MADEREVA waliohitimu mafunzo ya udereva wa magari makubwa katika shule ya udereva kilwa road VTC Academy driving School iliyopo katika chuo cha...
By Masalu ErastoNovember 8, 2023NCHI ya Urusi, imeingilia kati mgogoro unaoendelea Palestina kwa kufanya mazungumzo na ujumbe wa kundi la wanamgambo wa kiislamu, Hamas, ili kutafuta...
By Masalu ErastoOctober 27, 2023BETI na Meridianbet mechi zako za ushindi hii leo zikiwa tayari zimewekwa kwa kuzingatia ubora wa timu, ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya...
By Masalu ErastoOctober 24, 2023HUENDA usiamini kama ni kweli lakini ni kweli na uhalisia wa Maisha, huwezi amini kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuletea Sloti...
By Masalu ErastoOctober 24, 2023KAMA unataka kufurahia wikendi yako bashiri na Meridianbet siku hizi za mapumziko uweze kujipigia maokoto yatakayokufanya ufarahie sana kwani mabingwa hawa wa ubashiri...
By Masalu ErastoOctober 20, 2023MARUBANI wote wanajua sehemu pekee ya kupata ndege ya bure ya kupaa nayo, meridianbet wanaendelea kutoa free bet kwenye kasino yao ya mtandaoni...
By Masalu ErastoOctober 19, 2023WAFANYABIASHARA wanne wanaoishi jijini Dar Es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, wakikabiliwa na mashitaka sita likiwemo la kutakatisha fedha na...
By Masalu ErastoOctober 18, 2023ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amekutwa na hatia ya ulaghai kwenye shughuli zake za biashara katika muongo mmoja uliopita. Anaripoti Mwandishi...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2023SEKTA za matibabu na dawa za nchini China zimetajwa kuwa ndio kipaumbele cha kipekee zaidi katika kampeni ya Rais Xi Jinping ya...
By Masalu ErastoAugust 24, 2023BARAZA la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), limepinga mkataba wa usimamizi na uendelezaji wa bandari nchini, kati ya Tanzania na kampuni ya...
By Masalu ErastoAugust 18, 2023BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Luteni Jenerali Mstaafu Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha hati...
By Masalu ErastoAugust 17, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemlilia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, aliyefariki Dunia ghafla jijini Dar es Salaam. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 12, 2023RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha wa 2021/22, imewasilishwa bungeni jijini Dodoma, kwa...
By Masalu ErastoApril 6, 2023BUNGE la Tanzania, limeombwa kutenga muda wa kutosha kwa ajili ya kuwashughulikia baadhi ya watumishi wa umma waliotuhuma kwa makosa ya ubadhirifu...
By Masalu ErastoApril 4, 2023MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amesema miongoni mwa msururu wa hatua mpya za kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Tanzania, Benki ya...
By Masalu ErastoMarch 30, 2023Mkurugenzi wa Fedha Vodacom Tanzania Plc, Hilda Bujiku (mwenye kipaza sauti) akizungumza wakati wa jukwaa la Women’s Network Forum lililoandaliwa na kampuni hiyo...
By Masalu ErastoMarch 9, 2023WAKATI wanawake wa wilaya ya Ileje mkoani Songwe wakiadhimisha siku ya wanawake duniani imeelezwa kuwa katika kipindi cha mwaka 2022 na 2023...
By Masalu ErastoMarch 8, 2023MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, ameshauri baadhi ya wateule wa aliyekuwa Rais wa...
By Masalu ErastoMarch 2, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba katika...
By Masalu ErastoFebruary 26, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),limeishauri Serikali kuchukua hatua za kumaliza changamoto za msongamano wa shehena...
By Masalu ErastoFebruary 7, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali kuchukua hatua za haraka kuwasaidia wananchi wa wilaya za Liwale na Nachingwea mkoani Lindi, wanaokabiliwa na baa...
By Masalu ErastoFebruary 3, 2023KUELEKEA siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Serikali kwa kushirikiana na Shirika la kikristo la kuhudumia wakimbizi nchini (TCRS) wametoa mafunzo ya...
By Masalu ErastoDecember 8, 2022TAASISI za kifedha nchini zimetakiwa kukimbilia kuongeza nguvu kwenye uwekezaji wa wazawa wenye kutoa nafasi ya kwanza kuzalisha ajira huku ukiwa na malipo...
By Masalu ErastoNovember 7, 2022TAARIFA za mwananchi aliyedaiwa kupoteza maisha akiwa kwenye foleni ya mbolea wilayani Songea mkoani Ruvuma, zimeibua mvutano mkali bungeni baada ya Mbunge...
By Masalu ErastoNovember 5, 2022MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza utabiri wa Msimu wa Mvua za Mwaka unaotarajiwa kuanza mwezi Novemba 2022 na kumalizika Aprili...
By Masalu ErastoOctober 26, 2022MARA baada ya kuangukia kwenye michuano ya kombe la Shirikisho, klabu ya soka ya Yanga imepangwa kumenyana dhidi ya Club Africain ya...
By Masalu ErastoOctober 18, 2022MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imedhamiria kufanikisha maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kufanya mageuzi makubwa ya uchumi wa...
By Masalu ErastoOctober 13, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema sekta zote zitaongeza nguvu, rasilimali fedha na rasilimali watu ili kuboresha kiwango cha lishe kwa Watoto wenye...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2022Waziri wa Katiba na Sheria, Damas Ndumbaro, ameeleza umuhimu wa Chama cha Mawakili wa Serikali kwa kueleza majukumu yao kuwa mazito na muhimu...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2022WAKILI Mkuu wa Serikali, Gabriel Malata, ameomba kuanzishwa kwa kituo cha Usuluhisho wa migogoro nchini kwa lengo la kutatua mizozo mbalimbali inayo zikabili...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2022KIMBUNGA Ian kimetokea Florida nchini Marekani na kusababisha madhara makubwa ikiwemo mafuriko. Anaripoti Helena Mkonyi TUDARCo, kwa msaada wa vyombo vya habari vya...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maofisa watano wa Halmashauri...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2022MAMLAKA ya Hong Kong, imewaondolea sharti la kukaa karantini wasafiri kutoka nchini Tanzania wanaofanya safari zao mbalimbali nchini humo. Anaripoti Felister Mwaipeta TUDARCo...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2022KATIBU wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amewasisitiza wanachama wa chama hicho kujitokeza kwenye uchaguzi wa ngazi...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema bima ya afya kwa wote itaanza kazi kuanzia tarehe 1 Julai 2023, endapo Bunge la Tanzania,...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2022MKUU wa mkoa wa Mwanza, Adam Malima, amesema Serikali imeingia kwenye makubaliano na kampuni ya OA Coal ambayo itajenga mgodi wa pili kwa...
By Masalu ErastoSeptember 26, 2022IKIWA kawa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara, imesimama kwa baadhi ya timu ili kupisha michezo ya kimataifa kwenye kalenda ya Shirikisho la...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2022MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele ameonekana kutokuwa na wasiwasi na mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2022HATIMAYE majaji sita ambao walikuwa wameteuliwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) nchini Kenya mwaka 2019 na majina yao kukataliwa na...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2022SERIKALI imeagiza maofisa elimu katika halmashauri zote nchini kusimamia na kutekeleza ipasavyo muongozo wa kuwarejesha shuleni wanafunzi walioacha au kukatishwa masomo kwa...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema jumla ya watoto 14,690,597 wametiwa huduma ya chanjo ya polio ya matone sawa na asilimia 118.6...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amepinga uanzishwaji wa mahabusu za watuhumiwa wa dawa za kulevya pamoja na masharti ya kumuweka mtu...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2022ASKOFU Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, John Ackland Ramadhani amefariki dunia jana tarehe 12 Septemba, 2022 katika Hospitali ya Taifa...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2022WAKATI dunia ikiomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, watumiaji wa mtandao wa Twitter wameibua Tweet ya mganga mmoja matata aliyebashiri...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2022WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo tarehe 10 Septemba, 2022 wanatarajiwa kufanya uchaguzi wa ndani wa wagombea wa ubunge wa Bunge...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2022SEKRETARIETI ya chama cha TLP imemchagua aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Hamadi Mkadamu kuwa kaimu mwenyekiti taifa wa chama hicho kufuatia kifo cha...
By Masalu ErastoSeptember 9, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametaka mkazo zaidi uwekewe kwenye kufundisha na kueneza sera mpya ya R-Nne inayohusu upatanishi, kuvumiliana, kuishi pamoja na...
By Masalu ErastoSeptember 8, 2022KAMATI Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM imeiagiza serikali kusikiliza maoni na ushauri wa wananchi kuhusu utekezaji wa bajeti ya...
By Masalu ErastoSeptember 8, 2022OFISI ya Waziri Mkuu Kivuli ya Chama Cha ACT Wazalendo, imefanya mabadiliko ya Baraza Kivuli la Mawaziri ikiwa ni mara ya kwanza...
By Masalu ErastoSeptember 8, 2022MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei ya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli ambapo zimeshuka hadi...
By Masalu ErastoSeptember 6, 2022