May 25, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mbatia amzungumzia Hayati Magufuli “alichangia harusi yangu”

Spread the love

 

WAKATI maelfu ya wananchi wakishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, yaliyofanyika nyumbani kwao, Chato, mkoani Geita, viongozi mbambali nchini, wameendelea kutoa salamu za pole na kuuelezea maisha ya kiongozi huyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

MwanaHALISI TV imezungumza na mwenyekiti wa chama cha NCCR- Mageuzi na mbunge wa zamani wa Vunjo, James Fancis Mbatia.

Katika mazungumzo hayo, Mbatia amegusia mahusiano yake binafsi, kikazi na Dk. Magufuli aliyefariki dunia Jumatano ya tarehe 17 Machi 2021, Hospitali ya Mzena, Makumbusho mkoani Dar es Salaam.

Miongoni mwa aliyogusia Mbatia ni kufahamiana na Dk. Magufuli kwa nusu ya umri wake wa miaka 61, tangu wakiwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Fuatilia mahojiano hayo:-

error: Content is protected !!