Tuesday , 30 April 2024

Month: December 2022

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi NMB wagawa magodoro, kompyuta magereza ya Chato, Kasungamile

KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwenye kuhudumia wananchi, Wafanyakazi wa benki ya NMB kutoka matawi ya Chato na...

Habari Mchanganyiko

Dk. Samia amlilia Papa Benedikto XVI

RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na kifo cha Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI aliyefariki dunia leoJumamosi saa 3: 34 Asubuhi tarehe 31...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mazishi ya Papa Benedict XVI kufanyika Alhamisi

MAZISHI ya Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI aliyefariki dunia leoJumamosi saa 3: 34 Asubuhi tarehe 31 Desemba 2022 akiwa na umri wa miaka...

Habari za Siasa

Mama Maria Nyerere atimiza miaka 93

WAKATI leo tarehe 31 Disemba, 2022 ikiwa ni tamati ya mwaka 2022, Mke wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria...

Makala & UchambuziTangulizi

Vifo vilivyotikisa dunia 2022

WAKATI ikiwa imesalia  siku moja kwa 2022 kufika tamati, dunia haitosahau vifo vya watu mashughuri vilivyotikisa ndani ya mwaka huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Rais Mwinyi afuta sherehe za mapinduzi 2022

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Hussein Mwinyi, amesema  2022 hakutakuwa na sherehe za kitaifa za maadhimisho ya miaka 59 ya...

Habari Mchanganyiko

Sakatala la kodi: TRA yamuita Dimond Platnumz

BAADA  msanii na mfanyabiashara Nasibu Abdul (Diamond Platnumz), kutoa malalamiko dhidi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwamba ina lengo la kuiua  Kampuni...

Habari za Siasa

BAVICHA yatoa msimamo kuhusu maridhiano, yataka viongozi waoga wakae kando

BARAZA la Vijana la Chama cha Chadema (BAVICHA), limewataka viongozi wake wa mikoa ambao ni waoga, wakae pembeni ifikapo 2023 maana mwaka huo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Aliyekuwa Papa – Benedict XVI afariki dunia

PAPA wa zamani Benedict XVI amefariki dunia katika makazi yake Vatican, akiwa na umri wa miaka 95, karibu muongo mmoja baada ya kujiuzulu...

Habari za Siasa

Majaliwa aagiza viongozi, watumishi wa balozi kufanya tathimini fursa za kiuchumi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na...

Elimu

Serikali yapiga marufuku wanafunzi waliopangiwa shule za kutwa kuhamia bweni

  SERIKALI imepiga marufuku wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 waliochaguliwa kujiunga na shule za kutwa, kuhamia shule za bweni, hadi zitakapotokea nafasi...

Habari za Siasa

Serikali kufufua mradi wa kilimo cha umwagiliaji Bonde Bugwema

  SERIKALI imeridhia kufufua mradi mkubwa wa kilimo cha umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema, liliko mkoani Mara, ikiwa ni utekelezaji wa ombi...

Habari Mchanganyiko

Balile: Zama tulizopo nzuri kwa vyombo vya habari

  MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema Tanzania iko katika zama nzuri kutokana na kuwepo kwa uhuru wa habari...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema: Kikosi kazi ilikuwa mbinu kuchelewesha Katiba Mpya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imesema Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya kuimarisha demokrasia ya vyama vingi cha Rais Samia Suluhu, ilikuwa...

Habari Mchanganyiko

Maboresho Bandari Tanga kufanya mapinduzi ya kiuchumi, kijamii

MAMLAKA ya Bandari ya Tanga imesema maboresho ya bandari hiyo yatawezesha kupokea zaidi ya tani milioni 3 za shehena za mizigo kwa mwaka,...

MichezoTangulizi

Barack Obama alilia Pele

RAIS wa mstaafu wa Marekani, Barack Obama  ameeleza namna alivyoguswa na kifo cha Mfalme wa Soka duniani, Edson Arantes do Nascimento maarufu kama...

MichezoTangulizi

Mfalme wa Soka duniani – Pele afariki dunia

GWIJI wa soka raia wa Brazil – Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pele amefariki dunia leo tarehe 29 Disemba, 2022 akiwa na...

Makala & Uchambuzi

Mwaka 2022: Dk. Samia ameongoza kasi ukuaji mahusiano ya kidiplomasia na uchumi kati ya Tanzania, China

TUNAPOELEKEA kufunga mwaka 2022, ubalozi unatoa shukrani za dhati kwa wadau mbalimbali kwa ushirikiano wao uliowezesha utekelezaji wa Majukumu ya Ubalozi. Katika Mwaka...

Habari Mchanganyiko

Askari Polisi atwaa bodaboda ya NMB MastaBata

ASKARI wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, WP Husna Juma Baraka, ameibuka mshindi wa pikipiki katika droo ya saba ya Kampeni ya...

Habari za SiasaTangulizi

CUF yaitaka Serikali ije na mikakati kuondoa ukata kwa wananchi 2023

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitaka Serikali ifikapo 2023 kuja na mkakati wa kitaifa wa kukuza uchumi, kuongeza ajira na kutoa huduma bora...

Kimataifa

Uundaji wa nyuklia China kuna athari gani kwa India

RIPOTI ya Usalama kuhusu maendeleo ya Jeshi la Watu wa Jamhuri wa China iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani ninaonyesha kuwa jeshi...

Habari Mchanganyiko

TEF kunoa waandishi wa habari kupinga ndoa za utotoni

JUKWAA la Wahariri nchini(TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi wa habari ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa...

Habari za Siasa

CUF yaunga mkono marekebisho sheria za habari

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kinaunga mkono marekebisho ya sheria za habari yenye lengo la kuongeza uhuru wa tasnia hiyo, huku ikiiomba...

Kimataifa

Papa Francis asema mtangulizi wake Papa Benidict XVI ni mgonjwa sana

  PAPA Francis amesema mtangulizi wake Papa Benedict XVI ni mgonjwa sana na amewataka mahujaji wa Vatican kumuombea. Yameripoti Mashirika ya Habari ya...

KimataifaMichezo

Mjukuu wa Bob Marley afariki dunia

  BILA shaka mwaka wa 2022 utakuwa unaeleka ukingoni huku ukiacha giza nene katika familia ya mkongwe na muasisi wa muziki aina ya...

KimataifaMichezo

Chumba alicholala Messi nchini Qatar kugeuzwa makumbusho

  CHUO kimoja nchini Qatar kimetangaza kuwa kina mpango wa kugeuza chumba ambacho staa wa Argentina, Lionel Messi alikuwa akitumia kama malazi yake...

Kimataifa

Upinzani DRC wawaponza mawaziri 3, wajiuzulu

  MAWAZIRI watatu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao ni wanachama wa chama cha mgombea urais, Moise Katumbi wamejiuzulu leo tarehe 29...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa ufafanuzi maiti 59 zilizozikwa na Jiji Dodoma

  SERIKALI ya Tanzania kupitia Halmashauri ya Jiji la Dodoma imesema maiti 59 zilizozikwa na mamlaka hiyo ni ambazo hazijatambuliwa na ndugu ndani...

Habari Mchanganyiko

Washindi 435 wa NMB MastaBata KoteKote wajishindia milioni 117

MSIMU huu wa sikukuu, Blue Santa kutoka Benki ya NMB ameachia zawadi mbalimbali ambapo mpaka sasa ameshatoa zaidi ya Sh117 milioni  kwa washindi...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa alazwa Afrika Kusini, Majaliwa amjulia hali

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika Kusini. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

TPAWU walia na nyongeza ya mshahara

CHAMA cha Wafanyakazi Mashambani na Kilimo Tanzania (TPAWU), kimesema Sh.40,000 iliyoongezwa kwenye kima cha chini cha mshahara wa mfanyakazi wa sekta ya kilimo...

Habari Mchanganyiko

Joketi amuanika mwanaye, Barbara, wadau wampongeza

  HATIMAYE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amejitokeza hadharani na kuachia picha ya mwanaye ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu alipojifungua. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Balile:Wanahabari tusisubiri kulipwa fedha kupigania haki zetu

  MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amewataka wanahabari kupigania mazingira bora ya utendaji kazi zao bila kusubiri malipo ya fedha, kwa...

Kimataifa

Wanajeshi wa Urusi walio vitani kuruhusiwa kugandisha mbegu zao za kiume bure

  WANAJESHI wa Urusi ambao wamekuwa katika sehemu ya harakati za operesheni za kijeshi nchini Ukraine watakuwa na haki ya kupata mbegu zao...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo: 2022 mchungu kwa wanyonge, raha kwa vibonge

  IKIWA zimesalia siku tatu kufika tamati ya mwaka 2022, Chama cha ACT-Wazalendo kimeutaja mwaka huo kuwa wa misukosuko, “mchungu kwa wanyonge na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaitangazia kiama CCM 2025

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza nia ya kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), ifikapo 2025 kupitia Uchaguzi Mkuu. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

Putin aweka marufuku uuzaji mafuta kwa nchi za magharibi

  RAIS wa Urusi, Vladimir Putin jana tarehe 27 Disemba, 2022 amesaini amri ambayo inaweka marufuku ya uuzaji wa mafuta na bidhaa za...

Kimataifa

Wanajeshi 8 wahukumiwa kifo kwa mauaji ya Mchina

  WANAJESHI nane na raia moja katika eneo la kaskazini mashariki mwa DRC lililogubikwa na vita, wamehukumiwa kifo kwa mauaji raia mmoja wa...

Kimataifa

Mapigano ya kikabila yasababisha vifo vya watu 56 Sudan Kusini

  MAPIGANO yamesababisha vifo vya watu 56 wakati wa vurugu za siku nne katika jimbo la Jonglei mashariki mwa Sudan Kusini, baada ya...

Kimataifa

Tajiri wa Urusi afariki baada ya kuanguka dirishani nchini India

  TAJIRI wa soseji za Kirusi Pavel Antov amepatikana amekufa katika hoteli moja ya India, siku mbili baada ya rafiki yake kufa wakati...

Kimataifa

Huawei launches smart PV solutions for all scenarios of African residential market

  Huawei has launched smart photovoltaic (PV) solutions for all scenarios of the African residential market at the Solar Power Africa Conference 2023...

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza mikataba ujenzi wa miundombinu isainiwe hadharani

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza mikataba ya ujenzi wa miundombinu ya barabara iasainiwe hadahrani...

Kimataifa

Mzozo Kosovo na Serbia waongeza hatari ya kuzuka vita

JESHI la Serbia linasema liko katika “kiwango cha juu zaidi cha utayari wa mapigano” baada ya wiki kadhaa za mvutano unaoongezeka kati ya...

Kimataifa

Karantini ya Covid kwa wasafiri China mwisho Januari

  CHINA itaondoa karantini kwa wasafiri kuanzia tarehe 8 Januari, maafisa wamesema, kuashiria mabadiliko makubwa ya mwisho kutoka kwa sera ya sifuri ya...

Habari Mchanganyiko

ACT wataka sheria ya habari iharakishwe

WAKATI serikli ikiwa mbioni kuwasilisha muswada wa  mabadiliko ya sheria ya huduma za vyombo vya habari nchini, Chama cha ACT-Wazalendo kimetoa wito kwa...

Michezo

NMB kudhamini Mapinduzi Cup 2023, Simba na Yanga…

BENKI ya NMB itakuwa mdhamini mashindano ya kombe la Mapindizi 2023 yanayotarajiwa kuanza Januari 1, 2023 katika Uwanja wa Amaan Unguja, Pemba kwa...

Habari Mchanganyiko

Sera ya habari ya 2003 kufumuliwa

  SERIKALI ya Tanzania iko mbioni kuifanyia marekebisho Sera ya Habari na Utangazaji ya 2003 ili iendane na wakati pamoja na kuondoa mapungufu...

Habari za Siasa

Tulia: Tauche kuendekeza majungu tuchape kazi

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson amewataka Wananchi kuacha...

Habari Mchanganyiko

MECIRA yapongeza hatua za Rais Samia kulinda vyanzo vya maji

  KITUO cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), kimemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kukazia maagizo ya Makamu wa Rais, Dk....

Habari za Siasa

Wabunge Tabasamu, Manyanya wasema mradi wa JNHPP ni fursa

  WABUNGE wa Bunge la Tanzania wamesema Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukikamilika utakuwa fursa ya kiuchumi na kijamii kwa Watanzania....

error: Content is protected !!