Sunday , 19 May 2024

Month: December 2019

Habari za Siasa

JPM awaweka njia panda Dk. Kigangwalla, Prof. Mkenda

RAIS John Magufuli ametoa siku tano kwa Dk. Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii na Prof. Adolf Mkenda, Katibu Mkuu wa wizara...

Habari za Siasa

Zitto ‘udenda’ wamtoka urais 2020

ZIITO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, yupo tayari kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).  “Mimi...

Tangulizi

Zitto, Maalim Seif waeleza machungu ya Rais Magufuli

MTINDO wa uongozi wa Rais John Magufuli, umeelezwa na viongozi wawili wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwamba umesababisha machungu kwa Watanzania. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Zitto...

Tangulizi

Mama wa Kabendera afariki dunia

VERDIANA Mjwahuzi, Mama wa Erick Kabendera, Mwanahabari aliyeko mahabusu akituhumiwa kwa kosa la uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Kocha Yanga alia na uchovu wa wachezaji

Baada ya kuibuka na ushindi finyu wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United kocha wa klabu ya Yanga Boniface Mkwasa amesema kuwa kitendo...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru, Zitto wachuana

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo ‘mtaani’ kukusanya maoni...

Habari za Siasa

Chadema waipa serikali fikra mpya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, kimeitaka serikali kuubinafsisha Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam, ili kuongeza ufanisi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ala kiapo kizito uchaguzi mkuu 2020

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, amekula kiapo kizito kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya Uhujumu uchumi yatua kwa watoa mimba

AWADHI Juma, Daktari katika kituo cha afya binafsi cha Dental Clinic, kilichopo Sinza jijini Dar es Salaam na muuguzi mmoja, wamepandishwa kizimbani katika...

Habari Mchanganyiko

Polisi watoa ufafanuzi utata wa kifo cha mmiliki wa shule

JESHI la polisi Mkoa wa Dodoma limetoa ufafanuzi juu ya kifo cha Ustadhi Rashid Ally Musa maarufu kwa jina la Rashid Ramadhani Bura...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Membe: Musiba aangukia pua

PINGAMIZI tatu zilizowasilishwa na Cyprian Musiba, katika kesi namba 220/2018 iliyofungliwa na Bernard Membe, zimetupiliwa mbali. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aongeza siku 20 usajili wa laini

RAIS John Magufuli ameongeza siku siku 20 kwa usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole kama ilivyotangazwa na Mamlaka...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Assad aibuka, aacha maswali

ALIYEKUWA Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG), Prof. Mussa Assad, amekana madai kuwa alitekwa na genge lililopachikwa jina...

Habari Mchanganyiko

VIGUTA wawaliza wananchi

WAKAZI zaidi ya 300 katika Mkoa wa Dodoma wametapeliwa na Umoja wa Vikundi vya Vikoba Tanzania (VIGUTA) kwa kuwachangisha fedha kwa nia ya...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Shoo agonja kisu kwenye mfupa

TABIA ya utekaji, utesaji, unyongaji haki, dhuluma na kiburi inayolalamikiwa nchini, imekemewa vikali na Dk. Frederick Shoo, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili...

Habari Mchanganyiko

Mlango ajira JKT wafunguliwa

MLANGO wa ajira umefunguliwa kwa vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), na kufanya kazi ya kujitolea kwa miaka miwili. Anaripoti Dandon...

Habari za SiasaTangulizi

Tito Magoti ashtakiwa kwa uhujumu uchumi

HATIMAYE mwanaharakati na Ofisa wa Elimu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti, Theodory Faustine, wamefunguliwa mashitaka matatu likiwemo...

ElimuHabari Mchanganyiko

‘Wahadhiri walazimisha ngono vyuoni’

SERIKALI imetoa onyo kutokana na kushamiri kwa vitendo vya rushwa ya ngono katika vyuo vya elimu ya juu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

‘Ushoga’ wa Bulaya, Mdee, wazua mjadala mahakamani

JESTER Amos Bulaya, mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), amedai mahakamani kuwa uhusiano wake na mbunge mwenzake wa Kawe, Halima James Mdee, “unafungwa na...

Michezo

Wakorea kuwapiga tafu TFF kuinua soka la Vijana

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF$, leo imengia makubariano na Shirika la Maendeleo nchini Korea (KIDC) kwa ajili ya maendeleo ya mpira...

Habari Mchanganyiko

Mambosasa, AG Kilagi washtakiwa mahakamani

LAZARO Mambosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam na Profesa Adelardus Kilagi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) wamefunguliwa mashtaka kwenye...

Habari Mchanganyiko

Ubungo wataabika vitambulisho vya NIDA

KUKATIKA umeme mara kwa mara, imekuwa changamoto kubwa kwa Wakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, kupata huduma ya...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yampigia ‘saluti’ Prof. Safari

KAULI ya Prof. Abdallah Safari, kwamba Chadema hakiwezi kuingia Ikulu bila kupigania Tume Huru ya Uchaguzi, sasa imevaliwa njuga na chama hicho. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Sakata la kukamatwa Tito laibua utata, hajulikani alipo

LICHA ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kukiri kumshikilia Tito Magoti, Ofisa Programu wa Kituo cha Sheria na Haki...

Habari za Siasa

Tanzania yahofia fedha za misaada, mikopo kupungua

WAKATI Tanzania ikielekea kwenye ujenzi wa uchumi wa kati, serikali imeonesha hofu juu ya kupungua kwa fedha za misaada kwa ajili ya miradi...

Habari Mchanganyiko

Ikiwa zimebaki siku 10, TCRA yaonya wasiosajili alama za vidole

IKIWA zimesalia siku kumi kwa watumiaji wasiosajili laini zao za simu kwa mfumo wa alama za vidole, kukatiwa mawasiliano, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...

AfyaHabari Mchanganyiko

Muuguzi anayedaiwa kumbaka mjamzito asimamishwa kazi

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi Abednego Alfred, Muuguzi katika Kituo cha Afya cha Mamba,...

Habari Mchanganyiko

Polisi wakiri kumshikilia Mtumishi LHRC, atuhumiwa kosa la jinai

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekiri kumshikilia Tito Magoti, Afisa Program wa Kituo cha Sheria  na Haki za Binadamu...

Habari za Siasa

Ujumbe mzito wa Mbowe kwa Mnyika, Mwalimu na Kigaila

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewapa ujumbe mzito, John Mnyika, Katibu Mkuu, Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara,...

Habari Mchanganyiko

Wasiojulikana wadaiwa kumteka mtumishi wa LHRC

WAKILI Tito Magoti, mtumishi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), anadaiwa kukamatwa na watu wasiojulikana, asubuhi ya leo tarehe 20...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika Katibu Mkuu Chadema, Mbowe ampoza Heche

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemteua John Mnyika, Mbunge wa Kibamba kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho na...

Habari za Siasa

Mwambe ameonja sumu kwa ulimi

IMBUNGE wa Chadema, katika jimbo la Ndanda, wilayani Masasi, mkoani Mtwara, Cecil David Mwambe (45), amethubutu. Amejaribu na ameweza kutenda kile kilicho washinda...

Habari Mchanganyiko

Kampuni yaingia mitini na Mil 200 za wakulima wa zabibu

ZAIDI ya wakulima 26 wa zabibu wameilalamikia kampuni ya Dane Holdings Limited ya Nkulabi Village kwa kutowalipa fedha zao zaidi ya Sh. 200...

Habari Mchanganyiko

Makosa ya jinai yapungua nchini

JESHI la polisi nchini limesema  kuwa makosa makubwa ya jinai yamepungua kwa asilimia 2.0 ambapo ni sawa na makosa 1,082 kwa kipindi  cha...

Habari za Siasa

Zitto awapa tano Tundu Lissu, Mbowe

ZITTO Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amempongeza Freeman Mbowe, kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti  wa Chadema na Tundu Lissu kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe apewa mitano mingine Chadema

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ametangazwa tena kuhudumu nafasi hiyo kwa awamu nyingine. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akitangaza...

Habari za Siasa

Lwaitama atupa dongo kwa Sumaye

DK. Azaveli Lwaitama, Mhadhiri mstaafu, ameutumia Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutupa jiwe gizani kwa serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM)....

Habari za Siasa

Lissu aibuka mkutano wa Chadema, atoa hutuba nzito kwa wajumbe

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema) ameibuka katika mkutano Mkuu wa chama hicho leo na kuzungumza na wajumbe...

ElimuHabari Mchanganyiko

Kutimuliwa viongozi DARUSO: Wanasiasa, wanaharakati wamvaa Prof. Ndalichako

BAADHI ya Wanasiasa na Wanaharakati wamepinga utekelezwaji wa agizo la Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu,  la kuwachukulia hatua viongozi wa Serikali ya...

Habari za Siasa

JPM akerwa na mlundikano wa mahabusu, atoa agizo

RAIS John Magufuli amesema ni aibu nchi kuwa na idadi kubwa ya mahabusu, kuliko wafungwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo ameitoa...

Habari za SiasaTangulizi

Shibuda atibua hali ya hewa mkutano wa Chadema, kisa Rais Magufuli

JOHN Shibuda, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, amechafua hali ya hewa katika Mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Elimu

UDSM watii agizo la Prof. Ndalichako, watimua viongozi wa DARUSO

BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO), wamesimamishwa masomo, kwa kosa la kutoa tamko la...

Habari Mchanganyiko

Utabiri: Mvua kutikisa siku 5 mfululizo, mikoa 15 yatahadharishwa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa Hali ya Hewa Hatarishi wa siku tano mfululizo, kuanzia tarehe 17 hadi 21...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aumizwa na waliohamia CCM, awatahadharisha viongozi wapya

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amewashauri viongozi wa chama hicho, waliochaguliwa katika chaguzi zilizofanyika hivi karibuni, kutokuwa wabinafsi....

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi wachoshwa na wanasiasa kuwasweka rumande

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kimekerwa na baadhi ya wanasiasa kuwawajibisha na kuwadhalilisha watumishi wa Umma. Anaripoti Danson Kaijage,...

Kimataifa

Rais Pakistan ahukumiwa kifo

PERVES Musharraf, aliyekuwa Rais wa Pakistan (76) amehukumiwa adhabu ya kifo, baada ya kukutwa na hatia ya kosa la uhaini. Inaripoti Mitandao ya...

Habari Mchanganyiko

Mvua yachafua hali ya hewa, DART yasitisha usafiri

MVUA iliyoanza kunyesha mfululizo kuanzia alfajiri ya leo tarehe 17 Desemba 2019, imeleta adha kwa wakazi Jiji la Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi...

Elimu

HESLB kumaliza kiporo cha mikopo Desemba 18

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imeahidi kutoa fedha za mikopo kwa wanafunzi waliobadilisha kozi, kesho tarehe 18 Desemba...

Habari za Siasa

Wanawake watakiwa kupuuza misemo ya kukatisha tamaa

MISEMO ya kuvunja moyo wanawake kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye siasa imetakiwa kupuuzwa na wanawake wenyewe huku ikiwa ni njia ya mapendo...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ajitoa uchaguzi Chadema, amwachia Lissu

SAED Kubenea, Mbunge wa jimbo la Ubungo, Dar es Salaam (Chadema) amejitoa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara. Anaripoti...

error: Content is protected !!