Saturday , 2 December 2023
Home Habari Mchanganyiko Rais Magufuli aahirisha sherehe za mashujaa
Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli aahirisha sherehe za mashujaa

Rais John Magufuli
Spread the love

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameahirisha sherehe za Mashujaa zilizopaswa kufanyika tarehe 25 Julai, 2020 Jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).

Pamoja na kuahirisha sherehe hizo, Rais Magufuli amewataka Watanzania wote kutumia siku hiyo kuwakumbuka na kuwaombea mashujaa wote waliojitoa kwa ajili ya nchi hiyo na hata wale ambao wametoa mchango mkubwa katika ngazi mbalimbali zikiwemo mtu mmojammoja na familia.

Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amesema, Rais Magufuli amewatakia heri Watanzania wote kuelekea siku hiyo na amewataka kuendelea kudumisha amani, upendo, utulivu na mshikamano.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

AfyaHabari Mchanganyiko

GGML waungana na Biteko kuanika mbinu za mapambano dhidi ya Ukimwi

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwalimu jela miaka mitatu kwa rushwa

Spread the loveMAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi, wilaya ya Igunga, mkoani Tabora imemhukumu...

Habari Mchanganyiko

Waziri Bashungwa aagiza wahandisi kujengewa uwezo

Spread the loveWAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiagiza Bodi ya Usajili wa...

Habari Mchanganyiko

Heche ataka mawakili vijana kuamka sakata Mpoki

Spread the loveMWENYEKITI wa Mawakili Vijana Tanzania kutoka Chama cha Mawakili wa...

error: Content is protected !!