September 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Kubenea: Michango ya MV Nyerere iwafikie waathirika

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo

Spread the love

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, ameitaka serikali ifikishe kwa waathirika michango inayokusanya. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea).

Kubenea ameyasema hayo kwenye mahojiano maalum na MwanaHALISI TV baada ya Serikali kupitia kwa Waziri Jenister Mhagama kutangaza kuwa imefungua akaunti benki kwa ajili ya kupokea michango toka kwa wasamaria wema.

error: Content is protected !!