Sunday , 28 April 2024

Month: May 2017

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro aanza na wauaji wa Pwani

SIMON Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) ameanza na kuwachimba mkwara mzito watu wanaoendesha mauaji ya viongozi wa serikali, chama na askari...

Habari Mchanganyiko

Ukatili kijinsia wapingwa

MKURUGENZI Mtendaji wa kituo cha msaada wa kisheria cha Parallegal, Morogoro, Frola Masoi ameitaka jamii kuzingatia na kuzifuata sheria zilizopo kwenye katiba ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aelezea Ndesambulo alivyofariki

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupokea kwa mshutuko mkubwa wa kifo cha Muasisi wa chama hicho na mbunge wa mstaafu wa jimbo...

Kimataifa

Bomu laua 80 Afghanistan

WATU 80 wameuawa na wengine zaidi ya mia tatu kujeruhiwa, baada ya bomu lililotegwa kwenye gari kulipuka jirani na ubalozi wa Ujerumani mjini...

Habari za Siasa

Kubenea amtoa jasho Mwijage bungeni

WAZIRI wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji,Charles Mwijage alijikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kujibu swali la nyongeza la Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea...

Habari za Siasa

Serikali kurudisha viwanda vyake kutoka kwa wawekezaji

SERIKALI, iko mbioni kuvirejesha serikalini viwanda vyake vinane vilivyokuwa vinaendeshwa na wawekezaji, anaandika Dany Tibason. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa...

Habari Mchanganyiko

Sumatra waingia kwenye shutuma nzito

MBUNGE wa Buyungu, Mwalimu, Bilago Kasuku (Chadema) ameibana serikali na kuitaka ieleze ni kifungo gani cha sheria kinaipaMamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa...

Habari za SiasaTangulizi

TANZIA: Philemon Ndesamburo afariki dunia

MBUNGE wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi,...

Habari Mchanganyiko

Wakandarasi wanaichonganisha serikali na wananchi

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) Suleiman Jafo amewaambia wakandarasi kutotimiza wajibu...

Habari za SiasaTangulizi

CDA wazidi kubanwa, sasa kuchunguzwa

WAKATI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akikiri kwamba kuna utapeli unaodaiwa kutekelezwa na baadhi ya watendaji wa iliyokuwa...

Habari Mchanganyiko

Sheria ya ndoa kurekebishwa kumaliza ndoa za utotoni

SERIKALI imesema ipo haja ya kuondoa vifungu vinavyoruhusu ndoa za utotoni kwenye sheria ya ndoa kwa lengo la kumlinda mtoto wa kike na...

Habari Mchanganyiko

Mbunge awashambulia mawaziri wa Rais Magufuli

MBUNGE wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) leo aliwashambulia mawaziri wa Rais Magufuli kwa kueleza kuwa majibu yao asilimia kubwa ni ya uongo, anaandika...

Habari Mchanganyiko

Mashine ya Mil 100 yatoweka Mpanda

MBUNGE wa Viti Maalum Rhoda Kunchela (Chadema) ameitaka serikali kufuatilia na kutoa taarifa juu ya matumizi mabaya ya mashine ya kukoboa na kusaga...

Elimu

Uzalishaji mashuleni waokoa wanafunzi

MRADI wa kuhamasisha shule za msingi kushiriki katika shughuli za utunzaji wa mazingira na uzalishaji mali shuleni, “eco school” umefanikiwa kuongeza mahudhurio ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tanzia: Mchoraji nembo ya Taifa afariki

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imetoa taarifa za kifo cha Mzee Fransis Maige (86) aliyechora Nembo ya Taifa ya Uhuru na Umoja ambayo inatumika...

Kimataifa

Korea Kaskazini yaelekeza kombora Japan

KOREA Kaskazini imerusha kombora la masafa mafupi, ambalo ni la tatu kurushwa na taifa hilo katika kipindi cha wiki tatu, anaandika Hamisi Mguta....

Habari MchanganyikoTangulizi

Yametimia

UTEUZI uliotabiliwa na Gazeti la MwanaHALISI kuhusu kung’oka kwa aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu umetimia, anaandika Mwandishi Wetu. Katika andika la Gazeti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mkude anusurika, mmoja afariki ajalini

Nahodha wa Simba, Jonas Mkude amepata ajali mbaya ya gari akiwa njiani kureje Dar es Salaam akitokea Dodoma, anaandika Hamisi Mguta. Mkude alikuwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tetemeko ardhi laua Polisi Mwanza

TETEMEKO la ardhi lililopita mkoani Mwanza na kudumu kwa sekunde 10 limesababisha askari Polisi WP. 114674 Joyce Jackson kupoteza maisha wakati akiwa kazini...

Habari za SiasaTangulizi

Mwijage ajifananisha na Gaddafi

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema yeye ni muumini wa Mohammed Gaddafi, kwa kueleza kuwa yeye anafanya kazi ya kujenga...

Habari za Siasa

Mchanga wa madini waondoka na Prof. Muhongo

RAIS Rais John Magufuli ameanza kutekeleza ushauri aliopewa katika ripoti ya Kamati ya kuchunguza makontena ya mchanga wa madini yaliyokamatwa kwa kumtengua uteuzi...

Habari za Siasa

Chadema kuiteka Dodoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinategemea kupokea wageni zaidi ya 1,500 katika mji wa Dodoma ambao watahudhuria vikao vya kamati kuu na...

Elimu

Taasisi ya kusimamia ubora wa elimu yatakiwa

MBUNGE wa Urambo, Magreth Sitta (CCM), ameihoji serikali ni kwanini haioni umuhimu wa kuunda taasisi ya kusimamia ubora wa elimu nchini, anaandika Dany...

Habari za Siasa

Halima Mdee adai haki ya wanawake kumiliki ardhi

MBUNGE wa Kawe Halima Mdee (Chadema) ameitaka serikali ieleze ni lini sheria kandamizi kwa akina mama zitaondolewa hasa katika upande wa umilikaji na...

Habari Mchanganyiko

Wananchi Mvomelo walia kuporwa ardhi

WANANCHI wa vijiji vya Kunke na Mlumbilo, Mvomero mkoani Morogoro wameiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi uliopo baina yao na Uongozi wa...

Habari za SiasaTangulizi

CCM Mwanza watifuana, maslahi binafsi yatajwa

VIONGOZI wakubwa wa Jiji la Mwanza, James Bwire, Meya wa jiji hilo kwa tiketi ya CCM na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mapigano ya wakulima, wafugaji yamchosha Kikwete

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (CCM) ameitaka serikali kueleza namna ilivyojipanga kupambana na janga la mapigano baina ya wakulima na wafugaji, anaandika Dany...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuhakikisha maji yanapatikana nchi nzima

SERIKALI imesema kuwa inaendelea kutekeleza miradi ya maji nchini ikiwa ni pamoja na mijini na vijiji, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa jana...

Habari Mchanganyiko

Mil 160 zakatika kwenye uvuvi haramu

MBUNGE wa Viti Maalum, Fakharia Shomari Khamis (CCM) ameihoji serikali namna ilivyojipanga katika kuzuia uvuvi haramu nchini, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali bungeni...

Habari za SiasaTangulizi

Matajiri Dodoma watangaziwa vita

MKURUGENZI wa Manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi amewatangazia vita matajiri wakubwa waliopora na kujilimbikizia viwanja bila kuviendeleza kwa wakati, anaandika Dany Tibason. Kunambi amesema...

Habari Mchanganyiko

Mradi wa maji Ngudu wakamilika

SERIKALI imetekeleza mradi wa majisafi kutoka Ziwa Victoria kwenda katika mji wa Ngudu na vijiji vilivyopo kando kando ya bomba linalopeleka maji katika...

Elimu

Serikali wahimiza shule kujengwa, wagoma kusajili

MBUNGE wa Igalula Musa Ntimizi (CCM) ameihoji serikali sababu ya kutozisajili shule shikizi zilizojengwa karibu na makazi ya wananchi, anaandika Dany Tibason. Akiuliza...

Afya

Serikali yasisitiza wajawazito kutibiwa bure

SERIKALI imesisitiza kuwa sera ya Afya ya mwaka 2007 inaeleza kuwa huduma za kina mama wajawazito katika vituo vya ngazi zote zinatakiwa kutolewa...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara wapigiwa debe bungeni

MBUNGE wa Viti Maalum, Jesca Kishoa (Chadema) amehoji ni kwanini serikali haioni haja ya kuwasaidia wafanyabiashara kwa kuwapa riba yenye mikopo nafuu ili...

Habari Mchanganyiko

Viatirifu feki lita 14,600 vyakamatwa

SERIKALI imekiri kuwepo changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uingizwaji wa dawa za mifugo na kilimo ambazo hazikidhi viwango, anaandika Dany Tibason. Mbali...

Habari Mchanganyiko

Michango ya Mwenge yatinga bungeni

MBUNGE wa Viti Maalum, Rhoda Kunchela (Chadema) ameomba mwongozo wa kutaka Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge kuharisha shughuli za bunge kwa lengo la...

Habari za SiasaTangulizi

Mkurugenzi Mwanza matatani kutoa zabuni ‘kinyemera’

KIOMONI Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, ameingia katika mvutano na madiwani wa halmashauri ya jiji hilo baada ya kujenga chini ya kiwango...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi waua majambazi watatu

WATU watatu wanaozaniwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza wakati walipokaidi amri ya Polisi ya kujisalimisha eneo...

Habari Mchanganyiko

Tani 100,000 za Kahawa kuzalishwa nchini

BODI ya kahawa Tanzania inakusudia kuongeza uzalishaji kutoka tani 80,000 za mwaka 2017 hadi kufikia tani 100,000 mwaka 2021, anaandika Christina Haule. Hayo...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Serikali inaua viwanda vya ndani

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameitaka serikali kusimamia ipasavyo sekta ya viwanda ili kuhakikisha kinachozalishwa nchini kinakuwa na maana kwa faida ya...

Elimu

Walimu wa Sayansi, Hisabati tatizo

UPO upungufu wa walimu 24,716 wa masomo ya Sayansi na Hisabati nchini, ametangaza Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Stella Manyanya, wakati akijibu...

AfyaHabari Mchanganyiko

Tanzania yanufaika na madaktari wa Cuba

MBUNGE wa Gando, Othman Omar Haji (CUF) ameihoji serikali kueleza namna Tanzania ilivyofaidika na utekelezaji wa mkataba wa ushirikiano baina yake na Serikali ya...

ElimuHabari Mchanganyiko

Majanga ya moto mashuleni yakithiri

SERIKALI imekiri kukithiri kwa majanga ya moto mashuleni na kusababisha uharibifu mkubwa wa majengo, anaandika Dany Tibason. Akijibu swali bungeni leo, Naibu Waziri...

Habari Mchanganyiko

TFDA yafunga machinjio Kongwa

MAMLAKA ya udhibiti chakula vipodozi na dawa TFDA imefungia machinjio ya ng’ombe ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kuendelea na huduma ya uchinjaji...

Afya

Vifo vya wajawazito tishio Moro

VIFO vya wajawazito vimeonekana kuongezeka mkoani Morogoro hadi kufikia vifo 83 mwaka 2016 dhidi ya 68 vilivyotokea mwaka 2015 kutokana na kutokuwepo na mchakato...

Habari Mchanganyiko

Mwambe kumrithi Kairuki TIC

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania leo amefanya uteuzi mpya Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), anaandika Hamisi...

Habari za SiasaTangulizi

Agizo la Magufuli lawatafuna wafungwa Moro

AGIZO la Rais John  Magufuli kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukata umeme popote hata katika taasisi ya serikali imesababisha Magereza 14 katika...

Habari Mchanganyiko

Malima aachiwa huru

MAHAKAMA ya Mkazi Kisutu imemuachia huru Naibu Waziri wa Fedha wa awamu ya nne, Adam Malima leo kwa dhamana ya shilingi milioni tano,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mapya yaibuka mauaji ya jambazi

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Taasisi za Kiislam Tanzania ameibuka na kumtetea anayeitwa jambazi aliyeuwawa katika tukio la uvamizi wa ATM, kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wadai bima ya maisha

WABUNGE wameshangazwa kitendo cha ofisi ya bunge kupitia Jumuiya ya Madola (CPA) kushindwa kuwakatia bima ya maisha wabunge ambao wanamaliza muda wao kama...

error: Content is protected !!