Sunday , 19 May 2024

Month: April 2019

Habari Mchanganyiko

Anywesha watoto sumu kwa wivu wa mapenzi

SELEMANI Mashaka Haruna (31), Mkazi wa Majengo wilayani Urambo, Tabora anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuuwa mtoto wake kwa sumu. Anaripoti...

Michezo

SportPesa yaikutanisha Simba na Sevilla

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetegua kitendawili cha nani atakayecheza na timu ya Sevilla ya Hispania iliyoalikwa kuja kucheza na timu...

Habari Mchanganyiko

Tisa wadakwa kwa kuiba mafuta ya Transfoma

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata watu tisa kwa tuhuma za wizi wa mafuta ya transfoma na vifaa vyake....

Habari Mchanganyiko

Kampuni za simu ziisaidie serikali – Waziri Majaliwa

KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu ametaka kampuni zinazotoa huduma za mawasiliano nchini, kuisaidia serikali kubaini wanaotumia simu vibaya. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Magufuli: Mwakyembe alinyweshwa sumu

RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli amesema, Dk. Harrison Mwakyembe, Mbunge wa Kyela alinyweshwa sumu kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Bunge lithibitishe kama siyo dhaifu

CHAMA cha ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, kimelitaka Bunge la Jamhuri kuthibitisha uimara wake katika kuisimamia serikali.Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Chama...

Habari Mchanganyiko

Kampeni kumsaka Azory yaanza

LICHA ya Dk. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kutaka watu kutomtafuta mwandishi wa Azory Gwanda aliyetoweka katika mazingira ya...

Habari Mchanganyiko

Bobi Wine aswekwa rumande

MBUNGE wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’ amewekwa rumande katika Kituo cha Polisi cha Naggalama, akituhumiwa kuandaa maandamano ya umma...

ElimuHabari za Siasa

Upinzani walia na sekta ya elimu

KAMBI Rasmi ya Upinzania Bungeni imelalamikia juhudi za serikali katika kuboresha elimu kwamba, bado ni finyu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kambi hiyo...

ElimuHabari za Siasa

Bodi ya Mikopo kukopesha wanachuo 128,285

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), inatarajiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi 128,285 sawa na ongezeko la asilimia 4.5 ikilinganishwa...

Habari Mchanganyiko

‘Nguvu za kiume’ zatibua Bunge

HATUA ya wanaume wengi kudaiwa kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume, imegeuka mjadala bungeni huku wabunge wakiangua kicheko. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Habari Mchanganyiko

Watengenezaji vinywaji vya Energy waonywa

JANUARI Makamba, Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mazingira na Muungano ametoa angalizo kwa watengenezaji wa vinywaji vya Enegy kwamba, chupa zake hazidhibitiki. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Magufuli atinga Kiwira kwa Mkapa, Yona

WAKATI serikali ikiendelea kufanya mchakato kuuchukua Mgodi wa Kiwira, umekutwa na madeni hewa zaidi ya bilioni 40. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mgodi...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali ya Tanzania yasalimu amri kwa wafadhili

SERIKALI ya Tanzania inajiandaa kuwasilisha bungeni, muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Takwimu, ili “kuondoa kibano” cha kunyimwa fedha za maendeleo kutoka kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atonesha kidonda cha Mkapa

JINAMIZI la sera ya ubinafsishaji wa rasimali za nchi, ikiwamo viwanda, mashamba na mabenki, mradi ambao uliasisiwa wakati wa utawala wa Benjamin William...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba aunda safu yake mpya ya uongozi CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameteua Wakurugenzi na Manaibu wakurugenzi wapya. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Prof. Lipumba amesema uteuzi huo...

Kimataifa

Washukiwa 15 mauaji kanisani Sri Lanka wauawa

WATU 15 wanaoshukiwa kuhusika katika shambulio la kigaidi lililopoteza maisha ya watu 253 kwenye makanisa nchini Sri Lanka, wameuawa katika majibizano ya risasi. Inaripoti...

Habari Mchanganyiko

Kimbunga cha Keneth: Mtwara, Lindi yapumua

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuendelea na shughuli zao, huku ikiwatahadharisha kufuatilia utabiri...

Habari za Siasa

Wakurugenzi wa halmashauri tano wakalia kuti kavu

WAKURUGENZI ambao halimashauri zao zimekusanya mapato chini ya asilimia 50, wametakiwa kujitathimini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Halmashauri tano za mwisho kwa makusanyo...

Habari za SiasaTangulizi

JPM amkubali Sugu

RAIS John Magufuli, amemrudisha jukwaani Joseph Mbilini (Sugu), Mbunge wa Mbeya Mjini kumalizia hotuba yake licha ya kuondolewa na msimamizi wa shughuli. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: Nape, Bashe ni watu muhimu CCM

NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama na Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini ni miongoni mwa wanasiasa vijana wanaomvutia Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Kimbunga Keneth chauwa watatu

KIMBUNGA Keneth kimesababisha vifo vya watu watatu katika visiwa vya Comoro. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli asamehe wafungwa 3,530

RAIS John Magufuli leo tarehe 26 Aprili 2019, ametoa msamaha kwa wafungwa 3, 530 pamoja na wenye maradhi mbalimbali. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za Siasa

Sherehe za Muungazo zapigwa ‘stop’

SERIKALI imesitisha sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo amesema Waziri...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Zitto: Polisi akiri mauaji Uvinza

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi Na 327 ya 2018 ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini...

Afya

Tahadhari ugonjwa wa surua yatolewa

WATANZANIA wametahadharishwa kuhusu mlipuko wa magonjwa ya kuambukiza kwa watoto ukiwemo ugonjwa wa surua, unaotajwa kuanza kuathiri nchi jirani. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Akizungumzia maadhimisho...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti ya CAG: Zitto amvuruga Spika Ndugai

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, anamtuhumu Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, kujitafutia umaarufu wa kisiasa, kupitia Ripoti ya Mkaguzi na...

Habari Mchanganyiko

Laini za simu kuzimwa Desemba 31

WATU ambao hawatasajili laini zao za simu kwa alama za vidole, hawatoweza kuzitumia baada ya tarehe 31 Desemba 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwakyembe ang’ang’aniwa kila kona

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ametakiwa kujizuia kutoa kauli za kejeli, dhidi ya watu wanaotafuta taarifa za mahali...

ElimuHabari Mchanganyiko

HakiElimu yapiga yowe bajeti ya elimu

HATUA ya Bajeti ya Elimu kupungua siku hadi siku, imelalamikiwa na wadau wa elimu nchini. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Akizungumza na waandishi wa habari...

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala amhenyesha ‘mbaya wa Zitto’  

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeanza kusikiliza ushahidi kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa Bil 688 mradi wa umeme Rufiji

SERIKALI imetoa kiasi cha Shilingi 688.6 bilioni, kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa umeme katika maporomoko ya Mto Rufiji. Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari MchanganyikoTangulizi

Madaktari Muhimbili wahaha kumuokoa Mariam

MARIAM Rajab Mimbe (25), anayesumbuliwa na kidonda kikubwa kwenye mgongo, upande wake wa kulia, anaendelea vizuri na sasa yuko njiani kuelekea katika hospitali...

Michezo

Man United: Duniani hakukaliki, Akhera hakuendeki

MCHEZO wa leo saa 4:00 usiku wa Ligi Kuu ya England kati ya Manchester United na Manchester City (Manchester Debby) kwenye uwanja wa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli, Mama Janeth ziarani Malawi

RAIS John Magufuli leo tarehe 24 Aprili 2019, anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Malawi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli ateua mwenyekiti mpya TASAC

MKUU wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Profesa Tadeo Andrew Satta, ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi...

Habari Mchanganyiko

Raia wa Nigeria, Lativia wadakwa na dawa za kulevya

JESHI la Polisi, Kitengo cha Kuzuia Kupambana na Dawa za Kulevya, limewatia mbaroni raia wawili wa Nigeria na Raia wawili wa Walativia wakiwa na kilogram...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mwakyembe atonesha vidonda vya Azory

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amepuuza kilicho cha muda mrefu cha wadau wa habari nchini cha kutaka kuelezwa...

Habari Mchanganyiko

Vituo vya ukaguzi mabasi ya umma vyaandaliwa

SERIKALI kupitia Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani limeandaa utaratibu wa kuwa na vituo maalum vya ukaguzi vya mabasi ya umma. Anaripoti Danson...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti ya IMF: Serikali yajaribu kujitakasa

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amekana madai kuwa serikali imeliomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kutochapisha taarifa yake ya...

Habari za Siasa

Chuo cha Diplomasia kimenufaisha 3,421

JUMLA ya wanachuo 3,421 wamehitimu masomo yao katika Chuo cha Diplomasia tangu kuanzishwa kwake mwaka 1978. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Taarifa hiyo...

Habari za Siasa

Serikali kuajiri walimu wa sayansi 4,500

SERIKALI imesema iko katika taratibu za mwisho za kuwaajiri walimu 4,500 wa masomo ya sayansi kwa ajili ya kuwapeleka katika shule za sekondari...

Habari za Siasa

RC Mwanri: Naomba radhi

AGREY Mwanri, Mkuu wa Mkoa wa Tabora ameomba radhi kufuatia kauli yake aliyoitoa mwanzoni mwa mwezi Aprili 2019 kwamba, Mungu amshukuru Rais John...

Habari za Siasa

Mbunge Kabati: Mchungaji Msigwa ana bahati

RITA Kabati, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoani Iringa amesema, mambo mengi anayozungumza Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, yanatekelezwa na serikali. Anaripoti...

Kimataifa

Waliouawa kanisani Sri Lanka wafika 290

MIILI ya watu waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi kwenye makanisa matatu na hoteli za kifahari nchini Sri Lanka, imefikia 290. Inaripoti Mitandao...

Habari Mchanganyiko

Maaskofu waicharukia serikali

MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema ya kuwa kuna watu duniani leo wanaotumia nguvu kuuficha ukweli,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mchungaji amvaa Spika Ndugai

MWANGALIZI wa Makanisa ya Baptist mkoani Dodoma, Antony Mlyashimba, amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kutubu na kisha kukaa meza moja na Mkaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Assad agoma kujiuzulu

MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, amegoma kujiuzulu kutoka kwenye wadhifa wake. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Rushwa bado tatizo nchini-Mchungaji

ASKOFU wa kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kati, Dk. Dikson Chilongani amesema kuwa licha ya kuwa serikali inapambana na rushwa lakini hali hiyo...

Habari za Siasa

Mbunge wa upinzani amtabiria anguko Rais Magufuli 

JOHN Heche, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Tarime Vijijini, amedai kuwa hatua ya Rais John Magufuli, kuzuia...

error: Content is protected !!