UINGIZAJI holela vifaranga kutoka nje ya nchi na kupanda kwa bei ya chakula zimetajwa kukwamisha wazalishaji na wafugaji wa kuku wazawa, hivyo kusitisha...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022WAKAZI wa Mtaa wa CCT mkoani Morogoro wameangua vilio baada ya serikali wilayani Mvomero kutumia jeshi la polisi, magereza pamoja na jeshi la...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kutamba kwenye tuzo za mwajiri bora mwaka 2022 (EYA 2022) baada ya kuibuka kinara kwenye kipengele cha Mwajiri...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seif ameziomba Mamlaka za Serikali za Mitaa mkoani Tabora kuendelea...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022WAKATI nchi ya Malaysia ikiwa kwenye uchaguzi mkuu, China inaonyesha nia ya kufanya ushawishi wa kisiasa nchini humo kupitia mtandao wa kijamii...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2022CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali kuendelea kuongeza mikopo na ufadhili kwa wanafunzi wa fani za afya hali ambayo...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2022BODI ya Usajili wa Makandarasi (CRB), imesema inafurahishwa na kasi ya wanawake wanaojitokeza katika kazi za ukandarasi huku ikiwataka makandarasi wa ndani kuwa...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2022MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam leo tarehe 2 Disemba, 2022 imewahukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa watu 11 waliokutwa na...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2022WANAFUNZI 96 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wametunukiwa tuzo mbalimbali kutokana na kufanya vizuri kitaaluma kwa mwaka wa masomo 2021/22. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022WANANCHI wa vijiji vya Chitare na Makojo vilivyoko katika Jimbo la Musoma Vijijini wameanza kupata huduma ya maji safi na salama, baada...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha ACT-Wazalendo Bara, Dorothy Semu, amewataka wanawake kuwa wavumilivu kuelekea safari yao ya uongozi wa kisiasa...
By Regina MkondeDecember 2, 2022MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Edward Mpogolo amewataka wazazi wenye watoto wenye umri chini ya miaka mitano wawapeleke kupata chanjo...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022ZAIDI ya makazi 1214 ya watu waliovamia Msitu wa Morogoro uliopo chini ya Wakala wa Huduma za Misitu maarufu msitu wa kuni,...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022WAKALA wa Hifadhi ya Misitu Tanzania (TFS) imeanza zoezi la kuweka mpaka katika Msitu wa Morogoro maarufu Msitu wa Kuni uliopo Wilayani...
By Jonas MushiDecember 2, 2022SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo nchini imekuwa mstari wa mbele kuunganisha nguvu katika kutokomeza ukatili wa kijinsia pamoja na...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama, Mazingira na Mafunzo wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML),...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), wizara ya afya pamoja na wadau wengine kuweka mikakati ya kutokomeza...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022TAASISI ya Mwalimu Nyerere (MNF), imeshauriwa kuendeleza Program ya Ufadhili wa Umajumui wa Mwalimu Nyerere kwa Viongozi Vijana Afrika (Mwalimu Nyerere Pan-Africa...
By Seleman MsuyaDecember 1, 2022MSIMU wa nne wa promosheni ya NMB MastaBata kwa ajili ya kuchagiza matumizi ya kadi za malipo za kidijitali umezidi kunoga baada ya...
By Gabriel MushiDecember 1, 2022WAKATI viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wakiitaka Serikali itoe ratiba ya utekelezaji mapendekezo ya kuboresha mfumo wa demokrasia ya vyama...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Tanzania, Jaffari Matundu (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya benki hiyo toka kwa Waziri wa Nchi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022MJUMBE wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Nevil Meena, amesema Serikali imepiga hatua kubwa katika mchakato wa marekebisho ya...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022MATOKEO ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2022 yanaonesha kuwa ufaulu wa watahiniwa katika masomo yote uko juu ya wastani...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya darasa la saba ambapo jumla ya watahiniwa 1,730,402 kati ya watahiniwa...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022WAKATI leo ikiwa ni kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), imesema itaendeleza mapambano dhidi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022