Tuesday , 30 April 2024

Month: April 2022

Habari Mchanganyiko

Makamba atangaza masharti ununuzi nguzo za umeme ndani

WAZIRI wa Nishati, January Makamba, ameagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), liingie zabuni za ununuzi wa nguzo za kusambazia umeme kwa wakandarasi watakaokidhi...

KimataifaTangulizi

Mbunge adakwa akitazama video za ngono bungeni

CHAMA cha Conservative kutoka nchini Uingereza kimemsimamisha uanachama Mbunge wa Jimbo la Tiverton na Honiton, Neil Parish baada ya kubambwa akitazama video za...

Habari MchanganyikoTangulizi

LATRA yatangaza nauli mpya, daladala, mikoani

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza viwango vya nauli mpya za daladala na mabasi ya kwenda mikoani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Viwango...

Kimataifa

Rais Urusi, Ukraine kukutana ana kwa ana mkutano G20

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin na Volodymyr Zelensky wa Ukraine ambao ni mahasimu kutokana na vita inayoendelea kati ya nchi hizo mbili, wanatarajiwa...

Habari Mchanganyiko

Jaji Mutunga wa Kenya azindua kitabu Tanzania

  JAJI Mkuu Mstaafu wa Kenya, Willy Mutunga amezindua kitabu chake alichokipa jina la ‘Beacons of Judiciary Transformation’ leo Ijumaa tarehe 29 Aprili...

Biashara

GGML yalipa billioni 4 kwa halmashauri mbili Geita

KATIKA kuunga mkono  na kutimiza wajibu wake wa kulipa kodi na tozo mbalimbali kwa Serikali, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imelipa...

Habari za Siasa

Polepole aanza safari ya Malawi

  RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amemweleza Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole umuhimu wa kuifanyia kazi na kuipa kipaumbele...

Habari za Siasa

Biashara madini nchini yaimarika bei ikipaa

  WAZIRI wa Madini, Doto Biteko, amesema biashara ya madini nchini imeendelea kuimarika huku bei ya madini muhimu kama dhahabu na almasi ikizidi...

Habari za SiasaTangulizi

Soko la madini Mererani lawagawa wabunge

  UHAMISHAJI soko la madini ya Tanzanite kutoka Arusha kwenda Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, limewagawa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)....

Habari za SiasaTangulizi

CCM yahakiki madeni ya kampeni 2020

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kinafanyia uhakiki madeni ya wafanyabiashara saba waliosema wanakidai, kutokana na kazi kiliyowapa wakati...

Habari za Siasa

Serikali yakamata madini ya Sh. 501 Mil. yakitoroshwa

  SERIKALI imesema imefanikiwa kukamata madini ya Sh 501.2 milioni katika matukio ya utoroshaji katika kipindi cha kati ya Julai 2021 hadi Machi...

Habari za Siasa

Uzinduzi Royal Tour: Rais Samia atoa shukrani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani kwa wote waliohusika katika maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour nchini...

Habari za Siasa

Madini yapokea fedha kiduchu za miradi ya maendeleo

  WIZARA ya Madini imepokea Sh 1.5 bilioni pekee kwaajili ya miradi ya maendeleo hadi kufikia Machi 2022 sawa na asilimia 10 ya...

Habari Mchanganyiko

Media Convergency, Meta waja na ‘NGOYaKidijitali’ kwa asasi za kiraia

KAMPUNI ya kidijitali ya Media Convergency kwa kushirikiana na kampuni ya Meta imezindua mpango wa kuwapatia mafunzo ya kidijitali Watanzania 1000 kutoka katika...

Biashara

NMB Jasiri yaorodheshwa DSE

AFISA Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna amesema benki hiyo imejipanga kuwainua wanawake kiuchumi na kutambua shughuli zao za uzalishaji mali...

Habari Mchanganyiko

Wawili mbaroni tuhuma kuua madereva, kupora pikipiki

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili, kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya madereva wawili kisha...

Kimataifa

Afungwa miaka mitano kwa kuua nguruwe msikitini

  MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu Sadate Musengimana, kifungo cha miaka mitano jela kwakosa la kumuua nguruwe msikitini. Anaripoti Rhoada Kanuti kwa msaada wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM ataka sheria Vyama vya Siasa irekebishwe kumpa makali msajili

  MBUNGE Viti Maalumu (CCM), Neema Lugangira, ameshauri Sheria ya Vyama vya Siasa irekebishwe ili kumpa meno Msajili wa Vyama vya Siasa katika...

Habari Mchanganyiko

Bilionea pekee Afrika Mashariki anatoka Tanzania

  KAMPUNI ya Utafiti ya New World Wealth na Henley, inayosaidia watu wenye thamani ya juu kupata makazi ,uraia kupitia uwekezaji, imeasema kuwa...

Kimataifa

Rais Uhuru Kenyatta atoa wito kwa DRC

  RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya, ametoa wito kwa makundi mbalimbali nchini DRC Congo yenye silaha kuweka chini silaha zao, na kufanya kazi...

Habari za Siasa

Mbunge asema utawala wa sheria ndiyo kivutio uwekezaji, biashara

  MBUNGE wa Madaba, Joseph Mhagama, amesema kivutio namba moja cha wawekezaji na biashara nchini ni utawala wa sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Tabasamu aibua mazito Bungeni tenda za mafuta, Spika amzuia

MBUNGE wa Sengerema, Hamis Tabasamu ameibua “mambo mazito” bungeni kuhusu kuchezewa kwa tenda ya uagizaji wa mafuta ya Tarehe 18 Aprili 2022. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mpina ataka Bunge lichunguze majadiliano sakata makinikia

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina ameliomba Bunge kuunda kamati ya kiuchunguzi ili kujua sababu ya Kamati ya Majadiliano ya Kesi ya Makinikia kukubali...

Habari Mchanganyiko

GF TRUCKS yafuturisha wadau na wafanyakazi, yatoa ujumbe

  WAISLAMU na wanajamii kwa ujumla wametakiwa kuutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani kubadili tabia kwa kutenda yaliyo mema na kuyaendeleza hata baada ya...

Tangulizi

Rais Samia atua nchini, ataja mafanikio ziara Marekani

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema ziara yake ya kikazi nchini Marekani, imesaidia kuitangaza Tanzania kwa watu ambao walikuwa hawafahamu rasilimali na fursa...

Habari za Siasa

Mbunge Ditopile afuturisha Dodoma, wamwombea Rais Samia

  MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na wananchi mbalimbali...

Habari Mchanganyiko

Prof. Hoseah aanika mafanikio aliyofanya TLS, aomba achaguliwe tena

  RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), anayetetea kiti chake, Profesa Edward Hoseah, amesema katika kipindi cha uongozi wake amefanikiwa kuimarisha...

Habari Mchanganyiko

Sungusia adai TLS imeshindwa kupeleka maoni bungeni kuhusu miswada

  MGOMBEA Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Harold Sungusia, amesema amejitosa katika kinyang’anyiro hicho, baada ya kuona chama hicho kimeshindwa...

Habari Mchanganyiko

Mtobesya aahidi kuimarisha uhuru wa TLS , kuondoa ukata

  MGOMBEA Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Jeremiah Mtobesya, ameahidi kuimarisha uhuru wa chama hicho pamoja na kuongeza mapato yake,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ukata wateka mdahalo urais TLS

  CHANGAMOTO ya upungufu wa fedha inayokikumba Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), imeteka mdahalo wa wagombea urais wa chama hicho, uliofanyika leo...

Tangulizi

Prof Shivji awabana wagombea urais TLS kuhusu sheria kandamizi

  MHADHIRI Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Issa Shivji, amewahoji wagombea urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika...

Kimataifa

Urusi yasitisha huduma ya gesi Poland, Bulgaria

  KAMPUNI ya Gazprom, ambayo ni msambazaji mkuu wa gesi asilia nchini Urusi imesitisha usambazaji wa gesi kwa nchi za Bulgaria na Poland,...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar yafanya kikao na wananchi kujadili ‘panya road’

  KUFUATIA matukio ya wizi unaofanwa na vikundi vya vijana wenye umri wa miaka 14 mpaka 21 chanika jijini Dar es salaam, wakipita...

Kimataifa

Mamlaka ya Sweden yamrejesha raia wa Rwanda

  MAMLAKA ya Sweden imemrejesha Jean Paul Micomyiza mjini Kigali mwenye umri wa miaka 50,raia wa Rwanda aliyekamatwa nchini Sweden mnamo Novemba mwaka...

Kimataifa

Mataifa ya Magharibi kupeleka ndege za kivita Ukraine

  WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Liz Truss amesema kwamba Uingereza na mataifa mengine yenye nguvu ya Magharibi yabap0aswa kutoa ndege...

Habari Mchanganyiko

RC Makalla atoa onyo wizi miundombinu ya maji Dar

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amosi Makalla amekemea vikali wizi wa miundombinu ya maji ikiwemo mabomba na mita za maji...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana: Waliotajwa ripoti ya CAG wawajibishwe

  MAKAMU Mwenyekiti wa chama tawala Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameishauri Serikali inayoongozwa na chama hicho kuchukua hatua za kinidhamu...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana aitaka CCM kuwa tayari kwa maridhiano ya kisiasa

MAKAMU Mwenyekiti CCM Bara, Abdulrahman Kinana amewataka wanachama na viongozi wa CCM kuwa tayari kwa maridhiano ya kisiasa aliyoyaanzisha Rais Samia Suluhu Hassan....

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge aliyefariki alizuiwa kupanda ndege kwenda Dar

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, David Kihenzile amesema siku moja kabla ya Mbunge Irene Ndyamkama kufikwa na umauti,...

Habari Mchanganyiko

Uzinduzi ‘Royal Tour’ kufunga barabara Arusha

MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongela, ametangaza kufungwa kwa baadhi ya barabara za katikati ya mji huo ili kutoa nafasi kwa wananchi...

Habari Mchanganyiko

SAG yaendeleza wema kwa yatima, yafuturu nao

  IKIWA  ni muendelezo wa kutenda mema Kampuni za Smart Africa Group (SAG) imefuturisha watoto yatima na waumini wengine kwenye mfungo wa mwezi...

Kimataifa

Makamu wa Rais Marekani aambukizwa Corona

MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris imebainika ameambukizwa virusi vya Corona licha ya kupatiwa dozi zote mbili za chanjo ya Covid –...

Habari za Siasa

Jaji Warioba aitaka Tanzania ifuate nyayo za Zanzibar uchumi wa buluu

WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameishauri Serikali ya Tanzania kufuata nyayo za Serikali ya Zanzibar, kukuza uchumi kwa kutumia rasilimali za bahari,...

Kimataifa

Hospitali yashambuliwa Darfur

  SHIRIKA la misaada ya kimatibabu la madaktari wasio na mipaka (MSF) linasema kuwa watu watatu wameuawa ndani ya hospitali katika eneo la...

Kimataifa

Marekani yakanusha kumuwekea vikwazo mpenzi wa Putin

  MSEMAJI wa Ikulu ya White House anayefahamika kwa jina la Jen Psaki amesema kuwa Marekani imekanusha katika taarifa siku ya jumatatu tarehe...

Habari za Siasa

Sababu tano chimbuko la Muungano Tanganyika, Zanzibar hizi hapa

MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Mzee Pius Msekwa, amesema muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ulitokana na chimbuko la masuala matano, ikiwemo la kuimarisha ulinzi...

Habari za SiasaTangulizi

Msekwa ataja sababu Nyerere, Karume kufanya siri makubaliano ya Muungano

SPIKA wa Bunge mstaafu, Pius Msekwa, amesema Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Hayati Abeid Amani Karume, waliendesha makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na...

Habari Mchanganyiko

TUICO wauburuza mahakamani uongozi Yacht Club madai udhalilishaji

CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) tawi la Dar es Salaam Yacht Club kimewafungulia shauri la...

Biashara

NMB yaahidi makubwa sekta elimu, afya Geita

BENKI ya NMB nchini Tanzania, imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali kuhakikisha wakazi wa Mkoa wa Geita wanazidi kupata huduma bora hasa katika sekta...

error: Content is protected !!