Sunday , 19 May 2024

Month: September 2018

Habari za Siasa

Mwakyembe atoa sababu 10 za kuhamia CCM

ALIYEKUWA Diwani wa Mtoni kwa tiketi ya CHADEMA, Bernard Mwakyembe, ametoa sababu 10 zilizomfanya aondoke Chadema na kuhamia CCM. Anaripoti Gerva Lyenda …...

Habari za Siasa

Lugola, Polisi watoke mafichoni kujibu maswali haya  

TUKIO la dereva wa basi la daladala maarufu Hiace, Andrew Kiwia, limeibua maswali yasiyo na majibu hasa baada ya kauli ya kamanda wa...

Habari za Siasa

Mabalozi watakaoacha kazi na kunywa wine, watakiona cha moto

RAIS John Magufuli amewataka mabalozi wa Tanzania katika nchi za nje ambao hawajatumia vyema madaraka yao katika kuiletea nchi maendeleo, kujiandaa kurudi nyumbani....

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amuapisha Dk. Ndumbalo huku akimuhurumia

RAIS John Magufuli amesema anamuonea huruma Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Damas Ndumbaro, kwa kuwa anakwenda...

Kimataifa

NGO’s zapigwa ‘stop’ Burundi, kisa ushoga

TAASISI na Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Burundi yamesitishwa kutoa huduma katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Oktoba hadi Disemba mwaka huu,...

Afya

Hospitali zote zatakiwa kuonesha vipindi vya Afya

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya , Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Waganga Wafawidhi kuonesha vipindi...

Habari Mchanganyiko

Fedha za maendeleo yavuruga mkutano

MWENYEKITI wa kijiji cha Kikundi, kata ya Tomondo, Morogoro, Musa Muhongo ameahirisha mkutano mkuu wa kijiji mara baada ya wanakijiji kuchachamaa wakidai kuelezwa...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yashinda tuzo ya kimataifa

TANZANIA imetunukiwa tuzo ya Kimataifa ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambikiza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tuzo hiyo alikabidhiwa jana tarehe 27...

Habari Mchanganyiko

Soko la Mitumba lateketea kwa moto

MABANDA takribani 1,000 ya wafanyabiashara katika Soko la Mlango Mmoja lililoko jijini Mwanza yameteketea kwa moto alfajiri ya leo tarehe 28 Septemba 2018....

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa vijiji wasakwa na Jeshi la Polisi, kisa bangi

JESHI la Polisi mkoani Arusha linawasaka viongozi wa kijiji cha Kisimiri Juu kilichopo wilayani Arumeru kwa tuhuma za kukiuka agizo la serikali pamoja...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge aliyetishia kuhamia CCM, ahamia kweli

MBUNGE wa Serengeti (Chadema), Marwa Chacha amejiuzulu uanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza leo Septemba...

Habari Mchanganyiko

MV Nyerere sasa yaelea Ziwa Victoria

JUHUDI za unyanyuaji meli ya MV Nyerere zimefikia hatua nzuri baada ya kuinuliwa na kuanza kuonesha taswira yake ya siku zote. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Cristiano Ronaldo ruksa kuivaa Man United

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) limethibitisha kumfungia mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa mshambuliaji wa klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo baada ya...

Habari za Siasa

Makonda awachongea Kubenea, Mnyika, Mdee kwa Rais Magufuli

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amelitumia Jukwaa la Uzinduzi wa Daraja la Juu (Mfugale Flyover) kumweleza Rais John Magufuli...

Habari Mchanganyiko

Polisi wasusiwa maiti Moshi, wamtaka Kangi Lugola

NDUGU wa marehemu Andrew Kiwia, aliyekuwa dereva wa Hiace wamesusa kuchukua mwili wa ndugu yao. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Ndugu hao wameeleza...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Dar mtaipenda tu

RAIS John Magufuli amesema serikali yake itabadilisha muonekano wa Jiji la Dar es Salaam kupitia miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu hasa ya...

Michezo

Amunike amtosa Kichuya, awarudisha nyota wa Simba

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Emmanuel Amunike ametangaza majina ya wachezaji 30 watakaoingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo...

Habari za SiasaTangulizi

JPM: Wapinzani njooni niwatue mzigo

RAIS John Magufuli amewakaribisha wabunge na madiwani wa upinzani wanaosumbuka na mizigo katika vyama vyao, kuingia CCM. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Rais...

Michezo

Barcelona, Madrid, Liverpool waonja joto la jiwe

MICHEZO mbalimbali iliendelea jana barani Ulaya kwa kushuhudia magwiji wa tatau Liverpool, Barcelona na Real Madrid wakikubali kupokea vichapo ambavyo viliwashangaza wadau wengi...

Michezo

Mwamuzi Simba vs Yanga huyu hapa

JONESIA Rukyaa kutoka Kagera ametangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kuwa mwamuzi wa kati kwenye mechi ya Simba na Yanga...

Habari Mchanganyiko

Walimu Hazina kizimbani kwa kuiba mitihani

PATRICK Cheche, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Kimataifa Hazina pamoja na walimu wanne wa shule hiyo, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya...

Habari za Siasa

MV Kigamboni, MV Kazi kusitishwa huduma zake

IWAPO Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) pia Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) watashindwa kuboresha usafiri wa...

Habari za Siasa

Kangi Lugola atengua uamuzi wake mwenyewe

SERIKALI imefuta utaratibu wa utoaji vibali kwa wananchi wanaolima jirani na kambi za wakimbizi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katazo hilo limetolewa jana...

Habari za SiasaTangulizi

Ndumbalo ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje

RAIS John Magufuli amemteua Mbunge wa Songea Mjini, Dk. Damas Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

Habari za Siasa

Chadema yazindua Sera mbadala ya maendeleo ya Taifa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua sera mbadala ya Taifa leo Jumanne tarehe 25 Septemba, 2018. Akizungumza wakati wa uzinduzi, Mwenyekiti wa...

Habari za SiasaTangulizi

Fredrick Sumaye aviponda viwanda vya Magufuli

WAZIRI Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano, Fredrick Sumaye amesema, nchi kwa sasa inaendeshwa “kiholela,” na kudai kuwa ikiwa chama chake kitafanikiwa kushika madaraka,...

Kimataifa

Marekani yamkaba koo Rais Museveni kuhusu bobi Wine

MAREKANI imeitaka serikali ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kufuta mashtaka ya uhaini iliyofungua mahakamani dhidi ya Mbunge wa Kyadondo Mashariki , Robert...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba: Nipo tayari kung’oka CUF

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amefungua milango kwa mwanachama mwenye uwezo kujitokeza na kugombea nafasi aliyonayo sasa. Anaripoti Regina...

Habari MchanganyikoTangulizi

Saa 24 za kilichojiri Ukara  

WAKATI harakati mbalimbali zikiendelea kufanywa na serikali kuhakikisha shughuli za wakazi wa Kisiwa cha Ukara zinaendelea, hatua mbalimbali zimeendelea kuchukuliwa. Anaripoti Mwandishi wetu…(endelea)....

Michezo

Messi, Ronaldo wamekosa nidhamu

KITENDO cha Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kutotokea kwenye hafla ya utoaji tuzo ya Mchezaji Bora wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani...

Kimataifa

Aibu Ikulu, Mtoto wa Rais ashikiliwa kwa utakatishaji fedha

VYOMBO vya dola nchini Angola vimemuweka kizuizini Jose Filomeno Dos Santos, mtoto wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Jose Eduardo Dos Santos...

Habari Mchanganyiko

TCU watia kitanzi vyuo viwili

TUME ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imevifuta vyuo vikuu viwili kikiwemo cha Mtakatifu Yohana (SJUT) kilichopo Msalato Dodoma na Theophil Kisanji (TEKU) cha...

Makala & UchambuziTangulizi

Mafia inasubiri ya MV Nyerere?

NAWAKUMBUSHA tu wale mahodari wa kutuma salaam za rambirambi, na wakukataza majanga ya ajali yasigeuzwe mtaji wa kisiasa,  wakumbuke na Kisiwa cha Mafia...

Habari za SiasaTangulizi

Leo kila mwathirika MV Nyerere kulamba Mil 1

RAIS John Magufuli anatarajiwa kutoa kiasi cha Shiling milioni moja kwa kila mwathirika wa ajali ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba 2018....

Habari Mchanganyiko

Waombaji 25,000 wakosea kuomba mkopo Elimu ya Juu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewataka waombaji mikopo katika mwaka wa masomo 2018/2019 ambao fomu zao zina kasoro,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Shaffih Dauda atoka kwa dhamana, Soudy Brown aendelea kusota

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachilia kwa dhamana watangazaji Sudi Kadio maarufu kama Soudy Brown na Shaffih Dauda na wengine wanne. Anaripoti Faki...

Makala & Uchambuzi

Kujivika utukufu ni kujivika uzuzu

WAPENDWA tuanze maandiko ya leo kama tulivyoanza maandiko ya mara ya mwisho. Tulikumbushana kuwa sisi wote tumekutana katika nchi hii pasipo wenyewe kuridhia!...

Habari za Siasa

Jenerali Waitara kuongoza uchunguzi ajali MV Nyerere

JENERALI Mstaafu, George Waitara kuongoza jopo la wajumbe saba wa Tume ya kuchunguza ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mahakama yaamuru Maua Sama, Sudi Brown kufikishwa mahamakani, Serikali yaufyata

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia ombi la Serikali kujibu kwa kiapo shauri la maombi ya dhamana kwa Msanii wa Bongo Fleva, Maua...

Michezo

Kadi zawaondoa Fei Toto, Bocco mchezo wa Simba, Yanga

KUELEKEA mchezo utakaowakutanisha watani wajadi Simba na Yanga, Septemba 30, 2018 wachezaji tegemeo kwa vikosi vyote viwili Feisal Salumu ‘Fei Toto’ wa Yanga...

Michezo

Fellaini ashika namba nne kulipwa mshahara mnono Man United

KIUNGO wa Manchester United ambaye ni raia wa Ubelgiji, Marouane Fellaini, ameongezewa mshahara unaomfanya ashike namba nne kati ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa...

Habari Mchanganyiko

Mwanafunzi kidato cha nne mbaroni kwa kutupa kichanga

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Isengo, Ines Mtundu (19) kwa kosa la...

Habari za Siasa

Nape Nnauye apata ajali leo asubuhi Liwale

NAPE Nnauye, Mbunge wa jimbo la Mtama,  amepata ajali asubuhi ya  leo tarehe 24 Septemba 2018  akiwa safarini kuelekea wilaya ya Liwale mkoani...

KimataifaTangulizi

Museveni kung’oka madarakani?

RAIS wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, aweza kung’oka madarakani ndani ya kipindi cha miaka miwili kutoka sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

MV Nyerere yazidi kuondoka na Vigogo, JPM atumbua wengine

RAIS John Magufuli ameivunja Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (SUMATRA) ikiwa ni muendelezo wa hatua...

Habari za Siasa

Zitto awataka mawaziri wa JPM wajiuzulu, kisa MV Nyerere

Anaandika Zitto Kabwe Ajali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri? Ni masikitiko makubwa kwamba, Serikali ya wanyonge imeokoa mtu mmoja,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli avunja Bodi ya Ushauri TEMESA

RAIS John Pombe Magufuli ameivunja bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa iliyotolewa na...

Habari Mchanganyiko

Ashitakiwa kwa uhujumu uchumi, kisa kudhamini kesi ya vipodozi

MKAZI wa mtaa wa Uzunguni wilaya ya Muleba, Kagera, Alex Chacha anasota katika gereza la Butimba Mwanza kwa tuhuma za uhujumu uchumi baada...

error: Content is protected !!