LICHA ya kukaribishwa na wimbo wa simba jike katika uzinduzi wa Tamasha la utamaduni mkoa Kilimanjaro, Rais Samia Suluhu Hassan amesema yeye...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea na majadiliano ya...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi wa mkoa huo kupunguza matayarisho ya kinywaji maarufu mkoani humo cha pombe aina ya mbege, ili...
By Masalu ErastoJanuary 22, 2022MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amesema jumla ya mifugo 1,257 imekufa mkoani humo kwa kukosa maji na malisho kutokana na...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limewaomba Watanzania kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho umeme unakatika kila mara kutokana na mvua na upepo...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022UTAFITI uliofanywa kuhusu chembechembe zitokanazo na plastiki zinazopatikana kwenye fukwe za bahari zimeonesha kuwa na kemikali za sumu ambayo inaweza kusababisha madhara...
By Seleman MsuyaJanuary 21, 2022MPELELEZI wa Makosa ya Jinai katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, Goodluck Minja, amedai washtakiwa wawili katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema,...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia amefungua Shauri namba 2 la Kikatiba la mwaka 2022 kuzuia uchaguzi wa Spika, akidai mchakato...
By Seleman MsuyaJanuary 21, 2022WAKATI homa ya mtanange unaotarajiwa kupigwa kesho tarehe 22 Januari, 2022 kati ya Simba SC. na Mtibwa Sugar, mashabiki wa timu hizo...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022Serikali ya Mkoa wa Dar es salaam kupitia kikosi kazi cha kuratibu usafishaji wa mito mkoani humo kimeonya kuwa hakitosita kuwachukulia hatua za...
By Gabriel MushiJanuary 21, 2022Ni rahisi kutumia sababu za kisheria kusema Tanzania kuna uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge. Lakini sio rahisi kueleweka katika utamaduni wa...
By Gabriel MushiJanuary 21, 2022WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) nchini Tanzania imeanzisha kutumia mfumo mpya wa ukataji wa tiketi wa kielektroniki ili kuhakikisha inazuia upotevu...
By Jonas MushiJanuary 21, 2022MPELELEZI wa Makosa ya Jinai katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, Askari Polisi namba H4347 Goodluck, amedai Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa...
By Regina MkondeJanuary 21, 2022Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango kufuatia kifo cha kaka yake Askofu Mstaafu...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022NAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dk. Festo Dugange amesema serikali itachukua hatua za kumsimamisha kazi Meneja wa TARURA Wilaya ya Karatu...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Seleman Jafo amewaagiza maofisa mazingira nchini kuhakikisha wanafunzi wa shule za...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022SERIKALI imeziasa Halmashauri kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ya ndani na kutenga asilimia 40 ya mapato yao kukamilisha miradi ya maendeleo...
By Danson KaijageJanuary 21, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Januari, 2022 amemteua Suzan William Mkangwa kuwa Kamishna wa Kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania – Chama Cha Mapinduzi (CCM), imempitisha Dk. Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Spika...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022WANACHAMA 11 wa chama cha siasa cha upinzania, ACT-Wazalendo, wamechukua fomu kuomba nafasi za uongpzi, wawili wakiwania uenyekiti. Anaripoti Selemani Msuya, Dar...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022Breviare ni kitabu maalum cha Kikristo kwa ajili ya sala za asubuhi, mchana na jioni pamoja na nyongeza ya vipindi vingine kwa nyakati...
By Gabriel MushiJanuary 20, 2022JESHI la Polisi nchini limesema tayari uchunguzi umeanza dhidi ya picha zilizosambaa katika mitandao ya kijamii huku zikimuonesha askari wa usalama barabarani...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, iliyopo Mawasiliano jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeitaka Jamhuri kutimiza wajibu...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022MCHUNGUZI wa vifaa vya kidigitali wa Jeshi la Polisi Tanzania, Innocent Ndowo (37), amedai hajawasilisha mahakamani sauti za mawasiliano baina ya Mwenyekiti...
By Regina MkondeJanuary 20, 2022HUKU mchakato wa kumpata spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea, imeshauriwa kupatikana spika mwenye ujasiri wa kumshauri Rais Samia...
By Gabriel MushiJanuary 20, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Alhamisi, tarehe 20 Januari 2022, kitatoa dira ya nani atakuwa Spika wa Bunge...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hana ugomvi na shahidi wa Jamhuri, Innocent Mdowo (37), kwani ni...
By Regina MkondeJanuary 20, 2022WAZIRI wa zamani wa maliasili na utalii nchini Tanzania, Balozi Khamis Kagasheki amemwomba Mwenyekiti wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022SHAHIDI wa Jamhuri, Innocent Ndowo (37) ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania kuwa, uchunguzi alioufanya wa mawasiliano...
By Regina MkondeJanuary 20, 2022KLABU ya Soka ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0, kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC ya mkoani Arusha...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesogeza mbele vikao vyake kikiwamo cha kamati kuu kutoka jana Jumanne, tarehe 18 Januari...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022UPANDE wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wamemhoji Mchunguzi wa Kitengo cha Uchunguzi...
By Regina MkondeJanuary 19, 2022WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anakabiliwa na kitisho katika utawala wake baada ya wabunge kadhaa wa chama chake kupanga kuwasilisha barua za...
By Gabriel MushiJanuary 19, 2022IMEELEZWA kuwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF, inatarajiwa kutoa ajira kwa walengwa 195,000 ambao watalipwa jumla ya...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022SHABIKI wa klabu ya Simba Khalfan Mwambena mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa kata ya Kholobe mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga muda...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022SIMBA na Puma katika bustani ya wanyama ‘zoo’ nchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wahudumu wao. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imewataka maafisa elimu maalum wa halmashauri kushirikiana na maafisa elimu kata na jamii ili...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022IMEELEZWA kuwa asilimia kubwa ya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini hawana utamaduni wa kuwa karibu na wananchi jambo linalowafanya washindwe kutambua mahitaji...
By Danson KaijageJanuary 19, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amekutana na viongozi wa idara ya kinga na kufanya mapitio ya pamoja kuhusu mafanikio, changamoto na vipaumbele...
By Danson KaijageJanuary 18, 2022JUMBE fupi za maneno (meseji), zinazodaiwa kuwa za Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya washtakiwa wenzake, katika kesi ya ugaidi...
By Regina MkondeJanuary 18, 2022MKE wa mfungwa, Lengai ole Sabaya, aitwaye Jesca Nassari (28) ameieleza Mahakama kuwa namba ya simu 0758707171 inayodaiwa kuwa ya Sabaya, amekuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022MKAZI wa Nyamanoro, Mkoa wa Tabora nchini Tanzania, Abdul Nassoro (49) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya mkoani humo kwa tuhuma za...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitakuwa na jukumu zito la kufyeka wagombea 67 kati ya 70...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetambulishwa rasmi kwa jamii huku Waziri mwenye dhamana Dk. Dorothy Gwajima akijinadi...
By Danson KaijageJanuary 18, 2022MSANII wa muziki wa Injili nchini, Rose muhando amefunguka kwamba mojawapo ya mambo anayotaka afanikiwe kwa mwaka huu ni kumpata mume mzungu...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022MWAKA 1961 tulipopata Uhuru wa Tanganyika (sasa Tanzania Bara), Kagera ulikuwa mkoa wa pili kwa maendeleo baada ya Kilimanjaro. Hivi sasa wakati...
By Mwandishi MaalumJanuary 18, 2022Mwanawe Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba amemwandikia Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ujumbe ulioibua mjadala mzito miongoni mwa mataifa hayo...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022Mshambuliaji wa mashetani wekundu, Anthony Martial amekanusha madai kuwa alikataa kujumuishwa kwenye kikosi cha Manchester United kilichocheza dhidi ya Aston Villa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili akiwemo Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022SHAHIDI wa kumi wa Januari, Innocent Ndowo (37) katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman...
By Regina MkondeJanuary 18, 2022