Sunday , 19 May 2024

Month: December 2017

Habari Mchanganyiko

TRA kuchunguza kipato cha Askofu Kakobe

BAADA  ya kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Askofu Zacharia Kakobe kudai ana fedha nyingi kuliko Serikali, Mamlaka ya Mapato Tanzania...

Habari za Siasa

Mdogo wa Lissu: Bunge limembagua Tundu

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linadaiwa kumbagua Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kilichodaiwa ni kutokana na Spika wa bunge...

Habari za Siasa

Mkwara wa Magufuli wapandisha joto la Wabunge

VIONGOZI mbalimbali wa umma wakiwamo Wabunge leo wamemiminika katika ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuwasilisha tamko kuhusu rasilimali na...

Makala & Uchambuzi

Kwa hili serikali kuweni wapole

TAASISI za dini ni miongoni mwa wadau wakubwa wanaochangia kuwapo na kuendelea kustawisha amani ya nchi yetu ya Tanzania. Anaripoti Richard Makore …...

Habari za Siasa

Askofu mwingine amvaa Rais Magufuli

MTU na atuhesabu hivi, kwamba sisi ni watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu. Kumekuwa na tabia ya kushambulia watumishi wa...

Habari za Siasa

NEC yainusuru Chadema na mpasuko

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), hatimaye imeridhia takwa la mgombea ubunge wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), katika jimbo la Singida...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli amtolea nje Mkapa

JOHN Pombe Magufuli, mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), “amegoma” kutekeleza ushauri wa rais mstaafu, Benjamin Mkapa, MwanaHALISI Online limeelezwa…(endelea). Taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

CCM ‘yachotewa’ na serikali Sh. 1.7 bilioni

MFUKO Mkuu wa Serikali (HAZINA), umetikishwa baada ya kuchotwa mabilioni ya shilingi na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea)....

Habari za Siasa

Prof. Lipumba apata pigo jingine

MAHAKAMA ya Rufaa nchini imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na wafuasi wa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na msajili wa vyama vya...

Habari Mchanganyiko

Meya Londa ajisalimisha Urafiki

ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Alhaji Salum Salehe Londa, amelipa deni la pango ya nyumba, analodaiwa na kiwanda cha Nguo cha Urafiki,...

Habari za SiasaTangulizi

Hivi ndivyo kampuni ya Airtel ilivyopigwa

RAIS John Magufuli amepinga wizi ulifanyika dhidi ya TTCL kwa kuinyanganya kampuni yake tanzu ya Airtel na kumtaka Waziri wa Fedha, Philip Mpango...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaelemewa na mzigo wa wafanyakazi hewa, yanusurika kupigwa Sh. 11.1 bil

SAKATA la watumishi hewa, sasa limeingiza serikali kwenye mzigo mkubwa wa malimbikizo ya mishahara, MwanaHALISI Online linaripoti. Taarifa kutoka wizara ya fedha na...

Habari Mchanganyiko

Shirika la Posta labadili nembo yake

SHIRIKA la Posta Tanzania, limezindua nembo mpya ya shirika hilo baada ya ile ya zamani kukaa zaidi ya miaka 24 hadi kufika leo,...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wainua mikono kupigwa risasi Lissu

JESHI  la Polisi limefunga mwaka huku likishindwa kutoa majibu kuhusu watu waliohusika kumpiga risasi zaidi ya 38, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu...

Habari za Siasa

Kubenea kutoa mil 14 kujenga daraja Mabibo

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea ameahidi kutoa Sh. 14 milioni kwa ajili ya kujenga kivuko kilichoosombwa na mafuriko kilichopo Mabibo Sahara. Anaripoti Hamisi...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kimei akataa kung’ang’ania madaraka

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei amesema hatoongeza muda wa kuiongoza taasisi hiyo baada ya mkataba wake kukamilika Mei, 2019,...

Habari za Siasa

Mbunge akataliwa kusajili shule

MBUNGE wa jimbo la Itilima, Njalu Silanga (CCM) amekataliwa kupewa usajili wa shule  ya msingi Njalu iliyopo wilayani Itilima Mkoani Simiyu kwa sababu...

Habari za Siasa

Profesa Lipumba apata pigo la kufunga mwaka

CHAMA cha Wananchi (CUF), upande unaongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba kimepata pigo kubwa baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kupiga marufuku bodi yake...

Habari Mchanganyiko

Sumatra yatangaza vita kwa wamiliki mabasi

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), limetoa wito kwa abiria waendao mikoani kipindi hiki cha sikukuu...

Habari za Siasa

Aliyekuwa bosi wa UVCCM apata dhamana

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia kwa dhamana aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis (Mbunge) anayekabiliwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema Singida, wamgeuka Mbowe, wasimamisha mgombea

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Singida, kimemgeuka mwenyekiti wao wa taifa, Freeman Mbowe na kuamua kushiriki uchaguzi mdogo wa ubunge katika...

Afya

Uhaba wa vitanda watesa wachangia damu

MPANGO wa Damu Salama, unakabiliwa na uhaba wa vitanda kwa vinavyotumiwa na watu wanaofika hapo kwa ajili ya kuchangia damu kwa hiari, anaandika...

Habari za Siasa

Rais Magufuli awashangaa wabunge wa upinzani wanaohamia CCM

HUKU vikao cha Chama cha Mapinduzi (CCM) vikiendelea, Mwenyekiti wa chama hicho, John Magufuli, ameoneshwa kushtuka kwa wimbi la wapinzani wanaotoka katika vyama...

Habari Mchanganyiko

Sheikh Ponda aibwaga tena Serikali, aachiwa huru

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda, anaandika Faki Sosi. Katika rufaa hiyo Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli amwangukia Kinana

JOHN Pombe Magufuli, mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemuomba katibu mkuu wa chama hicho, Abdulrahaman Kinana, kuendelea na wadhifa huo....

Habari za SiasaTangulizi

Jussa amsuta Kikwete hadharani

ALIYEKUWA Rais wa Jamhuri, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, “amesutwa” hadharani kuwa ndiye chanzo kikuu cha kuwapo mkwamo wa kisiasa, Visiwani Zanzibar. Anaandika Saed...

Afya

Vyeti Feki vyafagia wafanyakazi TUGHE

CHAMA cha wafanyanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) kimepoteza zaidi ya wanachama 9,000 kufuatia hatua ya kuwaondoa watumishi wenye vyeti feki na walioajiliwa...

Habari za SiasaMakala & UchambuziTangulizi

Katiba murua Zbar yaikwamisha CCM

BARAZA la Wawakilishi la Zanzibar limwepitisha muswada wa sheria wa kurekebisha vifungu vya Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar pasina mabadiliko ya msingi yanayohusu...

Habari za SiasaTangulizi

Utabiri wa MwanaHALISI, watimia, Mbunge wa Chadema ang’oka

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, Dk. Godwin Mollel, amekihama chama hicho. Anaripoti Pendo Omary…(endelea). Dk. Mollel alitangaza kujivua uanachama...

Habari Mchanganyiko

Hukumu kesi ya ‘Scorpion’ kusomwa mwakani

HUKUMU ya kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu...

Kimataifa

Rais Msumbiji amuiga Magufuli

FILIPE Nyusi, Rais wa Msumbiji amewafukuza kazi mawaziri wanne, akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Nishati, anaandika Mwandishi wetu. Kwa...

Habari za Siasa

Nyufa Hostel za Magufuli zaanza kurekebishwa

SIKU chache baada ya kusambaa kwa picha zilizoonesha nyufa katika kuta za majengo ya mabweni ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),...

Habari za Siasa

UVCCM wamkera Msigwa

MBUNGE wa Iringa Mjini Peter Msigwa ameshangazwa na kibwagizo kilichokuwa kikitumiwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha kusema upinzani unakufa, kwenye...

Habari za Siasa

NEC wawapotezea Chadema uchaguzi wa marudio

MKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhani amesema chama cha siasa kutangaza kugomea uchaguzi hakuwezi kuifanya Tume iuahirishe...

Habari Mchanganyiko

Wataafu TRL walilia mafao yao

WAFANYAKAZI wastaafu zaidi ya 100 wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kuanzia mwaka 2012 hadi  2017 wamemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati kitendo...

Habari MchanganyikoTangulizi

JPM uso kwa uso na walimu

RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa ngeni rasimi katika mkutano Mkuu wa kwanza wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) Desemba 14 mwaka huu., anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Ukawa watangaza vita na NEC uchaguzi wabunge

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuahirisha uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Januari 13, 2018...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenyekiti UVCCM arudishwa rumande

BAADA ya kukamatwa, Sadifa Khamis ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa leo amefikishwa mahakamani Dodoma kwa tuhuma za kugawa rushwa, anaandika Hamis Mguta....

Habari za Siasa

UVCCM wamkera Rais Magufuli kwa rushwa

LICHA ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kujipambanua kuwa kinapambana na vitendo vya rushwa na ufisadi, bado baadhi ya  jumuiya ndani ya chama hicho ziimeonekana kukumbwa...

Habari Mchanganyiko

Ripoti ya Tume ya Waziri Mkuu mgogoro wa Loliondo hii hapa, Prof. Magembe akaangwa

TUME iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa kuchunguza mgogoro wa ardhi uliodumu zaidi ya miaka 26 katika vijiji vinavyopakana na hifadhi ya taifa...

Habari Mchanganyiko

Kupotea kwa Mwandishi wahabari, THRDC yatua Kibiti

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na wadau wengine wameunda kamati ndogo ya uchunguzi na kuituma Kibiti kuthibitsha...

Habari za Siasa

Sakata la Babu Seya: Tujikumbushe matusi ya CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana tarehe 29 Agosti 2015, kimezindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. Katika...

Habari za SiasaTangulizi

Kiki ya Babu Seya haimwachi salama Rais Magufuli

Mheshimiwa Edward Lowassa aliposema kuwa angemtoa Babu Seya, CCM walimdhihaki wakisema, “atamtoaje mbakaji?” Anaandika Ansbert Ngurumo … (endelea). Leo Rais Magufuli amemtoa Babu...

Habari za Siasa

Kubenea: Nitawasaka wanaonichafua

MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amekana madai kuwa anataka kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Faki Sosi…...

Habari Mchanganyiko

Kiama cha madalali na wenye nyumba chaja

KIAMA cha madalali wa kupangisha nyumba na wamiliki wa nyumba za kupangisha kinakuja baada ya serikali kukusudia kupeleka mswada wa sheria bungeni wa...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani wazidi kubomoka, Mbunge wa CUF arudi CCM

MAULID Mtulia, Mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF amejiuzulu uanachama na ubunge kupitia chama hicho kwa madai kuunga mkono...

Habari za SiasaTangulizi

‘Vita nyingine’ ya uchaguzi mdogo yaja

KIPYENGA cha uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo matatu ya Tanzania Bara na kata sita, kimepulizwa rasmi, imefahamika, anaandika Faki Sosi. Makamu Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Nassari ‘ashambuliwa’ kwa risasi

MAKUMI ya watu wenye silaha, jana usiku wakiwa na bunduki na risasi za moto, walivamia nyumbani kwa mbunge wa Chadema katika jimbo la...

Habari Mchanganyiko

Jeshi ladaiwa kutembeza kipigo uraiani

WATU waliovalia mavazi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamevamia kijiji cha Kisemvule, wilayani Mkuranga, mkoani Pwani na kuwashambulia wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

TAKUKURU wamnasa Diallo

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imemtia mbaroni, Anthony Mwandu Diallo, ikimtuhumu kugawa mrungula katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu wa...

error: Content is protected !!