Sunday , 19 May 2024

Month: August 2019

Tangulizi

IGP Sirro: Sasa washughulikieni wauaji

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ameagiza polisi nchini kuwachukulia hatua watu wanaoua wenzao kwa kuwatuhumu ushirikina. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). IGP...

Habari Mchanganyiko

DC Nyamongo: Jiungeni CHF ili mnufaike

VUMILIA Nyamoga, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, amewataka watendaji wa wilaya hiyo kutoa elimu ili wananchi waweze kujiunga na Mfuko wa...

Tangulizi

Sakata la ATCL: Serikali, Musiba waungana

SIKU chache kupita baada ya Cyrispian Musiba, anayejitambulisha kuwa mtetezi wa Rais John Magufuli kudai, kukamatwa kwa ndege ya Shirika la Ndege la...

Habari za Siasa

Kibatala amkwamisha mteja wake Mbowe

WAKILI wa utetezi, Peter Kibatala amekwamisha kesi ya uchochezi inayomkabili Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na wenzake. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Wakili huyo hakutokea...

Tangulizi

Masikini! Mwandishi Kabendera apooza mguu

ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi ndani nje ya nchi, amepatwa na tatizo la kupooza mguu akiwa gerezani. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Taarifa ya...

Habari Mchanganyiko

Polisi laua watatu, lakamata silaha

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es salaam limeua watu watatu wanaodai kuwa majambazi na kukamata silaha mbili aina ya Shortgun na Bastola. Anaripoti...

Habari za Siasa

Shahidi amsukumia ‘zigo’ Mbowe, wenzake

SHAHIDI namba 7 katika kesi Namba 112 ya mwaka 2018, inayowakabili viongozi wa Chadema katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, amedai kwamba ni...

Habari za SiasaTangulizi

IGP Sirro tuhumani

HATUA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuendelea kufanya mikutano ya siasa huku vyama vingine vikinyimwa uhuru huo, sasa inapigiwa yowe. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). IGP...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mwakyembe aibuka na wazo jipya

BODI ya Filamu, Baraza la Sanaa na Chama cha Hatimliki (Basata), vimeshauriwa kuungana ili vifanye kazi kwa pamoja. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Ushauri huo...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Kweli vyuma vimekaza

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “ni kweli vyuma vimekazi” akaongeza “kwa wale wapiga dili.” Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kiongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la ATCL: TLS yamvaa Musiba

CHAMA cha Mawakili Tanzania Bara (TLS), kimelaani shutuma zinazoelekezwa kwa mawakili kwamba hawana uzalendo, wakihusishwa na kukamatwa kwa ndege ya Shirika la Ndege...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Sakata la ATCL: Ubalozi wa Afrika Kusini – Tanzania ‘wavamia’

KUNDI la watu wachache limejitokeza leo tarehe 28 Agosti 2019, kwenye ofisi za ubalozi wa Afrika Kusini, uliopo kwenye barabara wa Shabani Robert...

Habari za Siasa

Ahadi ya Dk. Bashiru kwa wagombea CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, ameahidi kuwapitisha kwenye ‘tanuri’ wagombea wa chama hicho kuelekea uchaguzi wa Serikali za...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la ATCL: Mwigulu, Lema ‘wachapana’

SAKATA la kushikiliwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania Limited (ATCL) nchini Afrika Kusini kwa amri ya mahakama, limechochea mvutano baina ya wabunge...

Habari Mchanganyiko

Kauli ya DC Kigamboni yakera wanaharakati, wamvaa

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), kimetoa wito kwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuwachukuliwa hatua viongozi wanaokiuka...

Habari Mchanganyiko

Jacqueline Mengi ajitokeza ‘nawapenda’

MJANE wa hayati Dk. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amesema, mambo magumu wanayoyapitia wajane sasa na yeye anayapitia. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Jacqueline ametoa kauli...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya kuvuliwa Ubunge: Lissu aiangusha Serikali

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo tarehe 26 Agosti 2019, imetupilia mbali pingazi la Jamhuri kutaka kutosikilizwa ombi la Tundu Lissu,...

Habari Mchanganyiko

Serikali kufufua shirika la uvuvi

SERIKALI imesema, iko mbioni kufufua Shirika la Uvuvi la Taifa (TAFICO), ambalo litawekeza katika uvuvi wa samaki kwenye ukanda wa bahari kuu. Anaripoti Danson...

Habari za Siasa

Kesi ya Halima Mdee: Hakimu atoa ukomo 

MHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkuu, jijini Dar es Salaam imetoa ukomo wa kesi inayomkabili Halima Mdee, Mbunge wa Kawe (Chadema) ya kumtolea lugha...

Makala & Uchambuzi

Z’bar itafakari kauli ya Polepole

TANGU Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole afanye ziara ya kikazi Zanzibar mwaka jana, akili za wanachama...

Habari za Siasa

Viongozi ACT-Wazalendo, mwanahabari wakwama

VIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo pamoja na mwanahabari Haruna Mapunda, wamekwama kufikishwa mahakamani kutokana na jalada lao kupelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Anaripoti...

Habari za Siasa

Lissu Vs Ndugai; Mambo hadharani leo

HATIMA ya mvutano kati ya mawakili wa Jamhuri na utetezi upande wa Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki unatarajiwa kutatuliwa leo tarehe...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jinsi kifo cha kigogo wa Hazina kilivyotokea

JOHANNES Kahangwa (49), aliyefariki 19 Agosti 2019, baada ya kuitumikia Hazina kama Mchumi Mkuu wa Miradi ya Umoja wa Ulaya, amezikwa tarehe 24...

Habari Mchanganyiko

Mwandishi wa THRDC aachiwa kwa dhamana Iringa

MWANDISHI Joseph Gandye, Mhariri wa Maudhui wa Watetezi TV ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi mkoani Iringa, alikokuwa anashikiliwa kwa kosa la...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Madeni yaiweka njiapanda ATCL

MADENI yanayoliandama shirika la ndege la taifa (ATCL), yanazidi kushika kasi, kufuatia mmoja wa wadeni wake, kupata amri ya mahakama kuzuia moja ya...

Habari za Siasa

Chadema watoa neno Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

JOHN Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, ameitaka Serikali kutoa kanuni mapema na kutangaza tarehe ya uchaguzi...

Habari Mchanganyiko

Kukamatwa mwanahabari: THRDC yaomba tume huru ya uchunguzi

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeiomba serikali iunde tume huru kwa ajili ya kuchunguza madai ya baadhi ya polisi...

Habari za Siasa

Polisi wazuia mkutano wa Maalim Seif Temeke

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimezuiwa kufanya mkutano wake wa ndani na Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke kutokana na kukosa kibali. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili waandamizi 15 wa Serikali wahenya kumzuia Lissu

SAA karibu 12 zilizoandamana na vipindi viwili vya mapumziko vilivyochukua jumla ya dakika kumi hivi, zilimtosha Jaji Sillius Matupa wa Mahakama Kuu kutamka...

Habari Mchanganyiko

 ATCL yatangaza mabadiliko ya ratiba za ndege

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) leo tarehe 24 Agosti 2019 limetangaza mabadiliko ya ratiba zake za safari za ndege. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24 – Serikali

KITENDAWILI kuhusu tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, sasa kimeteguliwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Seleman Jafo, Waziri...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaombwa kuboresha michoro ya Usandaweni

SERIKALI kupitia Wizara ya Malisili na Utalii imeshauriwa kuhakikisha inaendeleza na kutangaza vivutio ambavyo vinaonekana kusaulika kama vile michoro ya mapangoni iliyopo Usandaweni...

Habari Mchanganyiko

Polisi ‘wambeba’ mwandishi waliyemkamata kwenda Iringa

MWANDISHI wa Habari za Uchunguzi nchini Tanzania, Joseph Gandye alfajiri la leo tarehe 23 Agosti 2019, amesafirishwa kwenda mkoani Iringa. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Mwandishi wa habari mwingine wa uchunguzi mbaroni

MWANDISHI wa Habari za Uchunguzi  wa mtandao wa Watetezi TV, Jeseph Gadye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kudaiwa kufanya uchochezi na kuchapoisha...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili wa Mbowe alivyombana kwenye ‘kona’ shahidi wa Jamhuri

BAADA ya shahidi namba saba wa Jamhuri, Victoria Wihenge kumaliza kutoa ushidi wake kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018 inayomuhusu Freeman Mbowe, Mwenyekiti...

Habari za Siasa

Rais Shein kufungua mkutano wa Jumuiya ya Madola

RAIS wa Zanzibar Dk. Ally Mohamed Shein, anatarajia kufungua mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola, Kanda ya  Afrika...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kitimtim kortini, Hakimu ‘nitaita polisi’  

MVUTANO umeibuka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kati ya upande wa Jamhuri na ule wa utetezi kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yagomea ripoti, hekaheka Halmashauri Nyang’wale

HATUA ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), kugomea taarifa ya Halmashauri ya Nyang’wale, Geita kwa madai...

Habari Mchanganyiko

NIDA watakiwa kuongeza ofisi za kutoa vitambulisho

MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Kebwe Steven Kebwe ameiagiza ofisi ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) mkoa, kuongeza vituo vya  kutolea...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi Mivumoni Islamic wavumbua kifaa kuashiria moto

WANAFUNZI wa Kidato cha Nne wa mchepuo wa sayansi katika Shule ya Sekondari ya Kiislamu ya Mivumoni – Kindondoni, Mtambani jijini Dar es...

Habari za Siasa

Mwenge wapitisha miradi Ikungi, DC Mpogolo apongezwa

EDWARD Mpogolo, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Singida amepongezwa kwa kusimamia miradi ya maendeleo ndani ya muda mfupi tangu ateuliwe kwenye nafasi hiyo....

Habari za Siasa

Balozi Palestina ampongeza JPM

BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour AbuAli amempongeza Rais John Magufuli na serikali yake kwa kuimarisha uchumi wa nchi yake. Anaripoti Yusuph...

Habari Mchanganyiko

Mpina avunja bodi ya maziwa

UTENDAJI mbovu wa Bodi ya Maziwa, umemsukuma Luhaga Mpina, Waziri wa Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania kuvunja bodi hiyo. Anaripoti Hamisi Mguta…(endelea). Katika...

Habari za Siasa

Prof. Kabudi: Afrika hakuna kama Mwl. Nyerere

WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Nchi, Prof. Palamagamba Kabudi amesema, hakuna kiongozi aliyefanya makubwa Afrika zaidi ya Rais wa Awamu ya Kwanza,...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Shahidi wa Jamhuri afungua ‘darasa’ kortini

SHAHIDI wa saba katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema,Victoria Wihenge amefungua ‘darsa’ kortini kwa kueleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa kuelekea kwenye chaguzi....

Afya

Sababu ongezeko vifo ajali ya Lori Morogoro yaelezwa

HATUA ya majeruhi wengi wa ajali ya Lori la mafuta lililowaka moto Morogoro, walifikishwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimibi (MNH) kuendelea kupoteza...

Habari Mchanganyiko

Upatu, utakatishaji fedha wawapandisha kortini

MAGDALENA Uhwello na Halima Nsubuga leo tarehe 21 Agosti 2019, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na...

Habari Mchanganyiko

Wabunge, wastaafu kuondolewa kwenye nyumba za TBA

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA), wameamua kuondoa wadaiwa sugu katika nyumba zao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). TBA wameeleza kuwa, wapangaji hao mpaka...

Habari Mchanganyiko

Bodaboda, Bajaji walalamikia polisi, Mambosasa awakana 

WAENDESHA Bajaji ambao ni walemavu katika Kituo cha Feri, jijini Dar es Salaam wamelalamikia kitendo cha Jeshi la Polisi kukamatwa wenzao. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi wa Jamhuri: Chadema hawakubeba silaha

SHAHIDI namba sita wa Jamhuri, Koplo Charles katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chadema, ameeleza kutoona wafuasi wa chama hicho wakiwa...

error: Content is protected !!