Thursday , 9 May 2024

Month: September 2018

Michezo

Anthony Joshua aendeleza rekodi ya kibabe

BONDIA wa Uingereza, Anthony Joshua (28), usiku wa kuamkia Jumapili Septemba 23, 2018, ameendeleza ubabe kwa kumtwanga Alexander Povetkin (39) kwa KO (Knock...

Habari za Siasa

Kubenea: Michango ya MV Nyerere iwafikie waathirika

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, ameitaka serikali ifikishe kwa waathirika michango inayokusanya. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kubenea ameyasema hayo kwenye mahojiano maalum...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mil 180 zachangwa leo kusaidia waathirika ajali MV Nyerere

MPAKA kufikia saa 12:00 jioni ya leo tarehe 23 Septemba 2018, jumla ya Sh. Mil 180 zimechangwa kwa ajili ya kusaidia walioathirika kwenye...

Habari za Siasa

Kangi: Wanaotumia ajali MV Nyerere kisiasa, watashughulikiwa

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewaonya baadhi ya watu wanaotumia ajali ya kivuko cha MV Nyerere kuichonganisha serikali na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kuzama MV. Nyerere: Nimeachiwa mtoto anayenyonya

SIMULIZI za Merry Mgowe, mkazi wa Kisiwa cha Ukara zinaumiza ngoma za masikio hasa baada ya kubaini kuwa, sasa yeye ndiyo mlezi kamili...

Michezo

Rais CAF aguswa na ajali ya MV Nyerere

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Ahmad Ahmad kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametuma salamu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Oil yaokoa maisha ya Mhandisi kivuko cha MV Nyerere

OIL imetajwa kuwa miongoni mwa sababu zilizookoa maisha ya Mhandisi wa Kivuko cha MV Nyerere, Alphonce Charahani, aliyeokolewa akiwa hai baada ya kupita...

Habari MchanganyikoTangulizi

Falsafa ya Askofu Bagonza kuzama kwa MV Nyerere

ANAANDIKA Baba Askofu Dk. Benson Bagonza (PHD), Daktari wa Falsafa na Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. MAPENZI YA MUNGU NA MAPENZI YETU...

Kimataifa

Dada wa Kabila akamatwa na begi la hela Dubai

DADA wa Rais wa Kongo (DRC), Joseph Kabila, anayefahamika kwa jina la Janeth Kabila, amekamatwa na mamilioni ya dola za Kimarekani nchini Imarati...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya dhamana ya Sudi Brown, Maua Sama, Shaffih kusikilizwa J’tatu

KESI ya maombi ya dhamana Na. 13/2018 ya Msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama, Watangazaji Sudi Kadio maarufu kama Soudy Brown na Shaffih...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali kugharamia mazishi waliofariki MV Nyerere

SERIKALI imesema itagharamia shughuli za mazishi ya miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya MV Nyerere iliyotokea juzi tarehe 20 Septemba 2018....

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Waliozamisha MV Nyerere wakamatwe, maombelezo siku nne

SERIKALI imeagiza vyombo vya dola kuwakamata na kuwahoji wahusika katika uendeshaji safari za kivuko cha MV Nyerere kuhusu ajali ya kivuko hicho iliyotokea...

Michezo

Wamiliki Simba kufanya maamuzi magumu

BAADA ya kutokuwa na mwenendo mzuri wa matokeo katika michezo miwili ya Ligi kuu Tanzania Bara, Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba inatarajia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waliofariki MV Nyerere wafikia 136, Sirro kufanya uchunguzi

IDADI ya miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere iliyotokea jana tarehe 20 Septemba 2018 imeongezeka kutoka watu...

Habari za Siasa

Kuzama MV Nyerere: Lowassa, Mbatia, Maalim Seif wamvaa JPM

JAMES Mbatia, Mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi-Taifa amesema, ajali ya MV. Nyerere iliyotokea jana katika Ziwa Victoria ni ya...

Michezo

Yondani kuikosa Singida United

BEKI wa Yanga, Kelvin Yondani ataukosa mchezo Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida United unaotarajia kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waliofariki MV Nyerere wafika 94

IDADI ya watu waliofariki dunia katika ajali ya kivuko cha MV. Nyerere katika Ziwa Victoria jana. Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea). Mpaka kufika...

MichezoTangulizi

Huwezi kujua kesho ya mpinzani wako

SITAKI kumtetea Patrick Aussems na wala sitaki kusimama upande wa Masoud Djuma lakini najisikia kusema jambo dogo tu baada ya dakika 90 pale...

Habari MchanganyikoTangulizi

Meli ya MV Nyerere yazama Ziwa Victoria

KIVUKO cha MV. Nyerere kinachotoa huduma kati ya Ukara na Bugorola wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza kimezama mchana wa leo tarehe 20 Septemba...

KimataifaTangulizi

Bobi Wine akamatwa tena, apelekwa pasipojulikana

MBUNGE wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama ‘Bobi Wine’ amekamatwa na Jeshi la Polisi alipowasilisi katika Uwanja wa Ndege wa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli afanya uteuzi mpya NSSF

RAIS John Magufuli amemteua Balozi Mstaafu, Ali Idi Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya kuvunja Muungano yakwama

MAHAKAMA ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na wananchi ya kupinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

India wapiga marufuku kuacha mke

SERIKALI ya India imeanza utekelezaji wa muswada wa sheria ya ulinzi wa haki katika Ndoa wa mwaka 2017 uliokwama kupitishwa na bunge la...

Habari Mchanganyiko

BOT watoa onyo kwa wanaochezea fedha

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi wanaodhihaki na kukejeli fedha ya nchi, kwa kuwa kitendo hicho ni kosa la jinai...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wagoma mpaka 2020

KAMATI Kuu ya Chadema imeazimia kususia chaguzi ndogo zinazotarajiwa kufanyika hivi karibuni kutokana na kutoridhishwa na uendeshwaji wa chaguzi ndogo zilizopita. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole ajikanyaga Uchaguzi Ukonga

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedai kwamba, mahudhurio hafifu ya wapiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa...

Michezo

Yanga yawaondoa wanne kikosini

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaondoa kikosini wachezaji Haji Mwinyi, Ramdhani Kabwili, Pius Buswita na Said Makapu kutokana na sababu za utovu...

Michezo

Uchaguzi wa Simba wapigwa Stop

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake, Wakili Revocatus Kuuli imetangaza kuusimamisha Uchaguzi Mkuu wa...

Afya

Majaliwa apiga marufuku dawa mbadala

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali itadhibiti matumizi mabaya ya baadhi ya dawa za hospitali na kemikali zinazowekwa katika vyakula, ambazo hutumiwa kama...

Makala & Uchambuzi

Nani aliyeomba kuzaliwa Tanzania?

WAPENDWA sisi wote tumekutana katika nchi hii pasipo wenyewe kuridhia! Anaandika Mwalim Mkuu wa Walimu…(endelea). Hakuna kati yetu aliyeomba azaliwe katika nchi hii...

Habari za Siasa

Mwita Waitara arudi tena Ukonga

MGOMBEA Ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ukonga uliofanyika jana, Mwita Waitara ameibuka mshindi baada ya kupata kura ya asilimia...

Habari za Siasa

Simu ya JPM yampeleka Lukuvi Bunda

SIKU 12 baada ya Rais John Magufuli kumwagiza William Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutatua mgogoro wa kiwanja cha...

Habari za SiasaTangulizi

Kalanga ashinda Monduli, aahidi makubwa

MBUNGE mteule katika jimbo la Monduli aliyeshinda kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana tarehe 16 Septemba 2018 kwa kura asilimia 95, Julius Kalanga ameahidi...

Habari za Siasa

Mawakala Chadema, NCCR wasulubiwa Ukonga

MSIMAMIZI wa kituo cha Uchaguzi Pugu mnadani, Mustapha Zayumba amewatimua mawakala Chadema, NCCR-Mageuzi na NLD. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mustapha amesema, amewatimua...

Habari za SiasaTangulizi

Gari la mbunge Chadema lashambuliwa kwa risasi Monduli

ANNA Gidarya, Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Manyara ameeleza kuwa, gari lake limeshambuliwa kwa risasi leo tarehe 16 Septemba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

CUF yapigwa bao mapema Dar

MOHAMED Faki, mgombea udiwani katika Kata ya Vingunguti (CUF) Dar es Salaam ameanza kukaangwa mapema. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mawakala wa Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Makontena ya Makonda kugaiwa kwa umma

IWAPO Makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda yanayopigwa mnada na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kupitia Kampuni...

Habari za Siasa

Polisi wawatahadharisha wakazi wa Monduli

IKIWA kesho tarehe 16 Septemba 2018 ni siku ya uchaguzi mdogo katika majimbo mawili na kata zaidi ya 20 za Tanzania Bara, Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Maskini Mbowe! Yamemkuta tena

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco) mkoani Kilimanjaro limekata umeme kwenye hoteli inayomilikiwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa. Anaripoti Faki...

Habari za Siasa

Mambosasa: Tumejiandaa kuwashughulikia ipasavyo Ukonga

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema litawashughulikia kisheria wale wote wenye lengo la kufanya vurugu siku ya uchaguzi mdogo...

Michezo

TAKUKURU wamsaka Hans Pope, kisa nyasi bandia

TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU imetangaza rasmi kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajiri ya Simba, Zacharia Hans Pope baada...

Habari za Siasa

NEC watangaza Uchaguzi mdogo mwingine

UCHAGUZI mdogo katika kata 37 za Tanzania Bara unatarajiwa kufanyika tarehe 13 Oktoba 2018. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Tarehe hiyo imetangazwa leo...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea awaibua Tundu Lissu, Ben Saanane, Ulimboka bungeni

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea ameibua bungeni tukio la kushambuliwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Mwanahabari Absalom Kibanda, Ben Saanane na...

Habari za Siasa

Maalim Seif mguu nje, mguu ndani CUF

TAMKO la Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa CUF kwamba ‘muda ukifika nitazungumza’ kuhusu kuhama chama hicho inatikisa msimamo wake wa awali....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Lowassa wala kiapo Monduli

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho wameapa hadharani kumkabili...

Habari za SiasaTangulizi

Bendera ya Chadema yawazuzua CCM Ukonga

NI kama maneno ya kumnadi Mwita Waitara yamewaishia makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kwanza kushambulia rangi za bendera ya Chadema....

Michezo

Kuwaona Makambo, Kagere buku saba

KUWAONA washambuliaji wawili Meddie Kagere wa Simba na Heritier Makambo wa Yanga wawili hao wataonyeshana ubabe Septemba 30, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar...

Makala & UchambuziTangulizi

Urais Zanzibar si rahisi (3)

ZANZIBAR katika maisha yake, imepigwa mapigo ya aina kwa aina. Imepigwa kwenye pande zote za kimaendeleo; pembe zote – Kaskazini, Kusini, Mashariki na...

Habari za Siasa

Kangi Lugola: Mwananchi akifia kwenye mapenzi kachomeni kitanda

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameshangazwa na kitendo cha baadhi ya wananchi kuchoma vituo vya polisi pindi raia anapofariki...

Habari Mchanganyiko

Waliokutwa na madini kinyume na sheria, wakwepa kifungo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu miaka mitatu jela ama kulipa faini ya Sh. 24 milioni wafanyabiashara wawili wa madini baada ya kukiri kosa la...

error: Content is protected !!