Tuesday , 30 April 2024

Month: July 2021

Michezo

Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi kesho

MICHUANO ya klabu kwa ukanda wa Afrika Mashariki na kati (CECAFA Kagame Cup) yataanza kutimu vumbi rasmi kesho kwa jumla ya timu tisa...

MichezoTangulizi

Azam Fc yasaini mwengine kutoka Congo

KLABU ya Azam FC imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji raiawa kidemokrasia ya Congo, Idris Mbombo kwa mkataba wa miaka miwili. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea)...

Habari Mchanganyiko

Dk. Ndugulile aitaka TCRA isikwamishe usajili vyombo vya habari

  WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile, ameiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), isikwamishe utoaji leseni za usajili kwa...

Habari Mchanganyiko

Hiki hapa chanzo kifo cha Babu wa Loliondo

  MCHUNGAJI Ambilikile Mwasapile (86), maarufu kama Babu wa Loliondo, amefariki dunia kwa ugonjwa wa nimonia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea). Taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo njia panda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai kwamba Serikali ya Zanzibar, chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , inakwenda kinyume na maridhiano yao ya kuanzisha...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamuomba Rais Samia amfutie mashtaka ya ugaidi Mbowe

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, amuagize Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amuondolee mashtaka ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mambo matano yanayotajwa kuporomosha umaarufu wa Rais Samia

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kujisafisha kwenye mioyo ya wananchi na jumuiya ya kimataifa,...

Kimataifa

Marekani kutoa dola 100 kwa atakayekubali chanjo ya Korona

  RAIS wa Marekani, Joe Biden ameanzisha utaratibu wa kutoa dola 100 (Sh.231900), kwa kila mwananchi atakaye kubali kuchanjwa chanjo ya Ugonjwa wa...

Habari za SiasaTangulizi

Madeni yaitesa ATCL

  SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL), limesema changamoto ya mrundikano wa madeni inaathiri utendaji wake na kusababisha lijiendeshe kwa hasraa. Anaripoti Regina...

MichezoTangulizi

MO Dewji akata Ngebe, aweka Bil 20

Mfanyabiashara na mwekezaji ndani ya klabu ya Simba, Mohammed Dewji (MO), ameweka rasmi kiasi cha pesa shilingi 20 bilioni, kama sehemu ya uwekezaji...

MichezoTangulizi

Morrison, Mukoko wafungiwa michezo mitatu

  Wachezaji Bernad Morrison wa klabu ya Simba na Mukoko Tonombe kutoka Yanga wamefungiwa kutocheza michezo mitatu na kamati ya mashindano ara baaada...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua mrithi wa Mfugale Tanroads

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Rogatus Hussein Mativila, kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), akichukua mikoba ya Mhandisi Patrick...

AfyaTangulizi

Chanjo ya Korona kuanza Agosti 3, vituo 550 kutumika

  WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imesema huduma ya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), itaanza kutolewa kwa wananchi kuanzia Jumanne, tarehe 3...

Habari za Siasa

Samia aendelea kupanga safu ya uongozi CCM

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameendelea kupanga safu ya uongozi wa chama hicho, tangu alipokabidhiwa wadhifa huo, mwishoni...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua makatibu wakuu wannne

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameteua makatibu wakuu wanne, wa wizara na taasisi mbalimbali visiwani humo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati Kuu CCM yaagiza watovu wa nidhamu washughulikiwe

  KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza makada wake wanaokiuka mienendo na maadili ya chama hicho, wachukuliwe hatua za kinidhamu. Anaripoti...

Michezo

Hukumu kesi ya Yanga vs Morrison CAS, kutolewa ndani ya siku 26

  MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Kimichezo (CAS), itatoa hukumu ya kesi ya rufaa kati ya klabu ya Yanga na mchezaji, Bernard...

Habari Mchanganyiko

LHRC yaomba viwango vya mishahara sekta binafsi viongezwe

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimeiomba Serikali iongeze viwango vya mishahara ya wafanyakazi wa sekta binafsi, ili...

Michezo

Karia, Kidao wachanjwa

  RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ni miongoni mwa viuongozi waliopata chanjo ya corona, katika hafla iliyofanyika...

Tangulizi

Waziri Ummy aagiza halmashauri zibuni vyanzo vya mapato

  HALMASHAURI nchini Tanzania, zimetakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ya ndani, ili zipate fedha za kutoa huduma kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Mbowe latua Marekani, Tume ya AU yatoa tamko

  BARAZA la Wanawake la Chadema (Bawacha), limeiandikia barua Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, likiitaka uingilie kati tukio la kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa...

Habari Mchanganyiko

TCRA yawataka waandaa maudhui kuzuia yasiyofaa

  SERIKALI ya Tanzania, imewataka watoa huduma za mawasiliano nchini humo, kuzingatia sheria na kanuni zilizomo kwenye leseni katika utoaji wa huduma husika...

Michezo

Lamine ampewa mkono wa kwaheri Yanga

  KLABU ya Yanga imeachana rasmi na mlinzi wake wa kati, ambaye pia alikuwa nahodha wa kikosi hicho, Lamine Moro baada ya makubaliano...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi awaita wadau katika mapambano ukatili wa kijinsia

  RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameziomba Asasi za Kiraia  na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), ziunge mkono...

Habari Mchanganyiko

Bakwata yaitisha dua kudhibiti Korona, yahimiza barakoa ibadani

  BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata), limewaagiza Maimamu wake kufanya dua maalumu wakati wa swala, ili Mungu aliepushe Taifa na janga...

Habari za Siasa

Mashtaka ya Mbowe yawaibua CUF, wamwangukia Rais Samia

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aingilie kati sakata la kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, anayekabiliwa...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia afungua dimba chanjo ya Korona

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua zoezi la utoaji chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), kwa kuchanjwa aina ya Johnson &...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia awapa ujumbe wapinga chanjo ya Korona

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watu wanaopinga chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), wakajifunze katika mikoa iliyoathirika na janga hilo....

AfyaTangulizi

Tanzania kuingiza aina tano chanjo za Korona

  SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuingiza aina tano za chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo kwa...

Habari za Siasa

Dk. Hoseah: Tuna vyama vingi, tuwe na uvumilivu

  RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, ameshauri wanasiasa kuvumiliana pindi wanapokinzana katika hoja na sera, kwa kuwa...

Habari za Siasa

Samia kukata mzizi wa fitna tozo miamala ya simu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema majibu ya kilio cha wananchi juu ya tozo ya miamala ya simu, yatapatikana tarehe 29...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Mabalozi msikae kimya Tanzania ikichafuliwa

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka mabalozi wasikae kimya taswira ya Tanzania inapochafuliwa kimataifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Rais...

Habari za Siasa

UVCCM wataka Askofu Gwajima asurubiwe

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umekitaka chama hicho kimuadhibu Mbunge wake wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kufuatia hatua yake...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Mwamakula aitisha maombi kumuombea Mbowe

  MKUU wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Askofu Emmaus Mwamakula, ameitisha maombi maalumu ya siku saba, kwa ajili...

AfyaTangulizi

Tanzania kupigwa jeki upimaji Korona, kujenga viwanda vya chanjo

  SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kujenga viwanda vya kuzalisha chanjo za magonjwa ya mlipuko. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa...

Habari Mchanganyiko

THRDC yawapa neno wapinga chanjo ya Korona

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umewaomba Watanzania wasikwamishe mpango wa Serikali, wa kuwachanja wananchi chanjo ya Ugonjwa wa...

Habari Mchanganyiko

Mjukuu wa Mwalimu Nyerere afariki dunia

  SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Julius Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne, tarehe 27 Julai 2021,...

AfyaHabari za Siasa

Waziri Mkuu Tanzania atoa msimamo chanjo ya corona

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa COVID-19, hivyo amewataka Watanzania...

Habari Mchanganyiko

Mbowe kukosa mazishi ya baba yake mdogo

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, atashindwa kuhudhuria mazishi ya baba yake mdogo, Manase Mbowe, aliyefariki dunia tarehe...

Kimataifa

Mkuu wa usalama Haiti mbaroni kwa mauaji ya rais

  MKUU wa Usalama nchini Haiti, Jean Laguel Civil, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Rais...

Kimataifa

Polisi India washambuliana kwa risasi, saba wauawa

  ASKARI Polisi saba wamefariki dunia huku 50 wakijeruhiwa nchini India, katika mashambuliano ya risasi ya wenyewe kwa wenyewe , yaliyoibuka Jumatatu, tarehe...

Habari Mchanganyiko

Serikali Z’bar yakipongeza Chuo cha Mwalimu Nyerere, yatoa maagizo

  MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah, amekipongeza Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kwa kuhakikisha kinatoa wahitimu wenye...

Habari Mchanganyiko

Naibu waziri Gekul aipa somo TCRA

  SERIKALI ya Tanzania, imeitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhakikisha inasimamia vyema mfumo wa mtandao, ili kuhakikisha maudhui mtandaoni yanasalia yenye manufaa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe adaiwa kufikishwa mahakamani kimyakimya, asomewa shitaka la ugaidi

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na...

Afya

Dk. Mpango ataka wezi wa dawa wataifishwe

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, ameiagiza Wizara ya Afya itaifishe mali za wezi wa dawa na vifaa tiba vya...

Habari za Siasa

Makamba ampinga Askofu Gwajima “ni hatari kupotosha watu”

  MBUNGE wa Bumbuli mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema, kauli aliyoitoa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Mpango awaamsha wananchi Mtwara dhidi ya ugaidi Msumbiji

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amewataka wananchi wa Mkoa wa Mtwara, kuwa makini dhidi ya wanamgambo wa kundi la...

Habari za Siasa

Dk. Mollel: Wananchi hawataki katiba mpya, wanataka maendeleo

  NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amedai kwamba wananchi hawataki katiba mpya, bali wanataka maendeleo na huduma bora za kijamii. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

RC Dar: Kila mtu avae barakoa kwenye daladala, sokoni

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla amepiga marufuku wananchi mkoani humo kuingia kwenye vyombo vya usafiri...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe apata ugonjwa akiwa rumande

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe, anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...

error: Content is protected !!