
Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
SIMON Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) ameanza na kuwachimba mkwara mzito watu wanaoendesha mauaji ya viongozi wa serikali, chama na askari Mkuranga, Ikwiriri na Rufiji, anaandika Hamisi Mguta.
Ameyasema hayo na kuwahakikishia wananchi kwamba watu hao siku zao zinahesabika ikiwa ni mara yake ya kwanza kuzungumza tangu kukabidhiwa cheo cha IGP ambacho awali kilikuwa chini ya Ernest Mangu na kuwahakikishia wananchi kwamba siku zao zinahesabika.
Tazama video zaidi alichokizungumza hapa chini…
More Stories
Dk. Mpango azitaka mamlaka maliasili utalii kukomesha urasimu vibali
TANESCO yaghairi matengenezo mfumo wa LUKU
Morogoro yapokea bilioni 111 miradi ya maendeleo