Saturday , 22 June 2024
Home Kitengo Michezo Tengeneza jamvi na Meridianbet sasa katika mechi za AFCON
Michezo

Tengeneza jamvi na Meridianbet sasa katika mechi za AFCON

Spread the love

 

MECHO za AFCON zinaendelea hii leo kama kawaida na sisi kama meridianbet tunasema hivi ushindi ni muhimu kwa kila mtu hivyo weka jamvi lako uanze kubashiri na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania.

Leo hii kinara wa kundi A Equatorial Guinea atakiwasha dhidi ya mwenyeji wa michuano hii Ivory Coast ambaye yeye yupo nafasi ya 3 na pointi zake tatu baada ya kushinda mechi 1 na kupoteza mechi 1. Ivory yenye wachezaji mastaa kama Franck Kessie, Ibrahim Sangare, Seko Fofana na wengine kuibeba timu yao leo? Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 9.60 kwa 1.34. Je nani kushinda leo, bashiri na meridianbet sasa.

Mechi nyingine ni hii hapa inayowakutanisha kati ya Guinea Bissau dhidi ya Nigeria mabo mechi iliyopita walipata ushindi mwembamba kupitia kwa Victor Osimhen. Guinea ndiye kibonde kwenye kundi hili kwani mpaka sasa hajashinda mechi yoyote huku akipewa ODDS 15.68 kwa 1.16 kushinda mechi hii. Nigeria wao wameshinda mechi moja na sare moja. Beti yako unaiweka wapi kati ya mechi hizi mbili?

Si kubashiri tuu, bali unaweza kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni ambayo hii inaweza kukupatia pesa papo hapo, ikiwemo Aviator, Poker, Roullette, Rocketman, Sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa kwa dau dogo tuu.

Kivumbi kingine kipo kwenye mechi ya Cape Verde dhidi ya Egypt majira ya saa 5:00 usiku, huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Misri kwa ODDS ya 1.47 kwa 6.66. Ikumbukwe kuwa timu hiyo itamkosa Mohamed Salah ambaye ni moja ya wachezaji tegemezi kabisa kwenye timu hiyo ambaye ameumia na amerejea Liverpool kambini kwaajili ya matibabu. Verde wamesinda mechi zao zote mbili huku Misri wakiwa wametoa sare mechi zote. Leo nani ni nani?. Jisaji hapa na ubeti.

Naye Mozambique atakuwa na kibarua cha kumenyana dhidi ya Ghana huku timu zote zikiwa hazijashinda mechi yoyote hadi sasa kwenye michezo yao miwili ambayo wamecheza. Mechi hii imepewa ODDS 1.67 kwa Ghana na 5.68 kwa Mozambique. Je Mohamed Kudus kuibeba tena timu yake kama alivyofanya mechi iliyopita?. Bashiri hapa .

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Ukiwa na Meridianbet ni kula pesa tu

Spread the love  Alhamisi ya leo mechi za EURO zinazidi kuendelea huku...

Michezo

Leo pesa utaipatia kwa Ureno na Uturuki ukiwa na Meridianbet

Spread the love  Kama kawaida michuano ya EURO 2024 inazidi kupamba moto...

Michezo

Leo Uingereza, Uholanzi zote kukupa pesa

Spread the love Siku ya leo EURO 2024 kupigwa katika viwanja mbalimbali,...

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa na EURO hapa Meridianbet

Spread the love  Baada ya jana kushuhudia mechi kali ya ufunguzi wa...

error: Content is protected !!