Sunday , 19 May 2024

Month: March 2021

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua baraza la mawaziri

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri, kwa kuteua mawaziri na manaibu waziri wapya. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk Mpango: Sitakua kama Yuda, niko tayari nitume

  MAKAMU mpya wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amemuahidi Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kuwa katika utekelezaji wa majukumu...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru akaa Ikulu siku 32, apewa ubunge

  DAKTARI Bashiru Ally, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, amehudumu nafasi hiyo nyeti ndani ya Ikulu ya Tanzania kwa siku 32. Anaripoti Matrida Peter,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango aapishwa makamu wa Rais Tanzania

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amemwapisha Dk. Philip Isdor Mpango, kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari

Serikali yatangaza neema makato mikopo ya elimu ya juu

  SERIKALI ya Tanzania, imeahidi kufanyia mapitio kanuni za sheria ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu, ili kuondoa changamoto ya makato...

Habari Mchanganyiko

Shamimu, mumewe jela maisha

  MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maarufu Mahakama ya Mafisadi, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani, mfanyabiashara, Abdul Nsembo...

Habari za Siasa

Nape ataka elimu bure ifumuliwe, Silinde amjibu

  MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, ameishauri Serikali ya Tanzania, ifanyie marekebisho sera ya elimu bila...

Michezo

Ligi Kuu Bara kurejea Aprili 8

  BAADA ya Ligi Kuu Tanzania Bara kusimama kupisha michezo ya kimataifa na maombolezo, sasa itaendelea tena Aprili 8, 2021 kwa michezo miwili...

Habari

Milioni 128 waambukizwa corona duniani

  MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19), duniani yamefikia milioni 128.8, waliopona milioni 103.9 na waliofariki dunia wakiwa milioni 2.8. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Habari za Siasa

Mkutano mkuu CCM Aprili 30, Dk. Samizi …

  MKUTANO mkuu maalum wa chama tawala nchini Tanzania-Chama Cha Mapinduzi (CCM), utafanyika tarehe 30 Aprili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Mjadala Katiba mpya wawagawa wabunge

  WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamegawanyika juu ya mchakato wa Katiba mpya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Walikuwa wakichangia...

HabariTangulizi

Takukuru tumekuta milioni 8.5 kwa bosi wa bandari

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanania, imesema imepekua nyumbani kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA), Desdedit...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi wanne

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wanne. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Uteuzi huo, ameufanya...

Habari za Siasa

Mbunge ahoji alikozaliwa, zikwa Mwalimu Nyerere kukosa maji

  MBUNGE Viti Maalumu asiye na chama bungeni, Agnesta Lambart, amehoji lini Serikali itapeleka majisafi na salama katika Wilaya ya Butiama mkoani Mara,...

Habari za Siasa

Mfahamu Dk. Philip Mpango

  DAKTARI Phillip Isdor Mpango, mtaalamu wa masuala ya uchumi aliyependekezwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania na Rais Samia Suluhu Hassan, alizaliwa...

Habari za Siasa

Dk. Mpango kuendeleza miradi ya Magufuli

  MAKAMU wa Rais mteule wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, ameahidi kuiendeleza miradi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, ili...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Dk. Mpango amepoteza sifa ya ubunge, NEC…

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuwa Jimbo la Buhigwe, mkoani Kigoma liko wazi...

Habari za Siasa

Dk. Mpango kuapishwa kesho Ikulu-Dodoma

  DAKTARI Philip Isdor Mpango, kesho Jumatano tarehe 31 Machi 2021, saa 9:00 alasiri, ataapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

Habari za Siasa

Wabunge wamchambua Dk. Mpango, wampongeza Rais Samia

  WABUNGE wa Tanania wamemchambua Dk. Philip Mpango (63), kuwa ni mtu sahihi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....

Habari za Siasa

Alichokisema Dk. Mpango baada ya kupendekezwa kuwa makamu wa Rais

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania mteule, Dk. Phillip Mpango, ameahidi kulitoa Taifa katika uchumi wa kati hadi uchumi wa juu katika kipindi...

Habari za Siasa

Bosi Bandari mikononi mwa Takukuru

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanania, inamshikilia aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA), Desdedit Kakoko, kwa uchunguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ampendekeza Dk. Mpango kuwa makamu wa Rais

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Dk. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Jina hilo,...

Michezo

Al Merreikh wamtengea Manula donge nono

  KLABU ya Al Merreikh inayoshiki Ligi Kuu nchini Sudan imeonekana kutaka saini ya mlinda mlango wa klabu ya Simba na Timu ya...

Michezo

Ishu ya Mukoko na Kaizer Chiefs iko hivi

  MARA baada ya tetesi za Mokoko Tonombe kutakiwa na klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini uongozi wa klabu hiyo...

HabariTangulizi

Mambo 6 yajayo Bunge la Bajeti

  SAFARI ya siku zaidi ya 90 ya mkutano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaanza kesho Jumanne saa 3:00 asubuhi,...

HabariTangulizi

Toba ya UVCCM yaibua mjadala

  HATUA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kuwaomba radhi Watanzania, imewaibua wanasiasa na wanaharakati. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

HabariTangulizi

NGO’s zamuahidi Rais Samia mambo 18

  ASASI za Kiraia (AZAKI) na Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s), nchini Tanzania, zimemuahidi mambo 18, Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan,...

HabariTangulizi

Kufungiwa akaunti: THRDC wampa neno Rais Samia

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iwape nafasi ya watu kujitetea, mashirikia...

Habari

Chadema kubadili msimamo Jimbo la Muhambwe? Mkosamali…

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kitaamua ndani ya saa 48, kuanzia leo Jumatatu, kama kitajitosa katika uchaguzi wa ubunge wa Muhambwe,...

Habari

Asasi za kiraia Tanzania zamwangukia Rais Samia

ASASI za kiraia (AZAKI) nchini Tanzania, zimeomba kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa ajili ya kujadiliana nae masuala mbalimbali ikiwemo ufufuaji wa...

Kimataifa

Sarah Obama afariki dunia, kuzikwa leo

  SARAH Obama (99), Bibi wa Rais wa zamani wa Marekani, Barrack Obama, amefariki dunia leo Jumatatu tarehe 29 Machi 2021, katika Hospitali...

Habari za Siasa

UVCCM wawaangukia Watanzania, wataka yaishe

  UMOJA wa Vijana wa Chama tawala Tanzania (UVCCM), umewaomba radhi Watanzania kwa kauli na matendo waliyotoa katika utawala uliopita wa Hayati John...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aagiza kesi za ‘kubambikiza’ zifutwe

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini humo (TAKUKURU), kuzifuta kesi zote zisizokidhi misingi...

Habari Mchanganyiko

Mtangazaji ITV auwawa

  BLANDINA Sembu, Mtangazaji wa kipindi cha Jarida la Wanawake kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV, ameuawa na watu wasiojulikana. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Rais Samia amuibua Lissu

  HATUA ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko, ili...

Habari za Siasa

Maagizo ya JPM yamweka matatani Jafo, Rais Samia amtahadharisha

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo kusema kama ameshindwa kudhibiti upotevu wa fedha kwenye wizara...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mifumo ya ukusanyaji mapato kufumuliwa

  MAMA Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameagiza mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji mapato ya Serikali, kufumuliwa mara moja, ili kudhibiti mianya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Samia aomba ripoti fedha zilizotolewa hazina Januari-Machi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Prof. Florence Luoga na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia amtumbua kigogo TPA

  RAIS Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko, ili kupisha uchunguzi wa ubadhirifu...

Habari Mchanganyiko

CAG: ATCL imetengeneza hasara ya bilioni 60

  SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL), limetengeza hasara katika kipindi cha miaka mitano, ambapo mwaka huu, limetengeza hasara ya Sh. 60 bilioni. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kupokea ripoti za CAG, Takukuru

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumapili tarehe 28 Machi 2021, atapokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

Habari Mchanganyiko

Zitto aongoza 40 ya Maalim Seif Pemba

  KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amewaongoza wanachama na viongozi wa chama hicho kwenye arobaini ya Maalim Seif Sharif Hamad. Anaripoti Mwandishi Wetu…endelea....

Habari za Siasa

NEC: Uchaguzi jimbo la Muhambwe Mei 2

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe, mkoani Kigoma ambao utafanyika tarehe 2 Mei...

Habari

Mbatia: Ashauri Majaliwa ajiuzulu uwaziri mkuu

  JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Mama Janeth Magufuli, ameonesha njia Ikulu

  JANETH, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amejiandikia historia yake. Haiba yake, haifanani na watangulizi wake, katika nafasi hiyo,...

Habari za Siasa

Mbatia amzungumzia Hayati Magufuli “alichangia harusi yangu”

  WAKATI maelfu ya wananchi wakishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, yaliyofanyika nyumbani kwao, Chato, mkoani Geita, viongozi mbambali...

Habari Mchanganyiko

Dawasa yatangaza upungufu wa maji

  MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), imetangaa saa 12 za upungufu wa huduma ya maji kwa wananchi...

Habari za Siasa

Mdee, Matiko walivyomzungumzia Hayati Magufuli

  WABUNGE viti maalumu, Halima Mdee na Esther Matiko wamemchambua aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dk. John Magufuli (61), wakisema alikuwa kiongozi wa...

Habari Mchanganyiko

Ujumbe alioacha Magufuli kwa Watanzania

  DAKTARI John Pombe Joseph Magufuli, amewaachia ujumbe Watanzania akiwataka wasitetereke na wamtumaini Mungu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato … (endelea). Dk. Magufuli, aliyekuwa...

Habari Mchanganyiko

Jinsi Magufuli alivyomuaga mama yake

  ALIYEKUWA Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Joseph Magufuli (61), alimuaga mama yake Suzan Magufuli, kwa kumuombea sala. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato...

error: Content is protected !!