo na majeruhi...

Habari Mchanganyiko

Amsons Group watoa milioni 100 waathirika maafa Hanang

KAMPUNI ya Amsons Group kupitia kampuni zake za Camel Oil na Camel Cement zimekabidhi hundi ya Sh.milioni 100 kwa Serikali kwa ajili ya...

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka wako fanya haraka tengeneza jamvi lako la maana kwa dau ulitakalo kabla mechi...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam leo na kutoa msaada wa miamvuli kwa wajasiriamali wadogowadogo wanaopatikana katika eneo hilo....

Habari za Siasa

Biteko: Samia ni muumini wa maridhiano sio kwa kuigiza

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa ni muumini namba moja wa maridhiano nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango: Sitakufa bali nitaishi

MAKAMU  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amejitokeza leo Jumapili jijini Dodoma na kuwaelezea waumini wa Katoliki Parokia...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini mkoani Shinyanga, Edward Joseph (kulia) akipokea mfano wa hundi ya Sh. 500,000 kutoka kwa...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya mfanyakazi wa CRDB itaendelea J’tatu

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili Jumatatu inayomkabili mfanyakazi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Miaka 62 ya uhuru tujenge upya mioyo yetu

WAKATI Tanganyika ikiadhimisha miaka 62 tangu kupata uhuru, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka watanzania kuongeza jitihada za...

Habari za Siasa

Rais Samia asamehe wafungwa 2,244

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewasamehe wafungwa 2,244, huku akiwabadilishia hukumu wafungwa wawili kutoka adhabu ya kifo na kuwa kifungo cha maisha jela....

Habari Mchanganyiko

Mawasiliano Dar – Bagamoyo yarejea

MAWASILIANO ya barabara ya Mkoa wa Pwani na Dar es Salaam, kupitia Bagamoyo, yaliyokuwa yamefungwa baada ya sehemu ya Daraja la Mto Mpiji...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataka jamii inayohoji mafisadi

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo juu ya uboreshaji dira mpya ya taifa ya maendeleo (2025 hadi 2050), huku akitaka iweke masuala yatakayosaidia...

Habari za SiasaTangulizi

Kapinga: Kukatika kwa umeme siyo hujuma

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali ipo kazini kuhakikisha suala la kukatika kwa umeme linashughulikiwa kikamilifu na hakuna hujuma yeyote kama...

Habari za Siasa

Balozi Mwamweta awasilisha hati za utambulisho kwa Rais Ujerumani

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Hassan Iddi Mwamweta amewasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya kasino ya mtandaoni Meridianbet yenye nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu na ina...

error: Content is protected !!