Tuesday , 21 May 2024

Month: October 2023

Biashara

Wafanyabiashara Kariakoo waiangukia Serikali

WAFANYABIASHARA waliopoteza mali zao katika ajali ya moto iliyotokea kwenye Soko la Kariakoo, maeneo ya Mnadani, wameiomba Serikali iwasaidie ili waweze kupata mitaji....

Habari za SiasaTangulizi

Serikali kupokea ndege ya 14 ya ATCL, safari kuongezeka

  SERIKALI ya Tanzania, kesho tarehe 3 Oktoba 2023, inatarajia kupokea ndege mpya ya masafa ya kati aina ya Boeng 737-9, ya Kampuni...

Michezo

Taswa wampongeza Mobhare Matinyi

  CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Mobhare Matinyi kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari...

Habari Mchanganyiko

Safari ya km 1,500 ya Twende Butiama yaanza Dar kumalizika Butiama

KUELEKEA Kumbukumbu ya kumuenzi baba wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alifariki Oktoba 14, 1999, msafara wa waendesha baiskeli unaojulikana...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mobhare Matinyi Msemaji mpya wa Serikali

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mobhare Matinyi, kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na...

error: Content is protected !!