Sunday , 19 May 2024

Month: January 2022

HabariMichezo

Lampard kocha mpya Everton

  Kiungo wa kati wa zamani wa klabu ya Chelsea Frank Lampard, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Everton kwa mkataba wa...

Habari za SiasaTangulizi

Fedha za Mbowe kufadhili ugaidi zaibua mkanganyiko

  FEDHA kiasi cha Sh. 699,000, zinazodaiwa kutolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe mwaka 2020 kwa ajili ya kufadhili vitendo vya kigaidi,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi wavunja ukimya utata askari aliyejinyonga mahabusu

  JESHI la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu utata wa tukio la kujinyonga hadi kufa kwa Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Grayson Mahembe...

Habari Mchanganyiko

Vijana wamshinikiza bilionea Dangote kuwania urais

  KUNDI la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika, Aliko...

Michezo

Nyota wa Manchester United mbaroni madai ya ubakaji

  MCHEZAJI wa Manchester United, Mason Greenwood amekamatwa kwa tuhuma za ubakaji na shambulio kutokana na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Anaripoti...

Habari

Luteni Urio adai mashtaka ya kina Mbowe  sio ya kutungwa 

  SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri, Luteni Denis Urio, amedai mashtaka ya ugaidi yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika Mahakama...

Michezo

Ligi Kuu Bara kwenda mapumziko siku 18

LIGI kuu Tanzania Bara imendelea kushika kasi mara baada ya kupigwa michezo 13, huku timu 16 zikionekana kubanana na kwenye msimamo katika kuelekea...

Habari za SiasaTangulizi

Luteni Urio: Sikuamini kama Mbowe anaweza kufanya ugaidi

  ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Denis Urio, amedai hakuamini kama Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anaweza kufanya vitendo...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Maalim Seif atema cheche

  MWENYEKITI mpya wa chama cha upinzani nchini Tanzania-ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu Babu Duni amewashukuru wote waliomchagua kushika wadhifa huo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Waziri Chana atoa maagizo kiwanga cha sukari Mkulazi

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge na Uratibu nchini Tanzania, Balozi Pindi Chana amemtaka mkandarasi anayesimamia kazi ya ujenzi...

Habari Mchanganyiko

Siku ya sheria yasogezwa mbele kwa saa 24

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imesogeza mbele kwa siku moja (sawa na saa 24) sherehe za Siku ya Sheria kutoka tarehe 1 Februari...

Habari za Siasa

Zitto awaweka sawa viongozi ACT-Wazalendo, awatumia salamu wapinzani

  KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe  amewaagiza viongozi wautumie 2022 kukiimarisha chama  hicho kuanzia ngazi ya Kitaifa hadi mashinani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

ACT -Wazalendo yaanika mbinu za kuidhibiti Serikali nje ya Bunge

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kimeteua watu wa kufuatilia utendaji wa wizara na taasisi za Serikali. Anaripoti...

Elimu

Prof. Mkumbo achochea ufaulu wa hisabati Ubungo, Waziri Mkenda atoa tuzo

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amekabidhi tuzo kwa Walimu ambao wanafunzi wao wamefanya vizuri katika somo la Hisabati...

Habari za Siasa

Msajili avipa maagizo vyama vya siasa

  OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, imevitaka vyama vya siasa kuanza kuboresha mifumo yao ya  ndani ya  demokrasia kabla...

Habari za Siasa

Sheikh Ponda: Wapinzani acheni tofauti

  KATIBU Mkuu wa Shuraa ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameviomba vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania viache tofauti zao...

Habari za Siasa

Msajili wa vyama amuomba Askofu Mwamakula airudishe kwenye mstari Chadema

  NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Sisty Nyahoza, amemuomba Kiongozi wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, akishauri Chama...

Habari Mchanganyiko

Mauaji Tanzania: Waziri Masauni awaita vigogo wa Polisi

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, Hamad Masauni ameitisha kikao cha watendaji wakuu wa jeshi la Polisi nchini humo ili kupokea...

Habari za Siasa

Askofu Mwamakula awachana ACT-Wazalendo kuhusu katiba, yamjibu

  KIONGOZI wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, amekieleza Chama cha ACT-Wazalendo, kuwa hakiwezi kuingia kwenye uchaguzi bila ya kupatikana...

Habari za Siasa

Askofu Mwamakula awapa neno ACT-Wazalendo uchaguzi mrithi wa Maalim Seif 

  KIONGOZI wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, amewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha ACT-Wazalendo, wamchague mtu...

Habari Mchanganyiko

Mgogoro ardhi Ngorongoro: Wasomi waiangukia Serikali, wataka meza ya majadiliano 

BAADHI ya wasomi kutoka Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha, wameiangukia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iitishe meza ya majadiliano kati ya wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo wazindua ACT KIGANJANI

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimezindua mfumo wa usajili wa kisasa wa wanachama wa chama hicho uliopewa jina la ‘ACT Kiganjani’ wenye lengo...

Habari Mchanganyiko

TANESCO watangaza mgawo wa umeme

  SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limetangaza mgawo wa umeme kwa muda wa siku 10 kuanzia tarehe 1 hadi 10 Februari, mwaka huu...

Habari Mchanganyiko

Wajane wa Mrisho kuweka kambi kwenye kiwanja

  WAJANE wa Marehemu Mzee Amir Mrisho, Aseline na Amina Mrisho wamesema ili haki yao ya kumiliki kiwanja namba 108 Port Access isipotee...

Tangulizi

Kibatala atumia Biblia mahakamani kuwatetea kina Mbowe

  KIONGOZI wa Jopo la Mawakili wa Utetezi, Wakili Peter Kibatala, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...

Habari za SiasaKitaifa

Babu Duni, Hamad wapitishwa kumrithi Maalim Seif – ACT Wazalendo

Halmshauri Kuu ya Chama imepokea na kuthibitisha mapendekezo ya Kamati Kuu ya Chama juu wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa, Makamu Mwenyekiti...

Makala & Uchambuzi

DK. SALIM AHMED SALIM; Mtanzania aliyemkaba koo George Bush

TAREHE 23 Januari, 2022 Waziri Mkuu Mstaafu Dk. Salim Ahmed Salim alitimiza miaka 80, leo nakuletea makala inayofafanua namna alivyombana pumzi aliyekuwa Rais...

Kimataifa

Museveni ampinga Askofu kuwazuia wasichana wajawazito kurudi shuleni

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amepinga uamuzi wa Askofu wa Kanisa la Uganda la kuwazuia wasichana wajawazito kurudi shuleni baada ya shule...

Habari Mchanganyiko

Lowassa afanyiwa upasuaji, alazwa ICU Muhimbili

  HALI ya afya ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ni tete na amelazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU)....

Habari za SiasaTangulizi

Luteni Urio: Mbowe alinificha

  SHAHIDI wa Jamhuri, katika kesi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Luteni Denis Urio, amedai mwanasiasa...

Kimataifa

Kiongozi mpya Burkina Faso ahutubia taifa, aahidi utawala wa kidemokrasia

  KIONGOZI mpya wa kijeshi wa Burkina Faso ameahidi kurejea kwa utaratibu wa kawaida wa kikatiba wakati hali itakapokuwa sawa. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari Mchanganyiko

Waziri mkuu aagiza kidani cha mkewe kiuzwe yajengwe mabweni

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameagiza zawadi ya kidani cha Tanzanite aliyopewa mke wake Mama Mary Majaliwa na Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana...

Habari za SiasaTangulizi

Luteni Urio adai Mbowe hakutaka kuzungumzia ugaidi kwenye simu

  SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri, Luteni Denis Urio, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, hakutaka kuzungumzia ugaidi kwenye mawasiliano ya simu, bali...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yatoa maagizo kwa wasikilizaji kesi ya Mbowe kuhusu shahidi

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imewaamuru watu waliofika mahakamani hapo kusikiliza kesi ya uhujumu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wawili wafariki dunia, 8 wajeruhiwa ajali Kimara-Suka

  WATU wawili wamefariki dunia na wengine nane kujeruhiwa vibaya baada ya lori aina ya Scania kugonga watu waliokuwa wanavuka barabara ya Morogoro...

Biashara

Nyumba 50 ndani ya jengo la Uhuru Heights kuuzwa

Kampuni ya Cosmos Properties ya jijini Dar es Salaam, ambayo ni mmiliki wa nyumba 50 katika jengo la Uhuru Heights iko matatani baada...

Habari Mchanganyiko

Bashungwa ataka Halmashauri kuwa na Mipango miji maeneo yote

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema uhitaji wa kuwa na mipango miji...

Habari za Siasa

Shahidi wa Jamhuri adai hajui kosa la mwenzake Mbowe

  ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luten Denis Urio, amedai hafahamu kosa na sababu za kukamatwa kwa Halfan Bwire Hassan,...

Afya

Prof. Makubi awapa mtihani wakurugenzi sekta ya afya

  WAKURUGENZI wa Hospitali za Rufaa za Mikoa, Kanda Maalumu, Taifa pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya, wametakiwa kusimamia vipaumbele...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mahakama yatoa maagizo kwa shahidi wa Jamhuri, mawakili

MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imemuamuru Luteni Denis Urio, shahidi wa 12 Jamhuri, ajibu maswali...

Elimu

Rais Samia atangaza kuajiri walimu wapya 7000

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema baada ya ujenzi wa miundombinu ya elimu, kutoa vifaa vya kusomeshea, kujenga mazingira ya usomeshaji, ujenzi wa...

Elimu

Mwanafunzi amwaga machozi akizungumza na Rais Samia kwa simu ‘live’

  Mwanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya Skondari Benjamini Mkapa iliyopo jijini Dar es Salaam, Emmanuel Mzena amemwaga machozi baada ya...

Habari Mchanganyiko

Familia ya Mrisho yaomba zuio umilikishwaji kiwanja

  WATOTO wa marehemu Mzee Amir Mrisho, wamepeleka maombi ya kuzuia mchakato wowote wa umilikishwaji wa Kiwanja namba 108 Port Access kilichopo wilayani...

Kimataifa

Museveni akemea mapinduzi Burkina Faso

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni ameshutumu vikali mapinduzi yaliyotekelezwa nchini Burkina Faso dhidi ya serikali ya Rais wan chi hiyo, Roch Marc...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi asita kujibu maswali ya kina Mbowe, kesi yahairishwa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kwa muda kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Askari JWTZ adai Mbowe alimpa Sh 699,000 amtafutie makomandoo

  LUTENI Denis Urio, shahidi wa 12 wa Jamhuri, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, katika nyakati tofauti alimpatia Sh. 699,000, kwa ajili...

Habari Mchanganyiko

Jafo aeleza mikakati ya kuboresha mazingira Dodoma

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amesema ushirikishwaji wa wadau katika ngazi zote na...

AfyaTangulizi

Watanzania 33,000 waugua Corona, 781 wafariki

  SERIKALI ya Tanzania imesema hadi kufikia tarehe 23 Januari, 2022 jumla ya Watanzania 33,000 wamethibitika kuwa na maambukizi na watu 781 wamepoteza...

Biashara

Benki ya Exim yatangaza mshindi wa jumla “Weka Mkwanja Tukutoe!”

BENKI ya Exim Tanzania imetangaza washindi wa promosheni yake inayojulikana kama “Weka Mkwanja tukutoe!” ambapo taasisi ya Work of Mary (Focolare Movement Tanzania)...

HabariMichezo

Simba hali mbaya, wakubali kipigo mbele ya Kagera

  KLABU ya soka ya Simba imejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar kwa...

error: Content is protected !!