HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, amesema viongozi wa umma wasioridhika na nyadhifa zao,...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2020SEHEMU ya Shule ya Mivumoni Islamic Seminary iliyoko ndani ya Msikiti wa Mtambani, Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeteketea kwa moto, asubuhi ya...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2020ABOUBAKAR Juma Aboubakar leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama cha NCCR-Mageuzi, kugombea Urais wa Tanzania, katika Uchaguzi...
By Regina MkondeJuly 18, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...
By Hamisi MgutaJuly 18, 2020MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na chama cha...
By Faki SosiJuly 18, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameahirisha sherehe za Mashujaa zilizopaswa kufanyika tarehe 25 Julai, 2020 Jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Hamisi MgutaJuly 18, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameendelea kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo Katibu Tawala Mkoa wa Songwe (RAS), Wakuu wa Wilaya (DC)...
By Hamisi MgutaJuly 18, 2020WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 386 kati ya 392 wamechukua na kurejesha fomu za kuomba chama hicho kiwapitishe kuwania ubunge katika majimbo...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020POLISI Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania linawashikilia watu watatu akiwemo mtoto wa miaka 16 kwa kosa la kukutwa wakisafirisha bangi (salphet) 15 zenye...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla watumie nyumba za ibada kuhubiri suala la amani na...
By Hamisi MgutaJuly 17, 2020WANASIASA wa vyama vya upinzani nchini Tanzania, wamekichongea Chama tawala cha Mapinduzi (CCM), katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Anaripoti...
By Regina MkondeJuly 17, 2020SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuanzisha majukwaa huru yatakayowapa fursa wananchi kuwahoji wagombea wa nafasi za uongozi serikalini, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020....
By Regina MkondeJuly 17, 2020DARIA Frank (55), Mkazi wa Mamba, Vunjo Mashariki katika Wilaya ya Moshi, Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuunguza kwa...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020WAZIRI wa zamani wa mambo ya nje, Bernard Membe amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha ACT-Wazalendo kimpitishe ili awanie urais wa...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020BAO lililofungwa katika dakika ya 87 na Theo Walcott, mchezaji wa Klabu ya Everton katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza (EPL), limezamisha ndoto...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020JUMBA la kifahari la Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia, limechukuliwa na Serikali ya Marekani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vicent Mashinji amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi...
By Kelvin MwaipunguJuly 17, 2020MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania amesema, msajili wa vyama vya siasa nchini humo...
By Faki SosiJuly 17, 2020JOHN Shibuda, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, amesema Rais John Pombe Magufuli, aliumizwa na sintofahamu iliyojitokeza katika uchaguzi wa serikali...
By Regina MkondeJuly 17, 2020ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha siasa cha upinzani ACT-Wazalendo nchini Tanzania ameamua ‘kupuuza’ barua ya msajili wa vyama vya siasa na kwamba...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020KLABU ya Real Madrid ya Hispania jana ilitangwazwa mabingwa wapya wa Ligi kuu nchini humo (La Liga), baada ya kuibuka na ushindi wa...
By Kelvin MwaipunguJuly 17, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) nchini Tanzania, imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020BERNARD Kamilius Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Tanzania amekubali ombi la wanachama wa ACT-Wazalendo la kugombea urais wa Jamhuri...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo akiwemo mkuu wa mkoa (RC), katibu mkuu na mkuu wa...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, inakusudia kukipa adhabu Chama cha siasa cha upinzani ACT-Wazalendo, kutokana na kukiuka Sheria ya...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020UKENDE William Shalla, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea ubunge Viti Maalum mkoani Singida. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2020ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro, Raymond Mboya ameshinda kura za maoni za kuwania nafasi ya ubunge kupitia Cham cha...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2020WANACHAMA 247 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa wamejitosa kuwania kupitishwa na chama hicho kuwania ubunge katika majimbo saba mkoani humo....
By Mwandishi WetuJuly 16, 2020MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, Bernard Membe anaogopwa. Anaandika Yusuph Katimba..(endelea). Membe amejiunga na chama hicho akitokea Chama...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2020WAGOMBEA Urais wa Tanzania na Zanzibar wa Chama cha Wananchi (CUF), katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kujulikana Jumatatu ya tarehe 27 Julai...
By Regina MkondeJuly 16, 2020BERNARD Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amesema hatofuata nyayo za makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), waliohamia upinzani kisha kurejea katika...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2020BERNARD Kamilius Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, kama vyama vya upinzani vitaweka ubinafsi pembeni na kushirikiana katika Uchaguzi Mkuu wa...
By Regina MkondeJuly 16, 2020BARUA iliyoandikwa na BERNARD Kamillius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania kwenda kwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif...
By Kelvin MwaipunguJuly 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amewatahadharisha wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wanaohusika na uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu wa Oktoba...
By Regina MkondeJuly 16, 2020ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC) amewachongea wateule wa Rais John Pombe Magufuli waliokimbilia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika kinyang’anyiro...
By Kelvin MwaipunguJuly 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo wakuu wa mikoa ya Dar es Salaam na Manyara. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa (RC), Wakuu wa Wilaya (DC), Katibu Tawala wa...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kufanyia marekebisho Ibara ya 41 (7) ya Katiba yake, inayopinga matokeo ya rais kupingwa mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amri hiyo...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020MAMA Salma, Mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge Mchinga...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020MIONGONI mwa majimbo magumu katika uteuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Jimbo la Arusha Mjini. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). ‘Vyuma vinne’ vimekutana kwenye...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimevuna zaidi ya wanachama 120 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa Wilaya ya Ubungo, Renatus...
By Regina MkondeJuly 15, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa jimbo la Ruangwa, wilayani...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020MWANDISHI wa habari wa AZAM TV, Baruan Muhuza amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe kuwania ubunge Kigoma Mjini katika...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020HATUA ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea ubunge...
By Faki SosiJuly 15, 2020ANGELLAH Akilimali, Mkuu wa Idara ya siasa na habari wa vyombo vya habari vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejitosa kuwania ubunge Ukonga. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020FUKUTO la kutimuana katika Jimbo la Ubungo, linashika kasi huku Katibu wa Kanda ya Pwani akisema, viongozi Wilaya ya Ubungo walikiuka mwongozo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020WADHAMINI wa Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, wamegomewa maombi yao kwamba ‘Lissu akamatwe’ waliyoyafikisha katika Mahakama Kuu ya Hakimu Mkazi Kisutu...
By Faki SosiJuly 15, 2020NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuna shughuli pevu katika hatua ya upigaji kura za maoni ili kupata wateule wa ubunge kwenye majimbo...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, ametaja sababu zilizomsukuma kutogombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba, katika...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020WANACHAMA 241 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, wamejitokeza kuchukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika majimbo tisa mkoani...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2020