Thursday , 9 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet yatoa msaada Mwenge
Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love

 

KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam leo na kutoa msaada wa miamvuli kwa wajasiriamali wadogowadogo wanaopatikana katika eneo hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kikawaida mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakijitahidi kurudisha kwenye jamii yake pale wanapokua na uhitaji, Ndicho walichofanya Meridianbet leo katika maeneo ya Mwenge Mpakani.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Miamvuli hiyo itakwenda kuwasaidia wajasiriamali hao wadogowadogo kujikinga na mvua na jua wakati wakifanya biashara zao, Meridianbet mara nyingi hutoa msaada kwa wahitaji halisi na wakazi hao ni wahitaji kwelikweli wa msaada huo.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano kutoka Meridianbet Nancy Ingram alifanikiwa kuzungumza kwa niaba ya kampuni na kusema “Kwanza kabisa napenda kuwashukuru kwa mapokezi yenu mazuri lakini kubwa ni sisi kufika hapa na kuweza kutoa vifaa hivi ambavyo vitawasaidia katika shughuli zenu za kila siku”

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mmoja wa Wafanyabiashara wadogowadogo wanaopatikana Mwenge Mpaka alizungumza na kwa niaba ya wenzake huku akisema “ Kiukweli napenda kuwashukuru kampuni ya Meridianbet kwa kuonesha ukarimu mkubwa kwa kuja kutupatia vifaa ambavyo vitaweza kutusaidia katika shughuli zetu, Ningependa makampuni mengine yaige mfano kwa Meridianbet kwa kukumbuka wahitaji”

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Expanse Tournament kasino mzigo umeongezwa hadi mil 400/=

Spread the love Jiunge na Meridianbet kasino kufurahia promosheni kubwaya Expanse Tournament,...

Biashara

Bounty Hunters sloti yenye utajiri Meridianbet kasino

Spread the love Congo DR inasifika sana kwa wingi wa madini ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Spread the loveSerikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya...

error: Content is protected !!