Friday , 17 May 2024

Month: April 2022

Habari za Siasa

Kampuni 7 zamuangukia Rais Samia madeni Uchaguzi Mkuu 2020

  KAMPUNI saba za uchapishaji kutoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam, zimekiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilipe kiasi cha Sh. bilioni moja fedha...

Habari za Siasa

Maandalizi ya sensa yafikia asilimia 81

  MWENYEKITI wa Kamati Kuu ya Sensa ya Watu na Makazi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema maandalizi ya zoezi hilo hadi kufikia jana...

Habari Mchanganyiko

SAG wafuturisha watoto yatima Mtambani

  KAMPUNI za Smart Africa Group (SAG) imetoa msaada wa vyakula na mafuta kwa ajili ya futari kwa watoto yatima wanaosoma kwenye shule...

Kimataifa

Tajiri namba 1 duniani ainunua Twitter

  MUASISI wa kampuni ya magari ya Tesla, Elon Musk ambaye pia ni tajiri namba moja duniani, amenunua kampuni ya mtandao wa kijamii...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia asamehe wafungwa 3,826

KATIKA kuadhimisha miaka 58 ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 26 Aprili, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan amesamehe wafungwa 3,826. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango: Muungano wetu ni zaidi ya hati, mambo ya muungano

  MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema ushirikiano na mwingiliano wa wananchi wa pande zote za muungano unadhihirisha kuwa Muungano wa Tanganyika...

Habari za Siasa

Kinana awapa maagizo wabunge, madiwani

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka madiwani na wabunge kukataa kupitisha miswada ya sheria yenye kukandamiza...

Habari za Siasa

Shaka asema CCM kushika dola kupo palepale

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema lengo la Chama kuendelea kushika Dola...

Habari za Siasa

Rais Samia asema anazielewa sababu Chadema kususia

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anaelewa sababu ya chama kimoja ambacho hajakitaja, kimekataa kushiriki mchakato wa majadiliano ya kutafuata muafaka mazingira ya ufanyaji...

Afya

Mikoa inayoongoza kwa malaria yatajwa, waziri atoa maagizo

HALMASHAURI 61 kutoka katika mikoa sita ya Tanzania Bara, imetajwa kuongoza kwa kuwa na mamabukizi ya ugonjwa wa malaria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Kesi dhamana ya Wakili Madeleka: Mahakama yaipa Serikali siku tatu

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeipa Serikali siku tatu kuwasilisha kiapo kinzani katika kesi iliyofunguliwa na watetezi wa...

HabariMichezo

Mkazi wa Ruvuma ashinda Sh 50Mil za BetPawa

  FRED ambaye Mkazi wa Ruvuma amejishindia Sh 50Mil kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya BetPawa baada ya kupatia idadi ya mipira...

Habari Mchanganyiko

Kamati yaomba miradi ya maendeleo iliyozuiwa kurudishwa Ngorongoro

KAMATI ya kukusanya mapendekezo ya wananchi na wadau juu ya kumaliza mgogoro wa ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha, imeiomba Serikali irudishe...

Habari Mchanganyiko

Dangote kuzalisha sukari Tanzania

  BILIONEA wa Nigeria, Aliko Dangote, anatarajiwa kuanza uwekezaji katika sekta ya sukari nchini Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

UWT wampongeza Rais Samia, wamlilia mbunge

UONGOZI wa Wanawake Tanzania (UWT) wametoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan kwa ubunifu wake wa kuzindua filamu ya...

Habari Mchanganyiko

Mgodi wa Barrick wapigwa faini bilioni moja uchafuzi wa mazingira Mara

KAMPUNI ya Uchimbaji Mkubwa wa Madini ya Dhahabu wa Barrick kupitia mgodi wake wa Barrick North Mara umepigwa faini ya shilingi bilioni moja...

Habari Mchanganyiko

Vodacom, Smart Lab kutumia Mil 500 kuwapa shavu wajasiriamali

  KAMPUNI ya ya Mawasiliano ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania pamoja na Smart Lab imezindua mpango maalam wa kuwawezesha wajasiriamali wadogo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wanaohama Ngorongoro: Majaliwa atoa maagizo wizara 4

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka wizara ya maliasili na utalii kuendelea kusimamia kwa ukaribu na kuhakikisha shughuli za ujenzi katika...

HabariTangulizi

Mbuge aliyefariki kuagwa bungeni J5, kuzikwa Ijumaa Rukwa

  MWILI wa aliyekuwa Mbunge Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Rukwa nchini Tanzania, Irene Ndyamkama, utazikwa mkoani Rukwa, Ijumaa ya tarehe 29 Aprili...

Habari Mchanganyiko

NMB yafuturisha wabunge, Spika Tulia akunwa na mikopo maalum

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson ameipongeza Benki ya NMB kwa hafla ya Iftari ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani iliyowaandalia...

Habari za Siasa

Mbunge amnyooshea kidole DC Nkasi

  MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (Chadema) amesema iwapo serikali haitachukua hatua za kumuonya mkuu wa wilaya ya Nkasi dhidi ya matumizi...

Habari za SiasaMpya

Mbunge viti maalum CCM afariki

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum,CCM, Irene Alex Ndyamkama ambaye...

Biashara

Benki ya Exim yafuturisha wateja wake Tanga

IKIWA ni muendelezo wa utaratibu wake wa kuandaa futari kwa ajili ya wateja na wadau wake katika mikoa mbalimbali nchini kipindi hiki cha...

Habari Mchanganyiko

Maandalizi sensa ya watu na makazi yamekamilika kwa asilimia 80

SERIKALI imesema Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu yamefikia hatua ya asilimia 80. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana awaonya wanaosaka uongozi kwa fedha CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi-Bara nchini Tanzania, Abdulrahman Kinana amesema wanachama wanaotafuta uongozi ndani ya chama hicho kwa kutumia fedha, hawana nafasi...

MichezoNgumi

Tyson Fury amtwanga Dillian Whyte

BINGWA wa masumbwi, Tyson Fury alimemtandika kwa KO mbabe mwenzie Dillian Whyte katika raundi ya sita na kutwaa taji lake la uzito wa...

Kimataifa

Drogba abwagwa urais Ivory Coast

  MFUMANIA nyavu wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba amebwagwa kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Shirikisho...

Habari za Siasa

Chongolo ateta na bodaboda, bajaji

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewaahidi vijana 26 wa shina la namba tano la kata Kilimani mkoani Dodoma...

Habari Mchanganyiko

TRC kufanya majaribio SGR Dar-Moro, yatahadharisha wananchi

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), linatarajia kuanza majaribio ya mifumo ya umeme wenye ukubwa wa Volti 25,000, kwenye njia ya Reli ya Kisasa...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Warioba ataja mambo 7 yaliyompa heshima Nyerere

JAJI Mstaafu Joseph Warioba ametaja mambo saba yaliyompa heshima Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na kusisitiza kuwa kiongozi huyo alikataa kuitwa...

Makala & UchambuziMichezo

Wachezaji Simba onesheni ukubwa

WEKUNDU wa Msimbazi, Timu ya Simba kesho inacheza mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watetezi haki za binadamu wafungua kesi ya dhamana kwa Madeleka

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), wamefungua kesi ya kuomba...

Habari za Siasa

Majaliwa: Hakuna wakupinga Tanzania ilikuwa kinara ukombozi Afrika

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hakuna wa kupinga kluwa Tanzania chini ya uongozi wa Hayati Mwl. Julius Nyerere, ilikuwa kinara wa ukombozi wa...

Habari Mchanganyiko

Rais Dk.Mwinyi: Mwalimu Nyerere alisisitiza umuhimu wa siasa kujenga uchumi

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amesema Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alisisitiza umuhimu wa siasa katika kujenga uchumi unaojitegemea na matumizi...

Habari za Siasa

Kinana awaachia maswali Watanzania kuhusu Mwalimu Nyerere

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania wajiulize kwa nini Tanzania inaendelea kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius...

Habari MchanganyikoTangulizi

MGOGORO KKKT: Siri zaidi zafichuka, Askofu Shoo, Malasula …

  KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde, limemtaka Msajili wa Jumuiya za Kiraia nchini, kuacha “kuingilia mambo ya ndani...

Habari

Lissu amshauri Rais Samia ang’oe vigogo wa awamu ya tano

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, awaondoe madarakani viongozi wa umma hasa wa vyombo vya ulinzi...

HabariMichezo

Simba yawasili Afrika kusini, walia kunyimwa Askari

  KLABU ya Simba imewasili salama nchini Afrika Kusini kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates, huku wakilalamika kuwa wenyeji...

HabariTangulizi

Kina Mdee wabakiza siku 20 bungeni

  HATIMA ya Halima Mdee na wenzake 18 kuendelea kuwa wabunge wa viti maalumu itajulikana tarehe 11 Mei 2022, wajumbe wa Baraza Kuu...

Habari

Vigogo NMB watembelea Bunge Dodoma

  VIONGOZI mbalimbali wa Benki ya NMB nchini Tanzania wakiongozwa na Afisa Mkuu wa wateja binafsi na Biashara wa benki ya NMB, Filbert Mponzi...

Biashara

NMB yatangaza ufadhili wa wanafunzi 2022

BENKI ya NMB nchini Tanzania inatarajia kutoa ufadhili kwa wanafunzi 200 ambapo wanafunzi 150 ni wa kidato cha tano na sita huku 50...

Biashara

Benki ya Exim yafuturisha wateja wake Zanzibar

KATIKA kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Benki ya Exim Tanzania imefuturisha wateja wake visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hafla ya futari...

Habari za Siasa

Matamko ya mali viongozi 46 yakutwa na dosari

  KATI ya matamko 425 ya mali na madeni ya viongozi wa umma yaliohakikiwa, asilimia 11 (sawa na matamko 46) yalibainika kuwa na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mchina ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuwachapa wafanyakazi viboko

MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wa China kwa mashtaka ya mateso aliyowafanyia wanaume wanne aliokuwa akiwachapa huku wakiwa...

Habari Mchanganyiko

Familia Padri aliyefariki Dar, yafunguka

FAMILIA ya aliyekuwa Mkuu wa Wamisionari Afrika nchini Tanzania, Padri Francis Kangwa, imesema imepokea kifo chake kwa kuwa ni baraka na kwamba wanasherehekea...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa kesi 147 za rushwa waachiwa huru

  SERIKALI imesema watuhumiwa wa kesi 147 za rushwa wameachiwa huru baada ya kutopatikana na hatia katika kipindi cha mwaka mmoja. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yapanda kwa nafasi saba hali ya rushwa

TANZANIA imepanda imepanda kwa nafasi 7 katika vipimo vya nchi zenye rushwa kutoka nafasi ya 94 mwaka 2020 hadi nafasi ya 87 mwaka...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Ruwa’ichi: Uchunguzi unaendelea kifo cha Padri Dar

ASKOFU Mkuu Yuda Thaddeus Ruwa’ichi, wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, amesema uchunguzi dhidi ya chanzo cha kifo cha aliyekuwa Mkuu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bashungwa amuagiza Makala kusitisha zuio la bajaji, bodaboda Dar

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

Habari Mchanganyiko

Wataka utafiti kubaini athari rushwa ya ngono kwa wanahabari

WADAU wa vyombo vya habari nchini Tanzania wameshauri utafiti ufanyike kuhusu hali ya unyanyasaji wa kingono mahali pa kazi, ili kujua ukubwa wa...

error: Content is protected !!