OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali imefanikiwa kutambua miili 50 kati ya 69 ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya moto wa lori...
By Regina MkondeAugust 21, 2019RAIS John Magufuli ameagiza vyombo vya dola kulinda watumishi wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wanaochunguza masuala mazito, ili wasiingiliwe katika utekelezaji...
By Regina MkondeAugust 20, 2019PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amepanga kuendesha mjadala kuhusu masuala ya uhusiano wa mapenzi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....
By Hamisi MgutaAugust 20, 2019MSEMAJI wa Simba, Haji Manara ametolea ufafanuzi swala la nafasi yake kama mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano ndani ya klabu hiyo....
By Kelvin MwaipunguAugust 20, 2019MBUNGE mahiri wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amedaikuwa pamoja na vitimbwi na mateso anayopitia, “badoataendelea kusimama...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamua kutazama upya ushahidi wa video iliowasilishwa na shahidi namba sita wa Jamhuri (koplo Charles), katika kesi ya...
By Regina MkondeAugust 20, 2019WAFANYABIASHARA ndogo ndogo (machinga) katika soko maarufu la Makoroboi jijini Mwanza, wanaulalamikia uongozi wa Muungano wa Machinga Tanzania (Shiuma) kutokana na vitendo vyao...
By Moses MsetiAugust 20, 2019SERIKALI ya Tanzania imepewa mkopo wenye masharti nafuu wa zaidi ya Sh. 414 bilioni kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kwa ajili...
By Regina MkondeAugust 20, 2019WAKILI wa upande wa utetezi katika kesi ya jinai inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya viongozi wenzake, Peter Kibatara, amehoji...
By Regina MkondeAugust 19, 2019JAMES Mataragio, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petrol (TPDC), ameachwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo tarehe 19 Agosti 2019. Anaripoti...
By Faki SosiAugust 19, 2019VIDEO ya Freeman Mbowe na wenzake, iliyoibua mvutano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam hatimaye imeoneshwa leo tarehe 19...
By Regina MkondeAugust 19, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeridhia kuoneshwa video inayodaiwa kubeba matukio yanayomuhusisha Freeman Mbowe na wenzake wakati wa kampeni...
By Faki SosiAugust 19, 2019IDADI ya majeruhi wa ajali ya Lori la mafuta ya petrol lililopinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro, na kisha kupatiwa matibabu katika Hospitali...
By Bupe MwakitelekoAugust 19, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imehairisha kesi namba 75 ya mwaka 2019 inayomkabili mwandishi wa kujitegemea wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera...
By Faki SosiAugust 19, 2019JANA tarehe 18 Agosti 2019 Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi 16 mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulifungwa...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2019KIBINYO kinachotokana na hatua ya serikali kugandamiza demokrasia nchini, kimeanza kuutafuna utawala wa sasa. Anaripoti Mwandishi Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka mataifa...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2019DAKTARI Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii amesema serikali imeamua kuuza asilimia 10 ya mamba wote nchini ili kupunguza changamoto ya wanyama...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2019RAIS John Magufuli leo tarehe 17 Agosti 2019 amekabidhiwa rasmi uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC. Anaripoti Regina Mkonde...
By Regina MkondeAugust 17, 2019NCHI ya Palestina imetoa pole kwa serikali ya Tanzania kufuatia vifo vya watu 93 vilivyotokea katika ajali ya mlipuko wa tenki la mafuta...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2019MAJERUHI wanne kati ya 25 wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro waliokuwa wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamepoteza...
By Kelvin MwaipunguAugust 17, 2019MAOFISA kutoka Jeshi la Polisi limevamia Makao Makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo na kuondoka na Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi na Uenezi. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaAugust 16, 2019WATU wanne wamepoteza maisha huku 26 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Safari Njema likitokea Dar es Salaam lilipogongana na Lori...
By Regina MkondeAugust 16, 2019SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amemnyima aliyekuwa mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, maamuzi...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2019MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga kuanza kusikiliza shauri la madai lililofunguliwa na Alute Mughwai, kupinga kuvuliwa ubunge kwa Tundu Lissu,...
By Faki SosiAugust 15, 2019DAKTARI John Magufuli, Rais wa Tanzania leo tarehe 15 Agosti 2019, amefanya mazungumzo na Cyril Ramaphosa, Rais wa Afrika Kusini, kuhusu ushirikiano wa...
By Hamisi MgutaAugust 15, 2019OMBI la Kadinali Polycarp Pengo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kung’atuka madarakani, limeridhiwa na Papa Francisko. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea)....
By Kelvin MwaipunguAugust 15, 2019JUMLA ya miradi 17 ya kimkakati katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, yenye thamani ya Sh. 788 bilioni inaendelea kutekelezwa. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza …...
By Moses MsetiAugust 15, 2019DEO Mapunda, mkazi wa Ruvuma anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutapeli wananchi kwa kujifanya mganga wa kienyeji. Anaripoti Regina Mkonde...
By Regina MkondeAugust 15, 2019MAJERUHI saba kati ya 32 waliokuwa wakiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wamefariki dunia usiku wa kumkia leo tarehe...
By Regina MkondeAugust 15, 2019KESI inayotarajiwa kuwa mashuhuri na ya aina yake kati ya Tundu Lissu, aliyevuliwa ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki dhidi ya Job Ndugai,...
By Bupe MwakitelekoAugust 15, 2019WATU wasiofahamika, wamefukua baadhi ya makaburi ya watu wenye Ualbino katika maeneo kadhaa nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa za karibuni kabisa...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2019KASIM Majaliwa, Waziri MKuu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana duniani, ambapo kitaifa yanafanyika jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageAugust 14, 2019SWALI ni je, video iliyopokewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ikidaiwa kuonesha matukio yanayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake kwenye mkutano wa kufunga...
By Faki SosiAugust 14, 2019SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, amesema kuwa vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana vinaichafua...
By Faki SosiAugust 13, 2019SHEIKH Abubakar Zubeir, Mufti Mkuu wa Tanzania ‘amelalamikia’ kuchongwanishwa kwa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) na serikali. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiAugust 13, 2019KUELEKEA maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania imeiomba serikali kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ili kuleta...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, anayetuhumiwa na tuhuma za uchochezi, kesho shahidi wa sita anatarajiwa kutoa ushahidi dhidi yake. Anaandika...
By Faki SosiAugust 12, 2019KASSIM Majaliwa Waziri Mkuu Tanzania ameongoza maelfu ya watanzania mazishi ya watu zaidi ya 60 waliofariki kwenye mlipuko wa lori la mafuta baada...
By Hamisi MgutaAugust 12, 2019MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amepanga kuwasilisha hoja binasfi bungeni, kushinikiza serikali kuridhia Itifaki ya pamoja ya Mkataba wa Afrika wa haki...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2019KUKAMATWA na kushtakiwa kwa Mwandishi wa Habari za uchunguzi Erick Kabendera kumedaiwa kuwa kuna mashaka. Anaaripoti Faki Sosi … (endelea). Tamko la wadau wa...
By Faki SosiAugust 12, 2019WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imeunda tume ya wataalam mbalimbali kuchunguza kama mamlaka za serikali ziliwajibika ipasavyo katika kudhibiti ajali ya moto...
By Christina HauleAugust 11, 2019RAIS John Magufuli amewajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya mlipuko wa lori la mafuta iliyotokea mkoani Morogoro, waliohamishiwa katika Hospitali ya Taifa...
By Hamisi MgutaAugust 11, 2019BAADA ya vifo vya watu takribani 60 vilivyotokana na lori la mafuta kuwaka moto mkoani Morogoro viongozi mbalimbali wamewasili mkoani hapa kwa ajili...
By Hamisi MgutaAugust 11, 2019KUFILISIKA huwa hakupigi goti. Wala anayefilisika huwa hajijui; huwa anadhani kilichopungua leo atafidia kesho. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Mfano, mfanyabiashara wa duka, kwa...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2019SERIKALI na vyama vya siasa nchini vimetuma salamu za pole kufuatia vifo vya watu 60 na majeruhi 70 vilivyotokea kwenye mlipuko wa lori...
By Regina MkondeAugust 10, 2019WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa siku 30 kwa timu maalum iliyoundwa kuchunguza maafisa ardhi 183 waliosimamishwa kazi...
By Danson KaijageAugust 10, 2019ILI kuepuka kufanya uharibifu wa mazingira ikiwemo ukataji miti hovyo, Jeshi la Magereza limeitaka jamii kujifunza njia mbadala ya ufyatuaji matofali ya kuchoma...
By Danson KaijageAugust 10, 2019TAKRIBANI watu 60 wanaohofiwa kufariki dunia huku wengine mamia wakiungua moto baada ya lori la mafuta kupinduka na baadaye kuwaka moto, katika eneo...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2019TOFAUTI na misimu iliyopita, msimu huu 2019/20 mambo yamechenji kidogo. Simba na Yanga zinatarajiwa kufungua msimu huu kwenye michuano ya kimataifa Jumamosi wiki...
By Kelvin MwaipunguAugust 9, 2019WALIMU watano waliohamishwa kutoka kituo cha kazi cha shule ya sekondari Kisasa katika Jiji la Dodoma na kupangwa kwenye vituo vingine bila kulipwa...
By Danson KaijageAugust 9, 2019