MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango ametoa siku saba kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini – IGP Simon Sirro kuwakamata watuhumiwa...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri, katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, ASKARI wa Jeshi la...
By Regina MkondeJanuary 26, 2022MKUU wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus ana uhakika wa kuiongoza taasisi hiyo kwa muhula wa pili baada ya kupigiwa...
By Gabriel MushiJanuary 26, 2022Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anajiandaa kubaki au kutoka ofisini baada ya kukamilika kwa matokeo ya uchunguzi wa sherehe zilizofanyika katika makazi...
By Gabriel MushiJanuary 26, 2022MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru amesema wanatarajia kuifumua stendi ya daladala na soko la sabasaba iliyopo katikati ya jiji hilo...
By Danson KaijageJanuary 26, 2022MAKAMU wa Kwanza wa Rais katika Serikali ya Mapinduzi – Zanzibar, Othamn Masoud Othman ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022SIRI dhidi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Khamisi, maarufu “Mussa Dola,” anayedaiwa kuporwa kiasi cha Sh.70 milioni na kisha kuuawa...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022OFISA wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Denis Urio, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alimueleza anatafuta kampuni za...
By Regina MkondeJanuary 26, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wasaidizi wote wa Rais Samia Suluhu Hassan wamejipanga kuhakikisha wanamsaidia kwa weledi wote, uaminifu ili...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022LUTENI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Dennis Urio (42), amepanda kizimbani kutoa ushahidi wake, katika kesi ya ugaidi...
By Regina MkondeJanuary 26, 2022KLABU ya Azam Fc inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imemtangaza Abdihamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hiko kwa mkataba wa miaka...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022Mchezo wa mzunguko wa 32 wa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam, kati ya Yanga dhidi ya Mbao Fc, sasa utapigwa...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wazazi wote washirikiane na walimu kuweka mazingira mazuri ya kitaaluma ili wahakikishe watoto wa Kitanzania...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameombwa kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu kati ya mamlaka za hifadhi, wahifadhi na wananchi, wilayani...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kuyafanyia kazi mapendekezo matano, yaliyotolewa na wafanyabiashara wadogo nchini ‘wamachinga’, ili kuiboresha sekta hiyo. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJanuary 25, 2022WAKATI Timu ya Taifa ya Burkina faso ikitinga hatua ya nane bora katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) huko...
By Gabriel MushiJanuary 25, 2022Jeshi nchini Burkina Faso limetangaza kutwaa madaraka baada ya kufanya mapinduzi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Tangazo hilo la jeshi limetolewa kupitia...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili, kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya Barke Pesa Rashid (30),...
By Regina MkondeJanuary 25, 2022Watu nane wameripotiwa kufariki na mamia kujeruhiwa katika msongamano uliotokea nje ya uwanja uliotumika katika kinyang’anyaro cha wenyeji Cameroon na Comoro waliofuzu...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kuifungua Tanzania kwa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali nchini...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022KIUNGO mkabaji Raia wa Jamhuri ya Congo, Mukoko Tonombe amekamilisha usajili wake na kijiunga na klabu ya Tp Mazembe ya nchini mwao,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2022MARA baada ya kuvuna pointi nne kwenye michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza na Tanzania Prison, kikosi...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022KESI ya uhujumi uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imeahirishwa hadi Jumatano, tarehe 26 Januari 2022, kutokana na shahidi...
By Regina MkondeJanuary 24, 2022GAVANA wa Benki ya Uganda, Emmanuel Tumusiime-Mutebile amefariki dunia akiwa nchini Kenya alipokuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Nairobi. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022Rais wa Burkina Faso, Roch Marc Christian Kaboré amezuiliwa katika kambi ya jeshi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022WACHIMBAJI wadogo wa madini nchini wametakiwa kufanya uchimbaji wa wenye tija na kuongeza thamani ya madini yao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageJanuary 24, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka vijana wa Kitanzania wahakikishe wanajiwekea malengo ya kusoma kwa bidii ili kupata maarifa yatakayolisaidia Taifa...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto amethibitisha rasmi kuwa chama kipya cha UDA kitaingia katika ushirikiano na chama cha Musalia Mudavadi –...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi atahutubia mkutano mkubwa wa wadau wa bima kutoka ndani na nje ya nchi, wenye lengo...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imekifungia kipindi cha Efatha Ministries, kinachomilikiwa na Askofu Josephat Mwingira na kurushwa na...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022MAHAKAMA Kuu Tanzania imezindua mfumo wa kuratibu taarifa za mawakili kielektroni (e-wakili) wenye lengo la kudhibiti mawakili wasiotambulika kisheria ‘mawakili makanjanja au...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2022Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imeziagiza familia za wanadiplomasia na wafanyakazi wasio wa dharura kwenye ubalozi wa Marekani mjini Kiev kuondoka...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Jim Yonazi amefunga mafunzo ya utekelezaji wa anwani za makazi...
By Danson KaijageJanuary 24, 2022WATU watano katika kijiji cha Zanka Wilayani Bahi mkoani Dodoma wameuawa katika nyumba waliokuwa wakiishi kijiji hapo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageJanuary 24, 2022KAMISHNA wa Tume ya Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda amewaomba viongozi wa dini kupitia Jumuiya ya Maridhiano kuwahamasisha Watanzania kushiriki...
By Danson KaijageJanuary 24, 2022MPELELEZI wa Makosa ya Jinai, Goodluck Minja, amedai hafahamu kama ripoti ya uchunguzi wa tukio la aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema),...
By Regina MkondeJanuary 24, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wiki mbili kwa Bohari ya Dawa (MSD) ihakikishe kuanzia leo Jumapili tarehe 23 hadi 5...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022UONGOZI wa la Dodoma nchini Tanzania, umesema hautasita kumchukulia hatua za kisheria mtu ambaye anakwamisha juhudi za maendeleo sambamba na utunzaji wa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 23, 2022KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kuondoka na pointi tatu, mara baada ya kuondoka na ushindi wa bao 1-0, kwenye mchezo wa...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022MKUU wa jeshi la wanamaji nchini Ujerumani, Kay-Achim Schoenbach amejiuzulu, kufuatia matamshi yake yenye utata kuhusu mzozo wa Ukraine. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022JOHN Alphoso Nchimbi, baba mzazi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kiteto (DED), Mkoa wa Manyara, John Nchimbi amefariki dunia, katika Taasisi ya...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, sasa ameamriwa kufika mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022MWANADIPLOMASIA mashuhuri nchini Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim leo Jumapili, tarehe 23 Januari 2022, ametimiza miaka 80 tangu alipozaliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022WEKUNDU wa Misimbazi Simba leo tarehe 22, Januari 2022 wameshindwa kutamba mbele ya Mtibwa Sugar baada ya kutoka suluhu 0-0 katika mchezo uliopigwa...
By Gabriel MushiJanuary 23, 2022Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo tarehe 22 Januari 2022 ameongoza waombolezaji katika mazishi ya kaka wa Makamu wa Rais na Askofu Mstaafu wa...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022Kwa zaidi ya miaka kumi sasa somo la hisabati limekua changamoto kwa Taifa hususani kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari kwani...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022CHAMA Cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimempitisha Maimuna Said Kassim kuwa mgombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) wameaswa kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na uadilifu ili kuiletea tija...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022SERIKALI imesema kuwa pamoja na kuwepo kwa mabadiko ya tabia ya nchi yaliyosababisha kukosekana kwa mvua za uhakika, nchi ina akiba ya...
By Danson KaijageJanuary 22, 2022MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amesema mkoa huo umevunja rekodi kwa kupokea kiasi kikubwa cha fedha za maendeleo zilizotolewa na...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022