Siasa
WABUNGE wa Bunge la Tano la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) jana tarehe 18 Disemba, 2022 wameapa rasmi kuanza shughuli za Bunge hilo...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2022JESHI la Polisi Mkoa wa Kusini limewakamata na kuwahoji watu wawili ambao ni wanachama wa chama cha ACT Wazalendo kwa tuhuma za kuwakashifu...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amewataka wana CCM kutopoteza muda kwa malumbano na...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2022Kaimu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani ,Elisante Msuya ameeleza ,maandalizi ya uchaguzi wa wilaya katika nafasi mbalimbali yamekamilika, ambapo...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa amri ya wito kwa Halima Mdee na wenzake saba kufika mahakamani hapo Tarehe 26...
By Faki SosiJuly 29, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimeishauri Serikali kutowateua wanajeshi katika nafasi za uongozi wa umma, ili kuwatenga na siasa. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMay 20, 2022CHAMA Cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimempitisha Maimuna Said Kassim kuwa mgombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022JAJI Mustapha Siyani, kesho Ijumaa tarehe 10 Septemba 2021 ataanza kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha...
By Kelvin MwaipunguSeptember 9, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimesema, hakikutarajia kama Rais wa sasa wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan angekuwa...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2021WAZEE wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imuache huru Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe,...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2021KINYANG’ANYIRO cha kuwania urais ndani ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimeibua siri mpya ya “sakata la mkataba tata” wa kufua umeme...
By Saed KubeneaApril 15, 2021WABUNGE watano kutoka Chama cha Wananchi (CUF), tarehe 3 Agosti 2019 walikamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi wilayani Handeni, Tanga kwa madai...
By Danson KaijageAugust 4, 2019RAIS John Magufuli leo tarehe 16 Julai 2019, ametoa zawadi ya magunia 15 ya mchele pamoja na ng’ombe watatu kwa wafungwa na mahabusu...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2019BAADHI ya wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameeleza kutofurahishwa na kitendo cha Job Ndugai, Spika wa Bunge kumvua ubunge Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya mwaka 2018 ya viongozi wa Chadema leo tarehe 1 Julai 2019.Anaripoti Faki Sosi...
By Faki SosiJuly 1, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepinga pendekezo la serikali la kurejesha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kwenye taulo za...
By Mwandishi WetuJune 21, 2019KWA mara ya kwanza, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amekiri kwamba, chama chake kinahemea pomoni. Anaandika Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuJune 9, 2019MBOBEZI wa sheria nchini na Wakili wa Mahakama Kuu, Prof. Abdallah Safari amesema, iwapoDk. Adelardus Kilangi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), atagoma kutekeleza hukumu...
By Hamisi MgutaMay 24, 2019PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ameanza kumtumia Edward Lowassa...
By Regina MkondeMarch 6, 2019WABUNGE kutoka chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale kutoka vyama vya upinzani wameanza kumenyana kuhusu Muswada mpya wa Vyama vya Siasa...
By Danson KaijageJanuary 29, 2019MUSWADA wa Sheria ya Marekebisho ya Vyama vya siasa umetua bungeni leo huku Kambi Rasmi ya Upinzani ikianisha hoja zake kupinga muswada huo. Anaripoti...
By Danson KaijageJanuary 29, 2019MAMILIONI ya shilingi ndani ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa yaliyotengwa kwa ajili ya kuwajengea uwezo wanawake ndani ya vyama vya...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2017