Sunday , 19 May 2024

Month: July 2020

Habari Mchanganyiko

Neema kwa wagonjwa wa saratani KCMC

HOSPITALI ya Rufaa ya KCMC Mkoa wa Kilimanjaro, imeanza mchakato wa ujenzi wa hosteli za wagonjwa wa saratani wenye kipato cha chini ili...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa akerwa shule za Kiislamu kuungua moto

TUME ya kuchunguza matukio ya majengo ya Shule za Msingi na Semondaei za Kislamu kuungua kwa moto jijini Dar es Salaam inakamilisha taarifa...

Michezo

30 kuwania mchezaji bora VPL, Simba yaongoza

KAMATI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2019/20, imetoa orodha ya majina 30 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: Mufti Wa Tanzania awapa neno Waislamu

ABOUBAKAR Zubeir, Mufti Mkuu wa Tanzania, amewaonya watu wanaopanga kufanya vurugu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli ateua DC Rufiji

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Viti maalum UVCCM: Agness aibuka mshindi, DC awapa neno

AGNESS Mchau (30), ameibuka mshindi kura za maoni ubunge wa viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa watatu ujambazi wauawa Dar

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limewaua watuhumiwa watatu wa ujambazi eneo la Chamazi, waliokuwa kwenye gari aina ya Nissan...

Habari Mchanganyiko

Shahidi aeleza Diwani CCM alivyopokea rushwa, alivyonaswa

SHAHIDI wa kwanza Yusufu Shaban Omar Matimbwa katika kesi inayomkabili Diwani wa Kijichi, Mbagala jijini Dar es Salaam Elias Mtarawanje (29), anayedaiwa kupokea...

Habari za Siasa

Mwanafunzi ‘atumia fursa’ mbele ya JPM

REHEMA Mikidani Ngenje, Mwanafunzi wa Darasa la Nne Shule ya Msingi Somanga, Lindi amemweleza Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, shule yao ilivyo...

Habari Mchanganyiko

Lissu aitwa mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemtaka Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhudhuria mahakamani...

Habari za SiasaTangulizi

ZEC: Uchaguzi mkuu Z’bar Oktoba 27 na 28

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imetangaza Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa urais na uwakilishi utafanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Wajumbe UVCCM wapokonywa simu mkutanoni

WAJUMBE wa Baraza la Vijana la Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) jijini Dodoma, wamepokonywa simu zao za mkononi, wakati wa mkutano wa kura za...

Kimataifa

Milioni 10 wapona corona duniani 

WAGONJWA milioni 10.7 wamepona ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa worldometer, unaonyesha hadi...

Kimataifa

India vs China: India yaongeza ndege za kivita

WAKATI hali ya sintofahamu kati ya China na India ikishika hatamu, India imenunua ndege tano mpya za kivita aina ya Rafale zilizo na uwezo wa...

Habari za SiasaTangulizi

Ubunge Viti maalum: Wajumbe UVCCM kazini leo

WAJUMBE wa Mabaraza ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wa mikoa nchini Tanzania, leo Alhamisi tarehe 30 Julai 2020, watapiga kura za...

Tangulizi

Mkapa ahitimisha safari ya siku 29,845 duniani

BENJAMIN William Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania, amehitimisha safari yake ya siku 29,845 hapa duniani. Anaripoti Hamisi Mguta, Lupaso,...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli: Mkapa aligoma kuzikwa Dodoma 

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema Hayati Benjamin William Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania, alikataa kuzikwa katika eneo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mwinyi amwombea msamaha Mkapa

ALI Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, amemwomba Mwenyezi Mungu kumsamehe Hayati Benjamin William Mkapa pale alipoteleza wakati wa...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Kikwete aeleza walivyotoana jasho na Mkapa mwaka 1995

RAIS mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameeleza jinsi alivyomtoa jasho Hayati Benjamin William Mkapa, katika mchujo wa mgombea...

Habari Mchanganyiko

Mwijaku kizimbani tuhuma za kusambaza picha za ngono

MSANII wa uigizaji nchini Tanzania, Mwemba Burton (35) maarufu Mwijaku amepandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akituhumiwa kusambaza...

Kimataifa

Bunge la Uturuki lapitisha sheria tata

BUNGE la Uturuki limepitisha sheria tata, ambayo inaipa serikali ya nchi hiyo mamlaka ya kuingilia maudhui kwenye mitandao ya kijamii na hata kulazimisha...

Habari MchanganyikoTangulizi

#LIVE: Rais Magufuli awasili Lupaso kumzika Mkapa

Dk. Shein afikisha salamu za Wazanzibari kwa Mkapa Saa 7:46 mchana DAKTARI Ali Mohammed Shein, Rais wa Serikali ya Zanzibar amemtaja Hayati Benjamin...

Habari za Siasa

Shibuda apitishwa kugombea urais Tanzania

KATIBU Mkuu wa Chama cha ADA-Tadea, John Shibuda amepitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho, kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi...

Habari za Siasa

Kesi ya viongozi, wanachama 26 Chadema yakwama

KESI ya viongozi na wafuasi 26 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanaokabiliwa na mashtaka saba yakiwamo kutoa lugha ya maudhi na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli atua Mtwara, mwili wa Mkapa wawasili Lupaso

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara kwa ajili ya kushiriki shughuli ya mazishi ya Rais mstaafu...

Tangulizi

Mwili wa Mkapa watua salama Masasi

HELKOPTA iliyobeba mwili wa Hayati Rais mstaafu awamu ya tatu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa imetua salama katika uwanja wa ndege mdogo wa...

Habari za Siasa

Zitto, Maalim Seif na Membe walivyozungumzia ujio wa Lissu

VIGOGO wa siasa za upinzani nchini Tanzania , Maalim Seif Sharif Hamad, Zitto Kabwe na Bernard Membe wamemkaribisha nchini humo kwa maneno ya...

Michezo

Uwanja wa Taifa sasa kuitwa, Uwanja wa Mkapa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, amebadili jina la uliokuwa Uwanja wa Taifa na sasa kuwa unaitwa Uwanja wa...

Habari Mchanganyiko

Kuagwa Mkapa: Ndege ya mwakilishi Kenya, yashindwa kutua Tanzania

NDEGE iliyombeba mwakilishi wa Kenya, Samuel Poghisio aliyekuwa anakwenda Tanzania, kuhudhuria shughuli ya kitaifa ya kumuaga Hayati Benjamin Mkapa, Rais wa Awamu ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Magufuli atokwa machozi akimwelezea Mkapa

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amejikuta akitokwa machozi hadharani baada ya shindwa kujizuia wakati akielezea mazungumzo yake ya mwisho na Rais mstaafu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maelfu wajitokeza kuaga mwili wa Mkapa Dar

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli anawaongoza waombolezaji kuaga Kitaifa mwili wa Hayati Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa. Anaripoti...

Habari za Siasa

Simulizi ya Tundu Lissu ilivyosisimua

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ametoa simulizi ya hali aliyonayo sasa iliyowafanya wasikilizaji kulengwa lengwa na machozi...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba kugombea urais Tanzania

MKUTANO Mkuu Maalum wa Chama cha Wananchi (CUF), leo Jumatatu tarehe 27 Julai 2020, umempitisha Prof. Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa chama hicho kuwani...

Habari Mchanganyiko

Mwili wa Mkapa kulala nyumbani kwake

MWILI wa Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa leo Jumatatu tarehe 27 Julai 2020 unalala nyumbani kwake, Masaki...

Habari Mchanganyiko

Serikali ya Tanzania yatoa utaratibu kumuaga Mkapa kesho

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, viongozi wakuu wa nchi kesho Jumanne ndio watapata fursa ya kuaga mwili wa Hayati Rais mstaafu...

Habari za Siasa

NEC yawanoa wasimamizi wa uchaguzi, yawapa onyo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kuzingatia weledi na kuepuka kufanya kazi...

Habari za Siasa

Ofisi ya Msajili: Mkapa ana historia ndani ya CUF

SISTY Nyahoza, Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania amesema, Hayati Benjamin William Mkapa, Rais wa awamu ya tatu ameacha mchango wake...

Habari za SiasaTangulizi

Mapokezi ya Lissu yalivyotikisa

UJIO wa Tundu Antiphas Lissu, makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, umetikisa viunga vya Jiji la Dar es...

Habari Mchanganyiko

Bosi’ MSD, mwenzake waendelea kusota rumande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam nchini Tanzania imeleezwa upelelezi wa kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD),...

Habari za Siasa

Lipumba asimulia mwaka 1995 alivyoitwa Profesa uchwara

MWAKA 1995, niliitwa Profesa uchwara, zile sera za Chama cha Wananchi (CUF), sasa wanazitekeleza lakini wanashindwa kutekelza kwa ufasaha wake kwa kuwa sio...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba: CCM bila dola haipo

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema, Watanzania wamechoshwa na maisha ya umasikini, na sasa uhai wa Chama Cha Mapinduzi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atua Tanzania, shangwe zatawala

TUNDU Antiphas Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema- Bara amewasilia nchii hum oleo Jumatatu tarehe 27 Julai...

Habari za Siasa

Lissu kupokelewa kwa maandamano

WANACHAMA na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watamsindikiza Tundu Lissu kwa maandamano kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

Habari za Siasa

Wamiminika kumpokea Lissu

BAADHI ya wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kutua Tanzania leo, maandalizi yakamilika

TUNDU Antiphas Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema- Bara ameanza safari ya kutoka Ubelgiji kurejea nchini mwake...

Habari Mchanganyiko

Dawasa: Tumuenzi Mkapa kwa Watanzania wote kupata maji

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) imesema, itamuenzi Hayati Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Benjamin William...

Michezo

Yanga wamtimua kocha wake, kisa ubaguzi

KLABU ya Yanga imemfuta kazi kocha wake, Lucy Eymael kutokana na kauli zake za kibaguzi alizozitoa kwa mashabiki wa timu hiyo katika vipindi...

Habari Mchanganyiko

Watanzania wajitokeza tena kumuaga Mkapa

MWILI wa Benjamin Mkapa, Hayati Rais Mstaafu wa  awamu ya tatu ya Tanzania, unaendelea kutolewa heshima za mwisho na Watanzania, katika Uwanja wa...

Michezo

Aston Villa ya Samatta yabaki EPL

LIGI Kuu ya Uingereza (EPL) 2019/20 imehitimishwa huku ikishuhudia timu ya Aston Villa anayoicheza Nahodha wa Taifa Stars ya Tanzania, Mbwana Samatta ikinusurika...

Habari za Siasa

Mwili wa Mkapa warejeshwa hospitali ya Lugalo

MWILI wa Hayati Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa umerejeshwa Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo kutoka Uwanja wa Uhuru...

error: Content is protected !!