SERIKALI ya Tanzania, iko mbioni kuzindua nembo maalumu itakayotambulisha bidhaa zinazotengenezwa nchini, pamoja na mfumo wa kusambaza taarifa za biashara nchini humo....
By Regina MkondeJuly 5, 2021MWILI wa aliyekuwa Muasisi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN), Temitope Balogun Joshua ‘TB Joshua’ (57), unatarajiwa kuzikwa Jumapili...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021WAMILIKI wa maduka ya kubadilishia fedha ambao walikuwa wakisubiri kwa hamu majibu ya Bunge kuhusu hatima ya mali na mabilioni ya fedha...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021WAFUASI wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, wamezingira nyumba yake ili kuzuia kiongozi huyo asikamatwe. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021SERIKALI imewaomba viongozi wa dini na wa vyama vya siasa, wawe mstari wa mbele katika kuwahimiza wananchi kufuata miongozo ya kujikinga na...
By Regina MkondeJuly 5, 2021BAADA ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), kuanza harakati za kudai katiba mpya, Baraza la Wanawake la...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021MBUNGE wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava, anatarajiwa kuburuzwa mahakamani kesho Jumanne, tarehe 6 Julai 2021, kufuatia kuibuka kwa mgogoro katika ndoa...
By Hamisi MgutaJuly 5, 2021KUFUATIA klabu yake ya Simba kupoteza mchezo wao dhidi ya Yanga, kwa bao 1-0, Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara ameahidi...
By Kelvin MwaipunguJuly 5, 2021MARA baada ya kufanyika kwa mchezo mkubwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kati ya Simba ambao walikuwa wenyeji mbele ya Yanga na...
By Kelvin MwaipunguJuly 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi bilioni tatu kwa taasisi mbalimbali zinazofanya utafiti katika...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021KAULI ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali ya kutaka kumnyoa kwa wembe Rais Samia Suluhu Hassan, imezua...
By Hamisi MgutaJuly 4, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeagiza uongozi wa shule, vyuo na taasisi za elimu zenye wanafunzi wengi, ziweke utaratibu wa kuingia kwa awamu ‘Shifting’,...
By Regina MkondeJuly 4, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema imekamilisha muongozo wa kuingiza na kutoa chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya...
By Regina MkondeJuly 4, 2021INSPEKTA Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka wenyeviti na watendaji wa Serikali za Mitaa, kuibua vitendo vya uhalifu...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema Jeshi la Polisi limefanikiwa kudhibiti vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha ‘ujambazi’...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2021Katika hali ya kustajabisha, kwenye mchezo watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, kikosi cha klabu ya Yanga ambao walikuwa wageni...
By Kelvin MwaipunguJuly 3, 2021MARA baada ya kuondoka na ushindi wa bao 1-0. kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kocha Mkuu wa klabu ya Yanga,...
By Kelvin MwaipunguJuly 3, 2021TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam, imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya watani zao Simba, katika mchezo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJuly 3, 2021MKUU wa Mkoa wa Dodoma (RC), Anthony Mtaka amesema, kwa kipindi cha siku 30 alizoanza kufanya kazi katika ofisi hiyo, amekuwa akipokea...
By Danson KaijageJuly 3, 2021MWANAMKE anayedai kuwa ni mchumba, aliyezaa na kuishi na mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava, anamtuhumu Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili...
By Hamisi MgutaJuly 3, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, imetaka Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, kujikita katika kuandaa ripoti...
By Danson KaijageJuly 3, 2021KESHO Mafahari wawili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu za Simba na Yanga, zinashuka dimbani kusaka pointi tatu, huku kila upande ukijinasibu...
By Kelvin MwaipunguJuly 2, 2021JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), wameutaka uongozi wa Klabu ya Simba umwonye, msemaji wake, Haji Manara kwa udhalilishaji alioufanya dhidi ya Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imetoa mwongozo wa kesi ya zuio la uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), isikilizwe...
By Kelvin MwaipunguJuly 2, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewataka wananchi kila mmoja kwenye nafasi yake, kuhakikisha anatumia muda alionao kufanya mambo yatakayoacha alama pindi...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021SHIRIKISHO la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA), limetangaza Kamati tano zitakazofanyakazi kama wizara za shirikisho hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, imesema aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale (67), alifariki...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali iunde kamati ya kitaifa, kwa ajili ya kuratibu na kutangaza shughuli ...
By Regina MkondeJuly 2, 2021MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam nchini Tanzania, leo Ijumaa saa 6:00 mchana, itatoa hukumu ndogo ya ama kuzuia uchaguzi wa...
By Kelvin MwaipunguJuly 2, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema chama hicho kikitengeneza utaratibu wa kufanya mikutano ya hadhara kwa...
By Regina MkondeJuly 2, 2021KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali amekula kiapo cha kusaka katiba mpya, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025....
By Regina MkondeJuly 2, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM), kisikatae marekebisho ya...
By Regina MkondeJuly 1, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekataa ombi la Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan la kutaka...
By Regina MkondeJuly 1, 2021MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepokea kesi ya kupinga uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), iliyofunguliwa na...
By Kelvin MwaipunguJuly 1, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amemkabidhi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ripoti ya matumizi ya...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021JESHI la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa limejipanga kuimalisha ulinzi, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati...
By Kelvin MwaipunguJuly 1, 2021KAULI ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuweka kiporo suala la Katiba Mpya na kuendeleza zuio la mikutano ya hadhara ili...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021KUELEKEA mtanange wa watani wa jadi, kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba, Bernard Morrison amechaguliwa kuwa mchezi bora wa mashabiki wa klabu hiyo,...
By Kelvin MwaipunguJuly 1, 2021Klabu ya KMC ya jijini Dar es Salaam, imerejesha mchezo wake dhidi ya Simba jijini Dar es Salaam, kwenye dimba la Benjamin...
By Kelvin MwaipunguJuly 1, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali iondoe changamoto za kikodi zinazokabili Asasi za Kiraia nchini (Azaki). Anaripoti...
By Regina MkondeJuly 1, 2021EMMANUEL Mwandembwa kutoka Arusha, ndiye atakayekuwa mwamuzi wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utakaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin...
By Kelvin MwaipunguJuly 1, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi, kimemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, kuufikilia upya uamuzi wake kuhusu suala...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021