Wednesday , 22 May 2024

Month: October 2023

Habari Mchanganyiko

Mchango wa wachimbaji wadogo wafikia  asilimia 40 

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema kutoka na serikali kuweka mazingira mazuri kwenye sekta ya madini, mchango wa wachimbaji wadogo umeweza kufikia asilimia...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenyekiti CCM Arusha afariki dunia, Chongolo, Silaa wamlilia

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Zelote Stephen amefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za Siasa

Dk. Biteko ataka sekta ya uvuvi iwe nyenzo ya kuondoa umaskini nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza watendaji wa Sekta ya Uvuvi nchini kuifanya Sekta hiyo kuwa nyenzo...

Habari za Siasa

GGML yanyakua tuzo 2 Usiku wa Madini, Waziri Malawi atoa ujumbe

JITIHADA za Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika kuzingatia uwajibikaji wake kwa jamii pamoja na kuzingatia masuala ya usalama kazini, zimeendelea...

Michezo

Maliza Alhamisi yako kijanja na Ligi ya Konferensi

LIGI ya Konferensi inatarajiwa kupigwa leo hii kwa michezo kibao ambapo michezo hiyo itaanza saa 1:45. Hivyo kama unahitaji kujilusanyia maokoto leo ndio...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas

  RAIA wawili wa Tanzania na mmoja wa Afrika Kusini, ni miongoni mwa mateka 224, wanaoshikiliwa na wanamgambo wa Hamas, baada ya mashambulizi...

Biashara

Fanya yafuatayo unapocheza kasino ya Zombie Apocalypse

  UNAICHEZA ndivyo utamu unavyozidi kuwa mwingi, mchezo mzuri na wenye mandhari ya sinema za Mazombie unakupa uhuru wa kujitafuta mara tu unapouanza...

Habari MchanganyikoMichezo

Usiku wa Madini waupamba mkutano TMIF, Miss Tanzania 2023 awa kivutio

Waziri wa Madini nchini Malawi, Monica Chang’anamuno amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi na mikakati ...

Michezo

Usikubali Ligi ya Europa ikupite bila faida, piga mkwanja na Meridianbet

BAADA ya kutazama michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya siku ya Jumanne na Jumatano sasa ni zamu ya usiku wa Ligi ya Uefa Europa...

Habari za Siasa

He Ping kufanya ziara Tanzania

MWENYEKITI wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Baraza la Mashauriano la Kisiasa la Watu wa China  (CPPC), He Ping kesho atakuja nchini...

Habari Mchanganyiko

TCRA yahamasisha usalama mtandaoni, upatikanaji leseni kidijitali

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea kutoa elimu kwa umma na kuhamasisha juu ya usalama mtandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Akizungumza na waandishi...

Biashara

Biteko aipongeza GGML kwa kuwezesha kongamano TMIF, awaita wawekezaji

NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje kuja nchini kuwekeza katika sekta ya madini kutokana na...

Biashara

NMB yawezesha wakulima Tabora kulipwa fidia kwa wakati

BENKI ya NMB imesaidia wakulima wa tumbaku zaidi ya 400 mkoani Tabora kulipwa kwa wakati fidia ya hasara waliyopata baada ya mashamba yao...

Biashara

STAMICO yanadi fursa za uwekezaji madini katika kongamano la TMIF

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa, (STAMICO) Dk. Venance Mwasse ametoa wito kwa wawekezaji kutoka ndani ya nje ya nchi kuja...

Biashara

Biteko: Mazingira uwekezaji sekta ya madini njia nyeupe

NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza zaidi Tanzania katika shughuli za utafutaji, uchimbaji, uchenjuaji, uongezaji thamani na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Migodi 350 yaunganishwa na umeme wa gridi ya Taifa

Naibu Wazirj Mkuu, Dk. Doto Biteko amesema migodi zaidi ya 350 ya wachimbaji wadogo imeunganishwa na umeme wa gridi ya Taifa na hivyo...

Biashara

Chimbo la utajiri lipo Meridianbet kwenye sloti ya Book of Egypt  

  KILA wakati Meridianbet wanajaribu sana kutengeneza njia rahisi kwa wateja wao kuendela kupiga mishindo ya hela kila mara, sasa wamekuja na mchezo...

Biashara

Starlight Princess kumwaga mamilioni ndani Meridianbet

MICHEZO ya Kasino mitandaoni ndio imekua kivutiokikubwa kwa wateja na Meridianbet wanakuletea mchezohuu wa kasino ambao utamuwezesha mteja kujishindiamamilioni ya Pesa. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Mchengerwa ataka mshindani mpya huduma za mabasi ya mwendokasi Dar

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa ameelekeza Uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka...

Habari za Siasa

Mbowe aikumbuka UKAWA kuelekea chaguzi zijazo

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema ushindi wa vyama vya upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, ulitokana na...

BiasharaMichezo

Real Madrid, Napoli, Arsenal, Man United, Bayern wanataka kukupa pesa

  BETI na Meridianbet mechi zako za ushindi hii leo zikiwa tayari zimewekwa kwa kuzingatia ubora wa timu, ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya...

Biashara

Ukitaka ushindi usibabaike cheza kasino ya mtandaoni yenye Sloti ya Dream Catcher

  HUENDA usiamini kama ni kweli lakini ni kweli na uhalisia wa Maisha, huwezi amini kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuletea Sloti...

Habari za SiasaTangulizi

Mjane wa Mrema aonja urithi, utata wa ndoa wamalizwa

Mahakama Kuu ya Tanzania Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke kimetoa uamuzi juu ya urithi wa mali za marehemu Augustino Lyatonga Mrema ambapo...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aipigia debe bandari Dar kwa wafanyabiashara Zambia, awapa hekta 20

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyabiashara wa Zambia, kuitumia Bandari ya Dar es Salaam, kwa kuwa sasa inafanyiwa maboresho ili...

Habari za Siasa

Rais Samia aweka shada kaburi la Dk. Kaunda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameungana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, kuweka mashada ya maua kwenye Mnara...

Habari za SiasaTangulizi

Uamuzi kesi ya akina Mdee Disemba 14

MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imepanga tarehe 14 Disemba 2023 kutoa uamuzi wa kesi iliyofunguliwa na wabunge viti Maalum 19...

Biashara

Utajiri leo hii upo Meridianbet bashiri sasa

LEO hii ligi mbalimbali zinaendelea ambapo tayari Meridianbet wamekuhakikishia mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi hizo kwa usahihi kwani hapa kuna kila ambacho...

Biashara

Wafanyabiashara waliowezeshwa na NBC kwenda China warejea nchini

BAADHI ya wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali nchini waliopata fursa ya kwenda nchini China ili kushiriki  Maonyesho ya Uagizaji na Uuzaji wa bidhaa za...

Habari za Siasa

Rais Samia ataka mahakama za Afrika zijipange utatuzi migogoro soko huru

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amezitaka mahakama za nchi za Afrika zijipange kutatua migogoro itakayojitokeza katika eneo la biashara huru barani humo, huku...

Habari za Siasa

UN kuadhimisha miaka 78 ya kuanzishwa kwake

Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania unatarajia kuadhimisha miaka 78 tangu ilipoanzishwa mwaka 1945.  Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea) Akizungumza na waandishi wa Habari...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda awagawa Watanzania, Karume aishangaa CCM

UTEUZI wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika nafasi ya ukatibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Biashara

Maliza matatizo yako ya kifedha kwa kucheza sloti ya Pirates Power

  MERIDIANBET kasino ya mtandaoni imepanga kukutajirisha Zaidi msimu huu wa kiangazi wakati ligi nyingi zikiwa zimeisha, endelea kupiga mtonyo kwa kucheza kasino...

Habari Mchanganyiko

Baba wa Mtanzania: Sina mawasiliano na mwanangu aliyepo Israel tangu washambuliwe na Hamas

“Mara ya mwisho nimewasiliana na mwanangu ilikuwa ni tarehe 5 Oktoba 2023, isipokuwa mara ya mwisho nilimuona ‘online’ tarehe 7 Oktoba saa 4:03...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 60 kujenga barabara ya Isongole – Kasumulu

SERIKARI imetenga zaidi ya Sh 50 bilioni kujenga barabara kutoka Isongole wilayani Ileje mkoani Songwe hadi Kasumulu wilayani Kyela mkoani Mbeya yenye urefu...

Habari za Siasa

Mchungaji ataka haki itendeke chaguzi 2024, 2025

MCHUNGAJI kiongozi wa kanisa la Tanzania Assembles of God (TAG) URCC lililopo Aread D Jijini Dodoma, Salum Vangast ametoa wito kwa mamlaka zote...

Habari za Siasa

Watanzania waishio Zambia wamsubiri Rais Samia wakiwa na mzigo wa changamoto

WATANZANIA waishio  Zambia, wameandaa utaratibu wa kumpokea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, anayetarajiwa kuwasili nchini humo mchana wa leo tarehe 23 Oktoba 2023,...

Habari Mchanganyiko

Wananchi waiangukia serikali daraja mto Mpemba

WANANCHI wa mitaa iliyopo Kata ya Mpemba halmashauri ya Mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kupitia halmashauri ya mji huo kuwajengea...

Biashara

NMB Foundation, Save the Children kushirikiana kuboresha maisha

ASASI ya NMB Foundation na Shirika la Save the Children International zimeunganisha nguvu kusaidia kuboresha maisha nchini kwa kuingia makubaliano ya kushirikiana kuchangia...

Afya

NMB yatoa vifaa vya kuezekea kwa zahanati ya polisi Mtwara

BENKI ya NMB Kanda ya kusini imetoa vifaa vya kuezekea katika zahanati ya polisi iliyopo mkoani hapa vyenye thamani ya Sh17 milioni. Anaripoti...

Elimu

St Mary’s yaahidi kuendelea kuwa juu kitaaluma

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeahidi kuiunganisha shule ya St Mary’s Mbezi Beach na Maktaba Kuu ya Taifa ili wanafunzi wa shule...

Biashara

Meridianbet yawakaribisha wadau kwenye familia ya kibingwa wafurahie sloti Bursting Slot 5

KASINO ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezeasloti ya kijanja ya Bursting Hot 5 kiganjani mwakosasa! Bursting Hot 5 ni mchezo unaotumia matundakama zile sloti...

BiasharaMichezo

Wakali wa muziki kutoka Tanzania, Kenya, na Uganda wakutananishwa kwenye jukwaa moja

  KWA mara yakwanza nchini Tanzania, Serengeti Lite Oktobafest ilileta pamoja vipaji vya muziki na ubunifu wa hali yajuu wa Afrika Mashariki katika...

BiasharaTangulizi

TPA: TRA itakusanya trilioni 26.7 bandarini

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema kwa kawaida Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hukusanya tozo...

BiasharaTangulizi

TZ kupata 60% ya mapato DP World

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema katika mikataba hiyo mitatu, serikali itakuwa inapata ada na tozo...

Habari za SiasaTangulizi

Mikataba 3 DP World yasainiwa, haihusu bandari zote

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema katika kutekeleza mkakati wa Serikali wa kuimarisha shughuli za bandari Dar es Salaam,...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda amrithi Mjema uenezi CCM

HATIMAYE aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Katibu wa...

Biashara

Unataka ukusanye mpunga wa maana, suka mkeka wako na Meridianbet

KAMA unataka kukusanya maokoto leo hii nenda pale Meridianbet suka jamvi lako vizuri kabisa kisha weka dau lako usubiri maokoto ya maana hapo...

Habari za SiasaTangulizi

Mjema ‘out’ CCM, Makonda atajwa

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Sophia alikuwa...

Elimu

Vipaji St Mary’s  vyawashangaza wazazi

SHULE ya Msingi na Sekondari St. Marys Mbezi Beach imesema imejenga viwanja vya michezo shuleni hapo kama moja ya njia ya kuhamasisha michezo...

Biashara

Meridianbet yawafikia wakazi wa Tabata Kisiwani

  HAYAWI hayawi sasa hatimae yamekua na hiyo ni baada yakampuni ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet kufikamaeneo ya Tabata Visiwani na kugawa vifaa...

error: Content is protected !!