Saturday , 13 April 2024

Burudika

Burudani

BurudikaMichezo

Kizz Daniel aunguruma na EP mpya ‘Thankz alot’

MKALI wa muziki nchini Nigeria, Kizz Daniel ametoa EP yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Thankz Alot’, ambayo inakwenda kuthibitisha ubora wake katika...

BurudikaHabari za Siasa

Samia amchangia Professa Jay mil. 50, Chadema, wasanii wamwaga manoti

RAIS Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Sh 50 milioni katika uzinduzi wa taasisi ya Professa Jay Foundation pamoja na kuahidi kumgharamia matibabu...

Burudika

Piga makofi kwa Mr. Eazi …achomoka na ‘The Evil Genius’

MAKOFI kwa Mr Eazi! Staa wa Afropop, Mr Eazi ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Evil Genius’ iliyokuwa ikisubiriwa...

Burudika

Kishindo cha Afro B katika “Wo wo wo” akiwa na Rich the Kid&Rimzee

STAA ambaye alitambulishwa na ngoma maarufu, Afrowave ‘Drogba’, Afro B, ameachia video yake mpya ya kibao “Wo Wo Wo (Ebony)” – ikiwa ni...

Burudika

Mr. Eazi aachia Advice ikiwa ni ujio wa albam mpya

STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr.Eazi ni gwiji linapokuja suala la kuachia rekodi tamu yenye burudani ya kipekee kwa jamii na sasa ameachia...

Burudika

Stonebwoy adondosha ‘Dimension’ kolabo na Stormzy, Davido…

MSANII mahiri wa Afro- Dancehall kutoka nchini Ghana aliyesainiwa na lebo ya Def Jam Records, Stonebwoy ameachia albamu mpya ya 5th Dimension, ikiwa...

Burudika

Mr Eazi, DJ Edu kuachia ngoma mpya ya Wena

BAADA ya kutangaza habari kubwa za ujio wa project ya Afrodance Soundsystem, wasanii wakubwa wa muziki, Mr Eazi na DJ Edu wameachia ngoma...

Burudika

Makali ya Skillager kwenye ‘Busy Body’ usipime!

MWANAMUZIKI anayekuja kwa kasi kwenye game ya Afro Pop, Felix Philemon Sola ‘Skillager’ ameachia kitu kipya, ‘Body Busy’. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Msanii...

Burudika

Savage adondosha ‘your waist’ X King Perryy, Psycho YP

MSANII wa muziki wa Rap kutoka Nigeria, Savage a.k.a Savage tha Beast amerejea tena na wimbo wake mpya ‘Your Waist’ akiwa amegonga kolabo...

Burudika

Lojay aachia ‘moto’, kusafishia njia EP mpya ‘gangster romantic’

STAA wa Amapiano aliyetesa vilivyo na kibao chake ‘Monalisa’, Lojay sasa ameachia mtaani singo yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘MOTO’, ikiwa ni...

Burudika

Msanii maarufu AKA adaiwa kuuawa kwa risasi

RAPA maarufu nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes ‘AKA’ ameuawa akiwa amesimama nje ya mgahawa mmoja huko Durban jana usiku. Kwa mujibu wa taarifa...

Burudika

NMB yawakutanisha Jay Meleody, Navy Kenzo Z’bar

MSANII wa kizazi kipya, Jay meleody akitumbuiza kwenye tamasha la Full moon party katika hoteli ya Kendwa Rocks visiwani Zanzibar wikiendi iliyopita. Anaripoti...

Burudika

Man Mo; Mkali aliyetajwa na Hayati Magufuli mkutanoni

KILA mtu ana kipaji chake alichozaliwa nacho hapa duniani. Shida tunayokutana nayo ni namna ya kukivumbua kipaji hicho ili kiwe sehemu ya maisha...

Burudika

Netta, Mr Eazi waangusha kolabo kali ‘Playground Politica’

MSANII maarufu wa muziki wa Pop, Netta amemshirikisha staa mkubwa wa muziki wa Nigeria, Mr Eazi katika ngoma mpya ya Playground Politica ambayo...

Burudika

Kibao kipya cha Mr Eazi; Personal Baby

STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr Eazi ameachia ngoma yake mpya, Personal Baby ambayo ni ya pili kuachiwa kutoka katika albamu yake...

Burudika

Kwaya ya MT. Kizito ziarani nchini Kenya

KWAYA ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makuburi, Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam, inatarajia kufanya ziara ya kitume nchini Kenya...

BurudikaHabari

Apple Music yasherehekea mafanikio ya Bara la afrika

JUKWAA la muziki la Apple Music, linasherehekea uzuri wa kipekee na mandhari ya Bara la Afrika kupitia muziki katika Africa Month (Mwezi wa...

BurudikaHabari

Mastaa wa muziki Afrika waachia African Lullabies Part 2 kwa kishindo

KIKOSI kazi cha kusherehekea mwezi wa Afrika kwenye mkusanyiko wa nyimbo zenye mahadhi ya Kiafrika zilizopewa jina la African Lullabies Part 2, kimeachia...

Burudika

Rayvanny ‘aifuta’ Wasafi

STAA wa Bongofleva ambaye pia ni Mmiliki wa rekodi lebo ya Next level Music, Raymond Mwaikyusa ‘Rayvanny’ ameendelea kuibua minong’ono kuhusu kujiondoa kwake...

Burudika

Mtunisha misuli nyota wa Marekani afariki dunia

MJENGA misuli wa Marekani Cedric McMillan amefariki akiwa na umri wa miaka 44, baada ya miaka kadhaa ya matatizo ya kiafya yaliyosababishwa na...

Burudika

‘Tetema’ yamuingizia Rayvanny milioni 230

MKURUGENZI wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WBC), Naseeb Abdul ‘Diamond Platnums’ amesema mkali mwenzie wa Bongo fleva kutoka katika lebo hiyo, Raymond...

Burudika

Diamond Platnumz kuachia EP Machi

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram amewatangazia mashabiki wake kwamba ataachia EP yake...

Burudika

Ujio wa Asa na ngoma mpya ‘Ocean’

MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, Bukola Elemide maarufu kama ‘Asa’ ameachia ngoma yake mpya iitwayo Ocean aliyofanya na prodyuza maarufu, Prime, ikiwa ni...

Burudika

Fursa yanukia kwa Waandaaji wa filamu Afrika Mashariki

WAANDAAJI wa filamu wa Afrika Mashariki hususani waandishi wa miswada (script writters) wanatarajiwa kunufaika na mpango maalum ulioandaliwa na Taasisi ya Realness kwa...

Burudika

JANE MISSO: Ninarejea kwa kishindo, Harmonize ni mpango wa Mungu

MUIMBAJI wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Jane Misso amewaomba mashabiki zake kukaa mkao wa kula kwani sasa amenuia kurejea kwa kishindo baada...

BurudikaHabari

Harmonize kuwakutanisha jukwaa moja wasanii 50 wa Afrika Mashariki Dar

  WASANII zaidi ya 50 kutoka Afrika Mashariki wanatarajiwa kupanda jukwaa moja kwenye tamasha la ‘Afro East Carnival’ litakalofanyika Uwanja wa Tabata Shule,...

BurudikaTangulizi

Rais Samia: Serikali itagharamikia matibabu ya Profesa Jay

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu yote anayopata aliyekuwa Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu...

BurudikaKitaifa

Harmonize ajiandaa kuitikisa Dar

Msanii wa Bongo fleva, Rajab Abdul maarufu kama ‘Harmonize’ ametangaza ujio wa tamasha lake katika jiji la Dar es salaam liitwalo (Afro East...

Burudikakitaifa

Mondi abisha hodi tuzo za Grammy

MSANII wa Bongofleva, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameweka rekodi nyingine ya kuwa msaanii wa kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kutumbuiza...

Burudika

Diamond, Zari watamba Tiffah kuvaa joho

  Msanii wa Bongo fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameonyesha furaha ya kipekee baada ya mwanawe wa kwanza Tiffah Princess kuhitimu...

Burudika

Nabii mrembo, bilionea Lucy Natasha achumbiwa na Nabii wa Kihindi

  “Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamuona mpendwa wa nafsi yangu, nikamshika, nisimuache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mama yangu, chumbani mwake aliyenizaa.”...

Burudika

R. Kelly majanga, akutwa na hatia

  MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya ‘RnB’ kutoka nchini Marekani, Robert Sylvester Kelly maarufu kama R. Kelly amekutwa na hatia katika tuhuma zilizokuwa...

Burudika

Msimu wa 12 BSS wazinduliwa, Salama Jabir arejea

  SHINDANO la Bongo Star Search (BSS) msimu wa 12 umezinduliwa huku jaji maarufu Salama Jabir akirejea ulingoni. Anaripoti Matilda Buguye (endelea). Salama...

Burudika

Naddy kuwapandisha jukwaani wasanii Dar

MSANII wa muziki wa bongo fleva Nandela Charles Mfinanga maarufu Nandy leo Jumamosi tarehe 4 Septemba 2021 anahitimisha kilele cha tamasha lake ‘Nandy...

Burudika

Bilionea Grand P, Eudoxie Yao warudiana

Baada ya kutangaza kutengana wiki chache zilizopita, bilionea Moussa Sandiana Kaba almaarufu kama Grand P kutoka Guinea amerudiana tena na mpenzi wake msanii...

BurudikaTangulizi

Rais Samia ampagawisha Zuchu

  Malkia wa Bongofleva, Zuhura Kopa maarufu kama Zuchu ameeleza kupagawishwa na simu ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiperfome jana tarehe 21...

Burudika

Mrembo Mobetto atisha tena, apata dili nono

  MWANAMITINDO na msanii wa muziki wa bongo fleva Hamisa Mobetto, nyota yake imeendelea ku’ngaa baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni ya...

Burudika

Kifo cha Magufuli, Majaliwa awashukuru wasanii

  WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewashukuru na kuwapongeza wasanii wote nchini waliojitoa kutunga nyimbo mbali mbali za...

BurudikaTangulizi

Wizkid, Burnaboy wan’gara tuzo za grammy, Beyonce aweka rekodi

  TUZO kubwa ulimwenguni, zinazotolewa nchini Marekani maarufu ‘Grammy,’ zimeshuhudia gwiji wa muziki, Beyonce akiweka rekodi kwa kushinda na kufikisha tuzo 28 tangu...

Burudika

Majizo, Lulu wafunga ndoa Dar

  HAYAWI hayawi sasa yamekuwa, Francis Ciza maarufu Majizo na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamefunga ndoa. Anaripoti Matrida Peter, Dar es Salaam..(endelea) Majizo ambaye...

BurudikaHabari za Siasa

Baba Levo: Sababu ni Zitto kurudi Kigoma Mjini

UAMUZI wa Zitto Kabwe, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo kugombea tena Jimbo la Kigoma Mjini, umenisukuma kugombea tena Kata ya Mwanga Kaskazini. Anaripoti Hamis...

Burudika

Wasanii wapewa neno kuondokana na aibu

MAKAMU  mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji Tanzania, Jimmy Mafufu amewataka wasanii kujiunga katika mfumo wa bima kupitia mfuko wa PPF ili kuondokana na...

Burudika

Waziri Mwakyembe akemea ‘mshiko’ kwa watangazaji

WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo,  Harrison Mwakyembe amekemea tabia ya baadhi ya waandishi wa habari kuchukua pesa (mshiko), ili wapige redioni nyimbo...

BurudikaRipoti

Simanzi mazishi ya Shaban Dede

HAKIKA ni simanzi na majonzi ndivyo vimetawala kwa wadau wa mziki wa dansi Tanzania kufuatia kifo cha Shaban Dede, Mwanamuziki mkongwe wa muziki...

error: Content is protected !!