Friday , 3 May 2024

Month: July 2020

Michezo

Singida, Ndanda, Lipuli na Alliance zaaga Ligi Kuu Bara

PAZIA la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2019/20 limefungwa leo huku timu za Singida United, Ndanda ya Mtwara, Lipuli ya Iringa...

Habari za Siasa

Lissu: Nilivyo si kama nilivyokuwa awali

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, anarejea nyumbani kwao Tanzania lakini alivyo sasa si kama alivyokuwa miaka...

Habari za Siasa

Mbunge akumbuka wema wa Mkapa

MBUNGE aliyemaliza muda wake wa Itilima Mkoa wa Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Njalu Daudi amesema, wananchi wa jimbo hilo watamkumbika Hayati...

Habari Mchanganyiko

Muuza matikiti ambwaga diwani aliyeongoza miaka 20

PAUL Kabugwe, kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameacha historia kwa kumbwaga katika kura za maoni Ibrahimu Kalunga, aliyekuwa diwani wa Kata ya...

Habari za Siasa

Mbowe apigiwa kura za ndio Hai, wawili wamkataa

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania Chadema ameshinda kura za maoni za kuwani Ubunge wa Hai Mkoa wa Kilimanjaro katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Lissu kumuaga Mkapa

MWANASIASA mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kushiriki mazishi ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa. Anaripoti Yusuf Katimba, Dar es Salaam …...

Habari Mchanganyiko

Membe: Mkapa alithamini akili kubwa

BERNARD Kamilius Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya nneu, amemtaja Hayati Benjamin William Mkapa, Rais mstaafu wa...

Tangulizi

Sababu ya kifo cha Benjamin Mkapa yatajwa

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa, aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita, jijini Dar es Salaam, amefikwa na mauti, kwa mshutuko wa moyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Sadaka misa ya Mkapa kukarabati nyumba ya mapadri Lupaso

YUDA Rua’ichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam ameagiza, sadaka itakayopatikana kwenye shughuli ya kumuaga Benjamin William Mkapa, Rais...

Habari Mchanganyiko

Askofu Ngalalekumtwa atoa somo kifo cha Mkapa

ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Iringa, Tarcisius Ngalalekumtwa, amewataka Watanzania kutafakari matendo yao kama yanampendeza Mungu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Kiongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Ibada kuaga mwili wa Mkapa Dar, Rais Magufuli ashiriki

MAMIA ya wananchi wamejitokeza kwa wingi Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, kuuaga mwili wa Hayati Rais mstaafu wa awamu ya tatu...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: Rais Magufuli atangaza mapumziko Oktoba 28

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametangaza Oktoba 28, 2020 siku ya Uchaguzi Mkuu kuwa mapumziko. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: SAU yapata wagombea urais Tanzania, Z’bar

CHAMA cha Sauti ya Umma (Sau) nchini Tanzania, kimewapitisha wagombea wa urais wa Tanzania na Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aifariji familia ya Mkapa

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefika nyumbani kwa Hayati Rais wa awamu ya tatu wa nchi hiyo, Benjamini William Mkapa, Masaki jijini...

Habari za Siasa

Hoja ya Uchaguzi Mkuu 2020 yaibuka msiba wa Mkapa

VIONGOZI mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania, wameendelea kujitokeza nyumbani kwa Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa nchi hiyo, Benjamini William...

Habari Mchanganyiko

Askofu Mtokambali: Tuombee uchaguzi mkuu, TAG kuhamia Dodoma

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali amewataka waumini wa kanisa hilo na Watanzania wote wajitoe kuombea...

Habari za Siasa

Mchungaji Msigwa: Sioni wa kunishinda Iringa Mjini

MBUNGE anayemaliza muda wake wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa ameshinda kura za maoni kutetea nafasi...

Habari Mchanganyiko

Kifo cha Mkapa: Askofu Ruwa’ichi, Jenerali Waitara watoa ya moyoni

YUDA Thaddeus Ruwa’ichi, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam na Jenerali George Waitara wametoa ya moyoni kuhusu maisha...

Habari za Siasa

Membe akwama kupokelewa Lindi

BERNARD Kamilius Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, amekwama kupokewa Lindi leo Jumamosi tarehe 25 Julai 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Polisi Tanzania yazuia mikusanyiko isiyo halali

JESHI la Polisi Tanzania limetoa onyo la mikusanyiko ya aina yoyote katika kipindi hiki cha maombolezo ya kifo cha Rais mstaafu wa awamu...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba- Mwaka 2001 Tulijitenga na Mkapa

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema baada ya mauaji ya Zanzibar mwaka 2001, walijitenga na Rais mstaafu Benjamin William...

Habari za Siasa

Mama Samia: Akisimama Mkapa, shughuli imeisha

MAMA Samia Suluhu Hassam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameeleza kufadhaishwa na kifo cha Benjamin Mkapa, Rais wa awamu...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Viongozi wastaafu wajifunze kwa Mkapa

CHAMA tawala nchini Tanzania Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kitamkumbuka Rais wa awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa jinsi alivyokijenga chama hicho na...

Habari za Siasa

Butiku: Ukiondoka madarakani, usiwachagulie Watanzania kiongozi

JOSEPH Butiku, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakina tabia ya kuwachaguliwa Watanzania rais na...

Habari za Siasa

Dk. Shein: Tujifunze utawala bora kwa Mkapa

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Shein, Rais wa Zanzibar amewataka viongozi wa sasa kujifunza utawala bora kutoka kwa Hayati Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu...

Habari za Siasa

Kifo cha Mkapa, Chadema yaahirisha mikutano kuwapata wagombea urais

CHAMA Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetangaza kuahirisha mikutano yake iliyokuwa ianze tarehe 27 hadi 29 Julai 2020 ili kupisha maombolezo ya...

Habari za Siasa

Chadema yawaita Watanzania kumpokea Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimewakaribisha wanachama, vongozi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Tundu...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Mkapa alisema Tanzania si mali ya mtu, kikundi cha watu

MAALIM Seif Sharif Hamadi, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo amesema, Hayati Benjamin Willium Mkapa alikuwa jasiri ingawa...

Habari za Siasa

Maisha ya Rais Mkapa 1938 – 2020

BABA yake (Benjamin Mkapa) Mzee William Matwani alikuwa mpishi msaidizi katika Mission Ndanda. Wamisionari wakambatiza, wakamfundisha kusoma, kuandika na kuhesabu na kumfanya Katekista....

Habari za Siasa

Membe: Tumepoteza mshauri masuala ya uchaguzi

BERNARD Kamilius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania amesema, kifo cha Rais mstaafu, Benjamin William Mkapa ni pigo kubwa...

Michezo

Klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara zamlilia Mkapa

BAADHI ya klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara zimetuma salamau za rambirambi kufuatia kifo cha Aliyekuwa Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa...

Habari Mchanganyiko

Tamwa: Mkapa amechangia usawa wa jinsia, kuijenga Tanzania kisiasa

Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania, (TAMWA) kinaungana na Watanzania wote kuomboleza kifo cha Mwanadiplomasia Mkongwe, mwanahabri mahiri na Rais wa awamu ya tatu...

Habari za Siasa

Mhariri MwanaHALISI apenya kura za maoni Z’bar

JABIR Idrissa, aliyekuwa Mhariri wa Gazeti la MwanaHALISI, ameshinda kura za maoni za ubunge kupitia Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Pangawe, Wilaya...

Habari za SiasaTangulizi

Ratiba mazishi ya Mkapa hii hapa

SERIKALI imetangaza ratiba ya mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, aliyefariki dunia usiku wa jana tarehe 23 Julai jijini...

Habari za Siasa

‘Serikali imuenzi Mkapa kwa utawala bora’

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa wito kwa serikali kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa katika dhana yake ya utawala bora. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar...

Habari Mchanganyiko

Mwili wa Rais Mkapa kuagwa Uwanja wa Taifa

MWILI wa Benjamin Mkapa, Rais wa Awamu ya Tatu ataagwa katika Uwanja wa Mpira wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari Mchanganyiko

Kifo cha Mkapa: Mbowe atuma salamu za rambirambi, agusia kitabu chake

MWENYEKITI wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais mstaafu Benjamin William...

Habari za Siasa

Mkapa 1938 – 2020: Kikwete ‘jana tu nilizungumza naye’

RAIS Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amesema, jana tarehe 23 Julai 2020 alikwenda kumtembelea Mzee Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu hospitali...

Habari Mchanganyiko

Rais Kenyatta, Odinga waomboleza kifo cha Mkapa

UHURU Kenyatta, Rais wa Kenya ameomboleza kifo cha Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu wa Tanzania, kilichotokea usiku wa...

Habari za Siasa

Rais mstaafu Mkapa alivyodai Tume huru ya uchaguzi

BENJAMIN William Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehitimisha safari yake ya miaka 81 dunia. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

JPM atangaza siku 7 za maombolezo, bendera nusu mlingoti

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametangaza siku saba za maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa nchi hiyo,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais mstaafu Benjamini Mkapa afariki dunia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa kilichotokea...

Habari Mchanganyiko

Corona yawaibua shirika la usawa wa kijinsia

SHIRIKA la Usawa wa Kijinsia leo limeendesha semina ya siku mbili kwa waathirika wote wa maswala ya jinsia katika sehemu zao za kazi...

Habari Mchanganyiko

Vigogo tisa Takukuru wasimamishwa kazi

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imesimamisha kazi watumishi tisa waliohusika katika usimamizi wa ujenzi wa majengo saba ya ofisi...

Habari za SiasaTangulizi

Lijuakali ajivunia kuijenga Chadema

PETER Lijuakali, mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilipaswa kumshukuru kwa kuwa ndiye aliyekijenga Kilombero,...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba: Nimeshawishika, nitagombea urais

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema ameshawishika na atagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu...

Kimataifa

Corona: Saa 24 watu 572 wafariki A. Kusini

SAA 24 zilizopita, watu 572 wameripotiwa kufariki dunia nchini Afrika Kusini kwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti...

Habari za Siasa

Zitto: Mnazo sababu za kuing’oa CCM

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amewaeleza wanachama wa chama hicho Tunduru, Mtwara kwamba wanayo sababu ya kuing’oa CCM madarakani. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

Wanawake 252 wachuana Viti Maalum CCM Dar

WANAWAKE 252 wamejitokeza katika mchuano wa kuwania nafasi tano za ubunge Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam. Anaripoti...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: NEC yatoa ratiba fomu za urais, ubunge na udiwani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, fomu za uteuzi wa wagombea urais wa nchini humo katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe...

error: Content is protected !!