VIONGOZI mbalimbali wa Benki ya NMB nchini Tanzania wakiongozwa na Afisa Mkuu wa wateja binafsi na Biashara wa benki ya NMB, Filbert Mponzi wametembelea na kujionea vikao vya Bunge la nchi hiyo vinavyofanyika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea)
Mponzi na wenzake wametembelea leo Ijumaa tarehe 21 Aprili 2022 jijini Dodoma na kupata fursa ya kutambulishwa bungeni humo na Spika Tulia Ackson na kuibua shangwe kutoka kwa wabunge kuwashangilia pindi walipotambilishwa.
Mara baada ya kutambulishwa, ujumbe huo wa NMB ukiongozwa na Mponzi ulipata fursa ya kuzungumza na Spika Tulia.
Leave a comment