Tuesday , 30 April 2024

Month: March 2017

Habari za Siasa

Mahakama Kuu yazuia ruzuku ya CUF

MAHAKAMA Kuu, Masijala ya Dar es Salaam imemzuia Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kutoa fedha za ruzuku ya Chama cha...

Habari za SiasaTangulizi

Lijualikali: Nimepata mateso makali Ukonga

PETER Lijualikali, Mbunge wa Kilombero, (Chadema) amesema akiwa mfugwa kwa yake kwa siku 79 katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam, aliteswa...

Habari za SiasaTangulizi

Lijualikali arudi uraiani, Sumaye ampokea

FREDERICK Sumaye, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, ameongoza viongozi wa Chadema waliofika kwenye gereza la Ukonga kumtoa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali,...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama Kuu yamtoa Lijualikali gerezani

PETER Lijualikali (30), Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yupo huru. Amevuka vinzingiti dhidi ya haki. Ameshinda...

Habari za Siasa

Kimbisa, Maghembe kuwania ubunge wa Afrika Mashariki

CHAMA Cha Mapinzuzi CCM leo kimeteua wanachama 12 wa Tanzania Bara na Visiwani watakaoomba ridhaa kwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Mwakyembe amgwaya Makonda, aitupa ripoti ya Nape

HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ana mambo mengi ya kufanya kwa sasa, lakini siyo ripoti ya mtangulizi wake, Nape...

Habari Mchanganyiko

Bunge yaitaka TASAF kuongeza kwenye ajira

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za Mitaa, Mwanne Nchemba ameushauri Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)...

Habari za SiasaTangulizi

Mashirika ya kimataifa yawalaani Magufuli, Makonda

WADAU wa habari, mashirika ya haki za binadamu na asasi za kiraia zinazojihusisha na utawala wa kidemokrasia katika nchi mbalimbali duniani, zimetoa kauli...

Habari za SiasaMichezoTangulizi

Rais Magufuli amtaka Ney wa Mitego aboreshe ‘Wapo’

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ameliagiza Jeshi la Polisi kumwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ huku...

Habari za SiasaMichezo

Mashabiki wa soka wamliza Nape

UPENDO ambao mashabiki wa mpira wa miguu waliuonesha jana kwa Nape Nnauye, aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo ulimliza kiongozi huyo, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kujiuzulu siasa 2020 Magufuli akishinda

FREEMAN Aikaeli Mbowe, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni miongoni mwa waasisi wa chama hicho amesema atajiuzulu kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Nape latikisa

SAKATA la Nape Nnauye, aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kutishiwa kwa bastola na askari asiyevalia sare, limeibua mshituko kwa umma...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awaonya wanahabari, asema hawana uhuru

RAIS John Magufuli leo amewaonya waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari kwa namna wanavyofanya kazi yao. “Be careful, watch it. Sasa mnafikiri...

Habari za SiasaTangulizi

Nape: Nitasema ukweli daima

ALIYEKUA Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Mnauye amesema ataendelea kusimamia ukweli daima kwa kila anachokiamini, anaandika Hamisi Mguta. Nape ameyasema...

Habari za Siasa

Wanasiasa, wadau wamtia moyo Nape

WANANCHI na wadau mbalimbali wametoa maoni juu ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa Nape Nnauye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amkomoa Nape, kisa kamgusa Makonda

CHINI saa 24 tangu Nape Nnauye atoe ahadi ya “kumshughulikia” Paul Makonda amekomolewa yeye, anaandika Hamisi Mguta. Nape katika nafasi ya uwaziri wa...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda alitishia kuwafunga jela Clouds

KAMATI ya Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya kuchunguza uvamizi uliofanywa kwa studio za Clouds Media na Mkuu wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wahariri, Waandishi wamsusia Makonda

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) na Klabu ya Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), wameazimia kumnyima Paul Makonda, Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye: Magufuli hujajipa urais mwenyewe

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Rais John Magufuli amesahau kama amechaguliwa na wananchi jambo linalomfanya kufanya maamuzi yake bila kujali hisia zao,...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli amwambia Makonda “chapa kazi”

RAIS John Magufuli amemwambia Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, “endelea kuchapa kazi” na anamtaka aamini kuwa ni yeye rais...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye, Kubenea wapeta Chadema

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu na Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo wameibuka nafasi tofauti za...

Habari MchanganyikoTangulizi

Lissu aibuka kidedea TLS

TUNDU Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki ameibuka na ushindi katika nafasi ya urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) huku...

Habari MchanganyikoTangulizi

Upigaji kura TLS wakamilika

HAKUNA marefu yasiyo na ncha. Hatimaye vuta nikuvute ya uchaguzi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), imehitimishwa leo asubuhi kwa mawakili kupiga...

Habari za Siasa

Rais Magufuli amzodoa Mwakyembe

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ametengua agizo la Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe la hakuna kufunga ndoa bila ya cheti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Lissu aachiwa kwa dhamana, aenda Arusha

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameachiwa kwa dhamana ya Sh. 10 milioni na moja kwa moja anaenda Arusha kwenye uchaguzi wa Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu akamatwa tena

JESHI la polisi limemkamata mwanasiasa machachari nchini na mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, anaandika Saed Kubenea. Lissu ambaye amepitishwa na Chama...

Habari MchanganyikoTangulizi

Uchaguzi TLS, Dk. Mwakyembe aanza kupukutika

WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) na hivyo...

Habari Mchanganyiko

Kaya 28 zakosa makazi kutokana na mvua

ZAIDI ya Familia 28 zilizopo katika kijiji cha Milengwelengwe Kata ya Mngazi Tarafa ya Bwakira chini wilayani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada...

Habari Mchanganyiko

Mgombea TLS: Lissu hatatuvuruga

WAKILI Victoria Mandari, ambaye ni miongoni mwa wagombea wa Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amesema anaamini wagombea wa nafasi hiyo ambao...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hatima ya uchaguzi TLS kutolewa leo

MAWAKILI wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) kimeiomba Mahakama Kuu ya Tanzania kutupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kanuni za uchaguzi iliyofunguliwa...

Habari Mchanganyiko

Wakulima watakiwa kuwa makini na mbegu

WAKULIMA nchini wamesisitizwa kununua mbegu kwenye maduka yaliyosajiliwa huku wakihakikisha ubora wa mbegu wanazonunua kwa kuwa na lebo ya TOSCI ili kuweza kupanda...

Afya

Jaffo amtega Mganga Mkuu Morogoro

SULEIMAN Jaffo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, amempa mwezi mmoja Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro...

Habari za SiasaTangulizi

Msukuma awatisha Usalama wa Taifa

JOSEPH Kasheku “Msukuma” Mbunge waa Jimbo Geita Vijijini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Geita ametoa siku tano za kuombwa...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa aitikisa CCM, yatimua masalia yake

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimefanya maamuzi magumu kwa kuwafuta uanachama viongozi wake waliopatikana na makosa ya maadili kinyume na katiba na kanuni za...

Habari MchanganyikoTangulizi

Vyeti bandia vyazidi kutikisa

WANANCHI wamewataka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), pamoja na Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, wabuni njia mbadala...

Habari Mchanganyiko

Anywa soda 24 kwa saa moja

MTU aliyetambulika kwa jina moja la Salum, amesababisha shughuli mbalimbali kusimama katika eneo la maduka yaliyopo pembeni ya kituo cha mabasi cha Makumbusho...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema: Bajeti ijayo maumivu tupu

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema Bajeti inayopendekezwa na serikali katika mwaka wa fedha 2017/2018 ina mapungufu makubwa yanayotishia hata utekelezaji wake,...

Habari Mchanganyiko

Wapania kupanda miti milioni 50 kufikia 2020

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Raleigh International lenye makao makuu yake nchini Uingereza, linaendelea na kampeni yake ya utunzaji wa mazingira ukiwemo mpango...

Habari Mchanganyiko

Pombe za viroba, bangi zazua balaa Morogoro

OPERESHENI ya kukamata pombe ambazo hufungwa katika vifuko maalum maarufu kama viroba, imeendelea kushika kasi mkoani Morogoro ambapo sasa jeshi la polisi limewakamata...

Habari za Siasa

Bulembo atangaza kung’atuka CCM

ALHAJI Abdallah Bulembo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ametangaza kung’atuka rasmi katika nafasi yake, kwa mdai kuwa anahitaji kuumzika, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ahoji Dk. Shein, Maalim kutoshtakiwa kwa uchochezi

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amehoji sababu za kutoshtakiwa Maalim Seif Hamad, Katibu Mkuu wa CUF, Rais Ali Mohamed Shein na...

Habari za Siasa

DC, Mbunge Chadema waungana kupinga mradi wa maji

SAMSON Odunga Mkuu wa Wilaya ya Chemba na Mbunge wa Viti Maalum Kunti Yusufu Majala (Chadema), wamewataka wananchi wa wilaya hiyo kuukataa mradi...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea: Amri za JPM zisivuruge utaratibu

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo amesema maagizo yanayodaiwa kutolewa na Rais John Magufuli kuhusu wafanyabiashara ndogo ndogo (machinga) yanasababisha migogoro kwani...

Habari Mchanganyiko

Ajiua kwa risasi kisa viroba kukamatwa

FESTO Msalia mfanyabiashara wa vinywaji mkoani Dodoma amejiua kwa kujipiga riasasi kichwani kwa madai kuwa ameumizwa na kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa...

Habari Mchanganyiko

Magufuli, Zitto, Mwigulu wanena kuhusu wanawake

VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa pamoja na watu mashuhuri hapa nchini akiwemo Rais John Magufuli, wametoa salamu za kuwatakiwa heri wanawake katika kilele cha...

Habari za SiasaTangulizi

CUF yampuuza Prof. Lipumba

NASSOR Ahmed Mazrui, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar amesema Katiba ya chama hicho haimpi mamlaka yoyote Profesa Ibrahim Lipumba...

Habari Mchanganyiko

‘Wanawake saidieni vita dhidi ya dawa za kulevya’

REGINA Chonjo, Mkuu wa wilaya ya Morogoro amewataka wanawake nchini kutoa ushirikiano katika kufichua wanaohusika na biashara ya dawa ya kulevya ili kurahisisha...

Habari za SiasaTangulizi

Mpinzani wa Nape atoka gerezani

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Kusini imemuachia huru kwa dhamana, Seleman Mathew, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni...

Habari za Siasa

‘Katiba pendekezwa itachochea Wazanzibar kudai uhuru’

OTHMAN Masoud Othman, aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kutimuliwa kwa kuunga mkono mapendekezo ya serikali tatu, amesema Katiba inayopendekezwa  itajenga mfumo...

Habari Mchanganyiko

Mama Kikwete afariki dunia

NURU Khalfan Kikwete, mama mlezi wa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefariki dunia mapema hii...

error: Content is protected !!