Wednesday , 1 May 2024

Month: October 2023

Michezo

Meridianbet yarudisha faida kwa jamii yake tena, watoa vifaa vya michezo

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamerudisha kwa jamii yaoinayowazunguka tena, Kwani kampuni hiyo imeenda kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwa...

Habari Mchanganyiko

Wananchi Ileje wamuangukia DC adha ya maji

WANANCHI wa Kijiji cha Ishenta Kata ya Ndola katika halmashauri ya wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe wamelalamikia kukosekana kwa maji safi na...

Habari za Siasa

Rais Samia: Demokrasia ya Tanzania imewavuta wajerumani

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan,amesema kuimarika kwa demorasia, utawala wa sheria na haki za binadamu, kumewavutia wawekezaji kutoka Ujerumani kuja kuwekeza...

Habari za SiasaTangulizi

Ujerumani kuwalipa fidia wahanga wa ukoloni Tanzania, kurejesha mabaki

RAIS wa Shirikisho la Ujerumani, Dk. Frank Walter Steinmeier, ameahidi kufanya mazungumzo na watu walioathiriwa na ukoloni uliofanywa na taifa hilo, juu ya...

Biashara

Hizi hapa njia ya kushinda sloti ya Crayz Time ya kasino ya mtandaoni

  HAYAWI hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za mitandaoni – Evolution...

MichezoTangulizi

Messi ashinda Ballon d’Or ya 8, Man City klabu bora duniani

HAFLA ya 67 ya Ballon d’Or ilifanyika usiku wa Jumatatu tarehe 30 Oktoba 2023 kwenye ukumbi wa Théâtre du Châtelet jijini Paris, Ufaransa...

Biashara

NMB yapata faida kabla ya kodi ya bilioni 569 robo ya tatu ya 2023

Benki ya NMB imetangaza kupata matokeo imara ya kifedha katika kipindi kilichoishia tarehe 30 Septemba mwaka 2023, ambapo faida kabla ya kodi ya...

Habari Mchanganyiko

Waandishi waombwa kuwa mabalozi wazuri wa TMA

  KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk.Ladislaus Chang’a amewaomba waandishi wa habari kuendelea kuwa mabalozi wazuri wa...

Biashara

Cheza Wild Hot 40 ushinde Jackpot ya Meridianbet

  SLOTI ya Hot Wild 40 inakuja na bonasi ya mzinguko ya bure kama ukishinda, Jackpot za aina 3 huku ukiwinda ushindi wako...

Biashara

Wafugaji watupia Ma-DC zigo la migogoro hifadhini

MWENYEKITI wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT) kimesema wakuu wa wilaya wanachangia kwa sehemu migororo ya wafugaji kwa kuchochea ukamatwaji wa mifugo pindi...

Habari za SiasaTangulizi

Zungu ataja siri Spika Tulia kushinda Urais wa IPU

NAIBU Spika wa Bunge, Azzan Zungu, amesema kilichofanya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, achaguliwe kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yamkabidhi majukumu Spika Tulia kuhusu IPU

SERIKALI imemtaka Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, kutumia nafasi hiyo kuhakikisha analinda maslahi ya Tanzania katika jumuiya za...

Habari Mchanganyiko

Mkandarasi REA adaiwa kutapeli fedha wanakijiji, Tanesco waruka kimanga

WANANCHI wa kijiji cha Wasa kata ya Wasa wilayani Mbozi mkoani Songwe wamewalalamikia wakandarasi waliopewa  zabuni na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya...

Afya

RAS Songwe ashangaa ujenzi zahanati kukwama kwa miaka miaka 4

Katibu tawala mkoani Songwe, Happiness Seneda ametoa siku saba kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kupitia idara ya Afya...

Biashara

Wajasiriamali wanawake watakiwa kujitangaza kidijitali

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa amewataka wanawake na vijana nchini kutumia TEHAMA kutangaza biashara zao...

Habari za Siasa

Watanzania kumiliki hisa uwekezaji bandari Dar

WAZAWA watapewa kipaumbele kushiriki katika uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, pindi Kampuni ya DP World na Mamlaka ya Bandari nchini (TPA),...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuja na sera ya sekta ya ubunifu

SERIKALI ya Tanzania imewahakikisha wadau wa ubunifu kuwa itaharakisha mchakato wa sera zao mapema ili kuwanufaisha wabunifu na serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....

Biashara

God of Coins sloti ya kijanja inakupata ushindi zaidi ya mara 1000

  MERIDIANBET wakishirikiana na Expanse Studio wanafanya wepesi katika mwezi huu wenye mambo mengi wakikuletea Sloti mpya ya God of Coins unaokufanyaZaidi ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Shigela anadi fursa za GGML zinazoipaisha Geita katika kongamano la madini

WAKATI Kongamano la Kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2023 likifikia tamati tarehe 26 Oktoba mwaka huu, Mkuu wa mkoa wa...

Biashara

Wateja NMB kujishindia milion 35O promosheni ya MastaBata Msimu

BENKI ya NMB rasmi imezindua msimu wa tano wa promosheni yake kabambe ya MastaBata chini ya kauli mbiu ‘MastaBata Halipoi’ inayolenga kuwazawadia wateja...

Afya

Watanzania watakiwa kupima afya mara kwa mara kudhibiti saratani

INAKADIRIWA kuwa Watanzania 14,028 sawa na asilimia 33.3   kila mwaka hupata ugonjwa kwa saratani. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Kwa mujibu wa Takwimu...

Biashara

Ukitaka shangwe la ushindi cheza sloti ya FOXPOT itakupa utakacho

  HAKUNA aliyezaliwa bila bahati hata wewe una una bahati kubwa leo ya kushinda mkwanja mrefu Meridianbet Kasino ya Mtandaoni, ni sloti ya...

Habari za Siasa

Rais Ujerumani kutua nchini kesho kwa ziara ya kikazi siku 3

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 1 Novemba 2023. ...

Habari MchanganyikoMichezo

Biteko ataka mikakati kuinua wasanii nchini

Naibu Waziri Mkuu, Dk. Doto Biteko ameiagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwa na mikakati ya kuwasaidia wasanii nchini ili kupitia sanaa...

Michezo

Angalia Mancheter Derby huku ukivuna mkwanja na Meridianbet

SIKILIZA  ni hivi inawezekana wiki yako haijaenda poa usihofusehemu pekee iliyobaki kukupa tumaini ni Mancheter derbymtanange utakaopigwa pale katika dimba la Old Trafford,...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo walinda kiti Mtambwe

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimelinda kiti cha uwakilishi jimboni Mtambwe lakini kimelalamikia mbinu chafu za makada wa Chama Cha Mapinduzi zilizolenga kulazimisha...

AfyaHabari Mchanganyiko

DICOCO, SINAI wapima afya za wanachama DCPC

TAASISI inayojuhusisha na Utoaji Elimu ya Kisukari kwa Jamii (DICOCO) kwa kushirikiana na Hospitali ya SINAI wametoa huduma ya kupima kisukari, shinikizo la...

Elimu

My Legacy yagusa shule 28 Kinondoni

  MRADI unaohamasisha utunzaji wa mazingira na hedhi salama ( Wash), unaotekelezwa na Taasisi ya Urithi Wangu (My Legacy), umegusa wanafunzi katika shule...

Afya

Mikoa inayoongoza kwa mimba za utotoni yatajwa, Samia atoa neno kwa watumishi

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema licha ya vifo vitokanavyo na uzazi na vya watoto chini ya umri wa miaka mitano, kupungua,...

Afya

Rais Samia: Magari ya wagonjwa 213 mabovu, halmashauri 33 zaathirika

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema magari ya kubebea wagonjwa 213 kati ya 444 ni mabovu, huku halmashauri 33 zikiwa hazina hata...

Afya

Vituo vya afya, zahanati vyaongezeka

  IDADI ya vituo vya afya kuanzia 2017 hadi 2023, vimeongezeka kutoka 535 hadi kufikia 788, wakati zahanati zikiongezeka kutoka 4,127 hadi kufikia...

Biashara

Wanyama pori wanavyokupa ushindi katika Sloti ya Forest Rock

  MAISHA ya kale na ya sasa ni tofauti sana, zamani hakukuwa na TV wala smartphone zamani tulikua tunapata burudani kwa njia ya...

Habari Mchanganyiko

Matumizj ya risiti, stempu feki yaitikisa TRA

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania imetoa wito kwa Watanzania kujiepusha na matumizi ya risiti na stempu feki ambazo zinaikosesha serikali mapato. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

DC Dodoma ashangaa mtaa anaoishi Meya kukithiri kwa uchafu

  MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Alhaji Jabir Shekimweri ameeleza kukerwa uchafu uliokithiri katika kata ya Madukani Jijini Dodoma licha ya kuwa inaongozwa...

Elimu

Walimu 29,879 waajiriwa miaka 2 ya Rais Samia

  WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema tangu Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Serikali imeajiri jumla ya walimu 29,879 wa Shule...

Habari MchanganyikoTangulizi

Matumizj ya risiti, stempu feki yaitikisa TRA

MAMLAKA ya Mapato Tanzania imetoa wito kwa Watanzania kujiepusha na matumizi ya risiti na stempu feki ambazo zinaikosesha serikali mapato. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Biashara

Meridianbet yavujisha siri ya ushindi, watoa njia rahisi za kushinda kasino

  KASINO ya mtandaoni ya Meridianbet kila siku inakuletea sloti na michezo mingi ya kasino inayokupa nafasi ya kushinda kirahisi huku unaburudika. Sloti...

Habari za Siasa

Biteko: Watanzania wanahita kupata mafuta kwa urahisi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili shughuli za kiuchumi na...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atembelea banda la GGML kwenye maonesho ya madini, aipa tano utekelezaji CSR

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwenye maonesho ya madini kando ya Mkutano...

Makala & Uchambuzi

Local content inavyonufaisha wawekezaji wazawa katika sekta ya madini

MNYONGE mnyongeni lakini haki yake mpeni! Ni usemi unaoshabihiana na mabadiliko makubwa yaliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dk. John Magufuli katika...

Biashara

Unataka kujishindie mkwanja na Meridianbet, cheza Blackjack Live

  MOJA kati ya michezo pendwa na wengi ni Sloti ya BlackJack Live, mchezo huu unapatikana kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ambapo huu...

Habari Mchanganyiko

Chalamila awapongeza wenye viwanda nchini

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewahakikishia wafanyabiashara na wenye viwanda kuwa tatizo la kukatika kwa umeme litaisha hivi karibuni...

BiasharaMichezo

Usikubali kumaliza mwezi Oktoba bila kupitia Meridianbet, kuna zawadi yako

MWEZI Oktoba unakaribia kuisha na hii ndio Wikendi ya mwisho, hivyo kumaliza kijanja suka mkeka wako kwa dau ulitakalo na machaguo yapo ya...

Habari Mchanganyiko

Watumishi watakiwa kuwapa wananchi elimu ya madhara ya El-Nino

  WATUMISHI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, jijino Dodoma, wametakiwa kutoa elimu na maelekezo kwa wananchi juu ya namna ya kuchukua tahadhari...

Habari Mchanganyiko

RC Dodoma kuongoza jopo la watumishi kufanya usafi

  MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemerry Senyamule anatarajia kuongoza zoezi la usafi kesho tarehe 28 Oktoba 2023 utakaofanyika katika Barabara ya 7,...

Afya

MOI yaonya watumishi wanaokimbiza wateja kwenda hospitali binafsi

  TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imewataka watumishi wake kukwepa vitendo vya ukiukwaji wa maadili, ikiwemo kuwa madalali wa...

Kimataifa

Urusi yaingilia kati mgogoro wa Hamas, Israel yataka ikae pembeni

  NCHI ya Urusi, imeingilia kati mgogoro unaoendelea Palestina kwa kufanya mazungumzo na ujumbe wa kundi la wanamgambo wa kiislamu, Hamas, ili kutafuta...

Biashara

Furahia mavuno na Bounty Hunter kasino ya mtandaoni ya Meridianbet

  CHUKULIA upo kwenye msitu mkubwa wenye wanyamapori na utajiri wa madini kama dhahabu, kisha unapewa nafasi ya kuchagua kimoja kati ya dhahabu...

Habari za Siasa

UWT yavimba na wabunge wa Viti Maalum

  JOKATE Mwegelo, katibu mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), amewataka wabunge wa viti maalumu kufanya mikutano ya hadhara,...

Habari za SiasaTangulizi

Makamu Othman: Hatutaki uongozi fisadi, wa uongo

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema uchaguzi mdogo wa uwakilishi jimboni Mtambwe, unaooigwa kesho, ni alama...

error: Content is protected !!