Friday , 19 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Tabasamu aibua mazito Bungeni tenda za mafuta, Spika amzuia
Habari za Siasa

Tabasamu aibua mazito Bungeni tenda za mafuta, Spika amzuia

Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu
Spread the love

MBUNGE wa Sengerema, Hamis Tabasamu ameibua “mambo mazito” bungeni kuhusu kuchezewa kwa tenda ya uagizaji wa mafuta ya Tarehe 18 Aprili 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Tabasamu ameibua hoja hiyo leo Alhamisi tarehe 28 Aprili, 2022 mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ambapo aliomba kutoa hoja ya kuahirisha bunge na kujadadili suala hilo la dhararu.

Hata hivyo kabla ya kumaliza kueleza jambo hilo Spika Dk. Tulia Akson alimkatisha na kuhoji kama ameasilisha jambo hilo katika meza ya spika kutokana na uzito wa hoja yake.

Spika Tulia amesema hoja ya Tabasamu ni nzito na endapo ataacha ijadiliwe itaibua mambo mengi zaidi yatakayohitaji Ushahidi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Wabunge waikalia kooni TAKUKURU Bungeni

Spread the love  BAADHI ya wabunge wamelia na changamoto za utendaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina ataka Waziri Majaliwa ajiuzulu, akosoa teuzi za mawaziri

Spread the love  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amemtaka Waziri Mkuu, Kassim...

Habari za Siasa

CCM yakemea ufisadi, yaipa kibarua TAKUKURU

Spread the love  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea vitendo vya ubadhirifu wa...

Habari za Siasa

Bajeti ya Ikulu 2024/25 kuongezeka, bunge laombwa kurudhia Sh. 1.1 trilioni

Spread the love  WIZARA ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...

error: Content is protected !!