Friday , 17 May 2024

Month: March 2021

Habari Mchanganyiko

Mama Janeth akabidhiwa bendera ya Tanzania

  JANETH, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanania, John Pombe Joseph Magufuli, amekabidhiwa bendera ya Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato … (endelea). Bendera...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kitabu cha John Magufuli chafungwa rasmi

  WEWE ni mavumbi na mavumbini utarudi. Ndivyo unaweza kusema, baada ya mwili wa Dk. John Pombe Joseph Magufuli, kulazwa kwenye nyumba yake...

Habari Mchanganyiko

Mzee Mwinyi: Magufuli amefanya mambo yaliyotushinda watangulizi wake

  RAIS Mstaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amesema, Hayati Rais John Pombe Magufuli (61), atakumbukwa kwa utekelezaji wa masuala yaliyoshindwa kufanywa...

Habari

Kikwete akumbusha alivyombeba Magufuli 2015

  RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameeleza ugumu aliopitia katika kumpitisha Hayati John Pombe Magufuli (61), kuwa mgombea urais wa Chama...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Madaktari endeleeni kumhudumia Mama yake Magufuli

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, madaktari wanaomhudumia Suzana, mama mzazi wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, wataendelea...

Habari

Safari ya Chato kuwa mkoa yaanza

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, ameitaka mamlaka ya Serikali Wilaya ya Chato mkoa wa Geita, kukamilisha haraka mchakato wa kuifanya Chato...

Habari

Majaliwa: Madaktari endeleeni kumhudumia Mama yake Magufuli

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, madaktari wanaomhudumia Suzana, mama mzazi wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, wataendelea...

Habari

Mazishi ya Magufuli: Dk. Shein akumbusha machungu uchaguzi mkuu 2015

  RAIS Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema, aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli (61), alikuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Jenerali Mabeyo amhakikishia utii Rais Samia, kuitwa Amri Jeshi Mkuu

  VYOMBO vya ulinzi na usalama nchini Tanzania, vimemhakikishia ulinzi Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai amkaribisha Rais Samia bungeni

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemkaribisha bungeni, Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato…(endelea). Spika Ndugai...

Habari za Siasa

Wazee Chato wamtwisha mzigo Rais Samia

  WAZEE wa Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita, wamemwomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutekeleza ahadi waliyoahidiwa na Dk. John Pombe...

Habari Mchanganyiko

Askofu Nkwande amtahadharisha Rais Samia

  ASKOFU Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Renatus Nkwande ametahadharisha Taifa kuingia kwenye mapenzi ya jinsia moja – ushoga na usagaji. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Maaskofu 15, Mapadri 70 wamzika Magufuli

  MAASKOFU 15 na mapadri zaidi ya 70 wa Kanisa Katoliki, wanashiriki misa takatifu ya kumwombea Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Anaripoti Regina...

Habari MchanganyikoTangulizi

Safari ya mwisho ya Hayati Magufuli Chato

  MWILI wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli unazikwa leo Ijumaa tarehe 26 Machi 2021, katika makaburi ya nyumbani...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa Hayati Magufuli kuzikwa leo, Rais Samia atoa shukrani

  WAKATI mwili wa Hayati John Pombe Joseph Magufuli, ukizikwa leo Ijumaa tarehe 26 Machi 2021, nyumbani kwao, Chato mkoani Geita, Rais wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Baba aliyefiwa watoto, mke atoa yamoyoni

  MAMIA ya wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi katika mazishi ya wanandugu watano, wanaodaiwa kufariki dunia katika shughuli...

Habari za Siasa

Zitto akumbushia sakata la Nape, yeye amjibu

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameliibua upya sakata la aliyekuwa waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Nape Nnauye, kunyooshewa...

Habari za SiasaTangulizi

Z’bar wamtaka Rais Mwinyi aongoze kama Magufuli

  MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema, vijana wengi visiwani humo, wanataka Serikali ya Rais Hussein Mwinyi, iongoze...

Habari MchanganyikoTangulizi

Saa 48 za mwili wa Magufuli Chato

  WANANCHI wa Chato, mkoani Geita leo Alhamisi tarehe 25 Machi 2021, watauaga mwili wa mpendwa wao, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Chato walivyoupokea mwili wa Magufuli, kulazwa kwake

  MWILI wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, umewasili nyumbani kwao, Chato Mkoa wa Geita ukitokea Mwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato...

Habari Mchanganyiko

Mwili wa Magufuli wasimamishwa ukweni kwake

  MSAFARA wenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, umesimamishwa nyumbani kwa mke wake, Janeth eneo la Sengerema mkoani...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Dk. Magufuli ameacha alama hadi vijijini

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Pombe Magufuli, alikuwa kiongozi mahiri na ameacha alama Taifa...

Habari za Siasa

Zitto atoa sharti kumuunga mkono Rais Samia

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, yuko tayari kumuunga mkono Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, endapo serikali yake itahakikisha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Magufuli aisimamisha Mwanza, mwili wazungushwa mara 5 uwanjani

  MWILI wa Dk. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania, umezungushwa mara tano, ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tukio la Adhana: Uhuru awakosha Waislam Kenya

  BARAZA la Waislam la Kenya (SUPKEM), limempongeza Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo, kwa kusimamisha hotuba yake wakati Adhana iliposomwa. Anaripoti Mwandishi...

HabariTangulizi

Dk. Hoseah ajitosa urais TLS

  ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania urais...

HabariTangulizi

Mwili wa Magufuli wapokea kishujaa Mwanza

  NYUMBANI ni nyumbani. Hivi ndivyo unaweza kuelezea, jinsi wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wameupokea kishujaa mwili wa Dk. John...

Michezo

Jeshi la wachezaji 30 kutua Equtorial Guinea

  KOCHA Kim Poulsen ameweka wazi jeshi la wachezaji 30 litakalosafiri kutoka Nairobi nchini Kenya ambapo timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Mwinyi: Tumempoteza mtetezi wa wanyonge

  RAIS wa Zanzibar na Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi amesema, Bara la Afrika limepoteza kiongozi mwanamapinduzi, kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais...

Habari Mchanganyiko

Mwili wa Magufuli kulazwa Ikulu Zanzibar

  MWILI wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli (61) utalazwa katika Ikulu ya Zanzibar, kisha kesho tarehe 24 Machi 2021, utasafirishwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili Magufuli wawasili Z’bar, Uwanja wa Aman wafurika

  WANANCHI wa Zanzibar, wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, aliyefariki dunia tarehe 17 Machi...

Habari

Jinsi mkasa wa wanafamilia 5 kufa wakimuaja JPM ulivyokuwa

SAFARI ya miaka 10 ya ndoa ya Suzana Ndaga Mtuwa na Denis Mtuwa iliyofungwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Kimara jijini...

HabariTangulizi

Marais tisa wamuaga Dk. Magufuli

  MARAIS tisa katika nchi za Bara la Afrika, wameshiriki shughuli ya kitaifa ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe...

Habari

Rais Ramaphosa ataja siri Magufuli kutosafiri nje

  RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema, aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, alimwambia hapendi kusafiri nje ya nchi, kwa...

Habari za Siasa

CCM yamkingia kifua Rais Samia

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewatoa wasiwasi wanachama wake kwa ujumla kikisema mambo yatakwenda kama yalivyopangwa chini ya Rais...

Burudika

Kifo cha Magufuli, Majaliwa awashukuru wasanii

  WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewashukuru na kuwapongeza wasanii wote nchini waliojitoa kutunga nyimbo mbali mbali za...

Habari

Maneno ya mwisho ya Magufuli kwa Rais Samia

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani, amesema siku chache kabla ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Hayati John Pombe Magufuli kufariki dunia,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atuma salamu kwa wanaombeza

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wale wote wenye shaka ya uongozi wake kutokana na jinsia yake ya mwanamke, kukaa mguu...

Habari Mchanganyiko

Rais Kenyatta amfunda Mama Samia

  RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemzungumzia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, akisema katika muda mfupi wa uongozi wake, ameonesha...

Habari Mchanganyiko

AU: Magufuli ameitingisha Afrika

  UMOJA wa Afrika (AU) umesema, kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, kimelitingisha Bara la Afrika. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Rais Chakwera: Dk. Magufuli alikuwa kiongozi wa mfano Afrika

  RAIS wa Malawi, Dk. Lazarus Chakwera amewataka viongozi wa Bara la Afrika, kuinga uongozi uliotukuka wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Magufuli aacha watoto 7, siri jina la Pombe…

  ALIYEKUWA Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Joseph Magufuli (61), hadi mauti yanamfika saa 12:00 jioni ya Jumatano tarehe 17 Machi 2021,...

Michezo

Mamilioni ya Man United yamuibua MO

  MKATABA mpya wa udhamini wa jezi waliongia klabu ya Manchester United wenye thamani ya Shilingi 703 bilioni, umemuibua Mwenyekiti wa Bodi ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mama Janeth Magufuli amtoa machozi Rais Samia

  SIMANZI iliyotanda usoni mwa Janeth, Mjane wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (61), amemfanya Rais Samia Suluhu Hassan, kutokwa chozi....

HabariTangulizi

Kifo cha Magufuli: Spika Ndugai amwangukia Mama Samia

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani, kukamilisha ndoto za aliyekuwa rais wa taifa hilo, Hayati John...

Habari MchanganyikoTangulizi

Spika Ndugai awashukia wanaofurahia kifo cha Magufuli

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewashukia watu wanaofurahia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli (61), kilichotokea Jumatano...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Tumwombee mama yake Magufuli

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewaomba Watanzania kumwombea Suzana, mama mzazi wa hayati Rais John Pombe Magufuli (61). Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Vilio vyatawala wabunge wakimuaga Dk. Magufuli

  VILIO vimetawala viwanja vya Bunge jijini Dodoma, wakati wabunge wakiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (61). Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Utaratibu kumuaga Dk. Magufuli wabadilishwa

  UMATI mkubwa wa waombolezaji wanaofika kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, umeifanya Serikali kutangaza utaratibu mpya wa kumuaga. Anaripoti Regina...

error: Content is protected !!