Tuesday , 7 May 2024

Month: July 2020

Habari za SiasaTangulizi

Urais Z’bar: CCM yampitisha Dk. Mwinyi

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi amechaguliwa kwa asilimia 78 za wajumbe wa Halmashauri Mkuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea urais wa Zanzibar...

Habari za Siasa

Urais Z’Bar: Rais Magufuli, Dk. Shein watoa kauli nzito

UPIGAJI kura wa kumchagua mgombea urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 unaofanywa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha...

Habari za Siasa

Kada wa tano achukua fomu ya urais Chadema

WAKILI Simba Richmomd Akaro Neo, amechukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Zitto amharibia JPM Kigoma

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemchomea utambi Rais John Magufuli kwamba, amewatupa watu wa Kigoma. Anaripoti Faki...

Habari Mchanganyiko

Jaji Mkuu: Tumeganda katika Karne ya 19

PROFESA Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Tanzania, amewataka wanasheria kuwa na fikra mpya katika Karne hii ya 21 kwa kuwa, mambo yamebadilika. Anaripoti Hamis...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yapitisha watatu kugombea Urais Z’bar

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imepitisha majina matatu yatakayopigiwa kura na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ili kumpata mgombea mmoja...

Habari Mchanganyiko

Corona: Rais wa Brazil ‘sijambo,’ Hong Kong yafunga shule

JAIR Bolsonaro, Rais wa Brazil amewaambia wananchi wake, kwamba anaendelea vizuri ikiwa ni siku chache baada ya kutangaza kuambukizwa virusi vya corona (COVID-19)....

Habari za Siasa

CCM kutangaza ‘hasimu’ wa Maalim Seif urais Z’bar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), leo tarehe 10 Julai 2020, kinatarajia kumtangaza mgombea urais wake visiwani Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua wakili mkuu wa Serikali, Naibu wake

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali (Solicitor General). Anaripoti Mwandishi...

Afya

Serikali ya Tanzania yajivunia maboresho sekta ya afya

SERIKALI ya Tanzania imesema imefanikiwa kutimiza dhamira ya kuhakikisha upatikanaji wa uwiano wa kutosha katika utoaji huduma za afya za uhakika na wakati....

Habari za SiasaTangulizi

Vijana ACT-Wazalendo, wamuomba Membe kujiunga nao

NGOME ya vijana ya chama cha ACT- Wazalendo, kimemuomba aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Kamilius  Membe, kujiunga na chama hicho. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli: Balozi Lusinde alikuwa mzalendo wa kweli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Maguful ametoa pole kwa familia ya Balozi Mstaafu Job Lusinde aliyefariki dunia tarehe 07 Julai,...

Habari za Siasa

Sheikh Ponda ataja sifa za wagombea uchaguzi mkuu

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, ametaja sifa za wagombea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Kelvin...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ahojiwa kwa ‘kugawa’ rushwa

TAASISI ya Kuzia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemuhoji Lingstone Lusinde, aliyekuwa Mbunge wa Mtera (CCM) kwa tuhuma za kugwa rushwa. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Uchaguzi Mkuu: Waraka wa Waislam waibana serikali

WARAKA wenye kurasa 18 kuhusu uchaguzi mkuu, umetolewa na Jumuiya na Taasisi za Kiislam ukisisitiza mambo muhimu ikiwemo Tume Huru ya Uchaguzi. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Sasa hivi wathubutu waone – Zitto

WIZI wa kura unaolalamikiwa wakati wa uchaguzi mkuu, sasa hautatokea kwa namna Chama cha ACT-Wazalendo kilivyojipanga Bara na Visiwani. Anaripoti Faki Sosi, Kasulu Kigoma...

Habari za Siasa

‘Maalim Seif, majimbo 34 tunachukua Z’bar’

MAALIM Seif Sharif Hamad atashinda urais wa Zanzibar na tuna uhakika wa kushinda majimbo 34 ya uchaguzi visiwani humo. Anaripoti Faki Sosi, Kigoma …...

Habari za Siasa

Isaya Mwita: Aliyeng’olewa Umeya wa Jiji, ageukia urais

MIEZI sita baada ya kung’olewa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Demokrasia...

Habari Mchanganyiko

‘Vyombo vya haki viboreshwe, mahabusu wapone’

FAMILIA tatu mkoani Mtwara zimeiomba Serikali ya Tanzania, kuboresha utendaji wa vyombo vyenye dhamana ya kutoa haki, ili kuondoa changamoto ya watuhumiwa kukaa...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru amzungumzia Maalim Seif Urais Z’bar

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, yupo mdomoni mwa Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mgombea urais Z’bar anatoka bara? Dk. Bashiru afafanua

HOJA kwamba, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar, anachaguliwa Tanzania Bara imepingwa na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa chama...

Habari za Siasa

Nassari, Qambalo wajiunga CCM, wajikomba 

JOSHUA Nassari, aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha na Willy Qambalo, aliyekuwa Mbunge wa Karatu, wote kutoka Chadema, wametimkia CCM. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Msitu wa wanaCCM Nkenge haunitishi – ‘mgombea’ Chadema

JIMBO la Nkenge lililopo katika Wilaya ya Misenye, Kagera linawindwa na makada 19 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmoja kutoka Chama cha...

Habari za SiasaTangulizi

Sitamani Tanzania ya sasa – Nyalandu

NATAMANI Tanzania iliyo tofauti na ya sasa, natamani Tanzania isiyogawika, tena isiyo na fursa ya kuwafanya hawa wawe chini au hawa juu. Tanzania...

Habari za Siasa

Wakili amfuata Lissu urais Chadema

GASPAR Mwanalyela, Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu: Bukoba Vijijini ‘ngoma inogile’

WAKATI watia nia wanane kutoka CCM katika Jimbo la Bukoba Vijijini wakichuana kuwania kuteuliwa kugombea, Conchester Rwamlaza, aliyekuwa mbunge wa Viti Maalum (Chadema)...

Habari za Siasa

Kilimanjaro: Majimbo 9, watia nia 124 CCM

IDADI ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika majimbo tisa mkoani Kilimanjaro, wanaotaka kuwa wabunge mpaka sasa imefika 124. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro...

Habari za Siasa

JPM: R.I.P Mdhamini wa CCM ‘Lusinde’

DAKTARI John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesikitishwa na kifo cha Balozi Job Lusinde, aliyekuwa mdhamini wa chama hicho katika uasisi...

Kimataifa

Mbinu za China zaishtua FBI

CHRISTOPHER Wray, Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Mareani (FBI) amesema, vitendo vya Serikali ya China ni tishio kwa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea)....

Habari za Siasa

CCM haininyimi usingizi Mafia – Mngwali

RIZIKI Mngwali, mtia nia wa ubunge katika Jimbo la Mafia kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, kelele za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye jimbo...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Membe ni mtaji kwetu

BERNARD Membe, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Waziri wa Mambo ya Nje Nje katika Serikali ya Awamu ya Nne, ni...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi ACT-Wazalendo watoa tamko dhidi ya Membe

VIONGOZI wa mikoa mitano ya Chama cha ACT Wazalendo, wamemwomba Bernard Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania, akubari ombi...

Habari za Siasa

Majaliwa aeleza Tanzania inavyoboresha usafiri wa majini

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema malengo ya Serikali ni kuimarisha usafiri kwenye maziwa yote na bahari ili kuwawezesha Watanzania wafanye biashara...

Elimu

Shule 753 Tanzania zapewa vifaa vya wenye mahitaji maalum  

SERIKALI ya Tanzania imetumia Sh. 2.3 bilioni katika mwaka wa fedha 2019/20 kununua vifaa vya kielemu na saidizi kwa ajili ya wanafunzi wenye...

Kimataifa

Kenya kufungua shule Januari 2021

SERIKALI ya Kenya imesema, shule za msingi na sekondori nchini humo zitafunguliwa Januari 2020. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hayo yamesemwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mayrose achukua fomu urais Chadema, aahidi chakula na mishahara bora

DAKTARI Mayrose Majinge, amechukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020....

Habari Mchanganyiko

Sunflag: Tumeongeza ufanisi, tupeni kazi

UONGOZI wa Kiwanda cha Kutengeneza Nguo cha Sunflag, kilichopo mkoani Arusha, kimeeleza kuwa na uwezo wa kuzalisha sare za majeshi na shule nchini...

Habari za Siasa

Msimamo wa JPM wamtisha RC Mbeya

ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC) alikuwa na mpango wa kwenda kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini, lakini amefuta wazo...

Habari za Siasa

Uchaguzi mkuu 2020: Mrema asema mitego ya TLP haijakaa sawa

AUGUSTINE Lyatonga Mrema, Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), amesema mitego ya chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, bado...

Habari Mchanganyiko

Serikali ya Tanzania yawahakikishia usalama watalii

WIZARA ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania, imewahakikishia usalama wa watalii wanaoingia nchini humo kutembelea utalii hawaathiriki na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua DC, Ma-DED 5

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya (DC) na Wakurugenzi wa Halmashauri (DED) tano nchini humo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Membe azidi kuwatega upinzani, asema atashinda urais 2020

BERNARD Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania anazidi kuviweka mtegoni vyama vya upinzani nchini humo baada ya kusema, atagombea urais...

Habari za Siasa

Ma-DAS 5 wateuliwa, yupo mtangazaji wa Clouds

WAZIRI wa Nchi, Ofisa ya Rais, Mwnejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amefanya uteuzi wa makatibu tawala watano wa wilaya (DAS)...

Habari za SiasaTangulizi

Membe arudisha kadi ya CCM, mamia wamsindikiza

BERNARD Kamillius Membe, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, ametangaza kurejesha kadi yake ya uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari za Siasa

Iddi Azzan kurejea ‘jimboni kwake’ Kinondoni

IDDI Azzan, aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni (CCM), anajipanga kumvaa Maulid Mtulia anayemaliza muda wake kwenye jimbo hilo, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

UVCCM: Jimbo la Iringa Mjini tunashinda asubuhi

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, jimbo la Iringa Mjini watashinda asubuhi na mapema....

Habari Mchanganyiko

Walimu 3 wadakwa kwa ‘kuuza’namba ya mtihani ya mwanafunzi

WALIMU watatu wa Shule ya Sekondari y aKutwa Kalenge (Kalenge Day), Biharamulo, Kagera wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  (Takukuru),...

Michezo

Watoto 30 waibuliwa Iringa, kwenye shindano la kusaka vipaji

KITUO cha kukuza vipaji cha Iringa Football Academy kimefanya majaribio ya wazi (Trial) kwa watoto wenye umri wa miaka 15 mkoani humo na...

Habari Mchanganyiko

Kisa bangi, bosi dawa za kulevya athibitishwa na aapishwa

RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amemwapisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Watakaoandamana tutawashughulikia – Polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa onyo kwa watu wanaopanga kufanya maandamano kesho tarehe 7 Julai 2020, kwa ajili...

error: Content is protected !!