MSIMU wa nne wa promosheni ya NMB MastaBata kwa ajili ya kuchagiza matumizi ya kadi za malipo za kidijitali umezidi kunoga baada ya kundi la kwanza la washindi 51 wa kila mwezi kupatikana katika droo iliyofanyika kwenye tawi la NMB Kenyatta mkoani Mwanza