Tuesday , 30 April 2024

Month: April 2021

Michezo

Yanga yaipiga Prisons, yatinga robo fainali

  USHINDI wa bao 1-0, limewatosha kuifanya Yanga, kutinga hatua ya robo fainali ya michuano Kombe la Shirikisho (FA Cup) dhidi ya Tanzania...

Habari za Siasa

Watumishi 99 wadai milioni 300, Silinde atoa maagizo

  NASHON Bidyanguze, Mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), amehoji lini watumishi waliohamishiwa halmashauri ya Uvinza kutoka Kigoma Vijijini watalipwa stahiki zao. Anaripoti Jemima...

Habari Mchanganyiko

Milioni 50 zamkamatishwa mfanyakazi Takukuru

  ZAINABU Mohamed Jabir, mtumishi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), amekamatwa kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya...

Elimu

Bilioni 7.15 kutatua tatizo la madawati shule za msingi

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh.7.15 bilioni, kwa ajili ya kutengeneza madawati 710,000 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 yatakayotumika shule za msingi. Anaripoti...

MichezoTangulizi

Simba dhidi ya Kaizer Chiefs, robo fainali Ligi ya Mabingwa CAF

  KLABU ya Simba imepangwa kucheza na Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya...

Habari Mchanganyiko

JKT yawarejesha kambini vijana wa kujitolea

  MKUU wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge, amewarejesha katika mafunzo, vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa kujitolea kwa...

Michezo

Orlando vs Raja Casablanca, Robo fainali Shirikisho CAF

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepanga droo ya hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambapo Orlando Pirates kutoka...

Habari za SiasaTangulizi

CCM kufumuliwa upya

  SAMIA Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, amesema atashirikiana na viongozi wa chama hicho, kupitia upya sera na miongozo...

HabariHabari za Siasa

Chongolo amrithi Dk. Bashiru CCM, Shaka…

  DANIEL Chongolo, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, amethibitishwa na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Habari za Siasa

Samia aota uchaguzi mkuu 2025

  MWENYEKITI mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho, kutekeleza vyema Ilani ya Uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Nyalandu, Mathew wajiunga CCM, Rais Samia asema…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata pigo baada ya kuondokewa na wenyeviti wawili wa kanda na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

HabariHabari za Siasa

Majaliwa ajitosa ukaguzi mgodi Mirerani

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali imepokea na itayafanyia kazi malalamiko ya wabunge juu ya utaratibu wa ukaguzi unaofanywa kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Samia aweka rekodi mpya CCM

  WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamemchagua kwa asilimia 100, Rais Samia Suluhu Hassan, kuwa Mwenyekiti wa chama...

Habari za Siasa

Wajumbe asilimia 99 CCM watinga Dodoma

  JUMLA ya wanachama wa 1,862 Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho, wamehudhuria mkutano huo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Samia kupenya uenyekiti CCM? Mangula apambana

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Phillip Mangula, amewaomba wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa chama hicho, kumchagua Rais...

Habari Mchanganyiko

COVID-19: India inazama, Tanzania yasisitiza umakini

  WAKATI Taifa la India likizama katika maambukizi ya virusi ya corona (COVID-19), na kushika namba moja duniani, Serikali ya Tanzania imesisitiza wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

CCM: JPM amekiacha chama pazuri

  KAIMU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rodrick Mpogolo, amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Hayati Dk. John Magufuli, amekiwezesha chama...

Michezo

Man U yaipiga Roma 6-2, Arsenal yapigwa

  MANCHESTER United ya Uingereza, imetoa kipigo cha ‘mbwa koko’ cha 6-2 kwa As Roma ya Italia, katika mchezo wa nusu fainali ya...

Michezo

Barcelona yajikwaa La Liga, timu nne…

  FC Barecelona imejikuta ikipoteza pointi tatu muhimu, katika Uwanja wake wa nyumbani “Camp Nou” kwa kukubali kipigo cha 2-1 kutoka kwa Granada....

Michezo

Simba yambakisha Kapombe

  MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba ya jijini Dar es Salaam, imemwongezea mkataba beki wake kisiki, Shomari Kapombe. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Samia apitishwa 100% kugombea uenyekiti CCM

  HALMASHAURI Kuu ya chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM), nchini Tanzania, imempitisha kwa asilimia 100, mjumbe wa kamati kuu ambaye ni Rais,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kigwangalla atiwa matatani tena

  WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, ametengua uamuzi wa mtangulizi wake, Dk. Hamis Kigwangalla, wa kufuta umiliki wa kitalu cha...

Michezo

Yanga kumbakisha Metacha, kumpa mkataba mnono

  IKIWA msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaelekea mwishoni na klabu mbalimbali zimeanza kufanya mandalizi ya usajili, klabu ya Yanga ipo kwenye...

Kimataifa

Vibaka waiba kengele ya kanisa yenye kilo 500

  KANISA la Bikira Maria la Orthodox, lililopo Ngecha, Kiambu Kaskazini mwa Mji Mkuu wa Kenya, Nairobi limelalamika kuibiwa kengele yake ya shaba...

Habari za Siasa

Ripoti ya CAG: Ukwapuzi mabilioni TEITI yadaiwa bungeni

  TAARIFA ya uchunguzi maalumu wa upotevu wa fedha kiasi cha Sh. 90 Bilioni, aliyonayo Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), inadaiwa...

Habari Mchanganyiko

Serikali kujenga mabwawa 88

  BWAWA la Choma cha Nkola lipo katika Kijiji cha Choma, Kata ya Choma iliyopo Wilaya ya Igunga, Tabora lina uwezo wa kutunza...

Habari za Siasa

Msukuma amtuhumu RC Geita, wenzake kujilipa posho milioni 600

  MBUNGE wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Msukuma amesema, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel na timu yake wamejilipa Sh.600 milioni, fedha...

Michezo

Uwanja wa Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kujulikana kesho

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kesho tarehe 30 Aprili 2021 itatangaza Uwanja utakaopigwa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa...

Habari za Siasa

Serikali kununua vifaa tiba vya Mil 500 Busega

  SERIKALI imetenga Sh. 500 Milioni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali ya Busega, Simiyu. Anaripoti Jemima Samwel DMC …...

Habari Mchanganyiko

Bil 278.8 zatengwa kumaliza marufiko Mto Msimbazi

  SERIKALI imeeleza itatumia Dola za Marekani milioni 120 (Sh. 278.8 Bil), kwa ajili ya kutatua changamoto ya mafuriko yanayotokana na Bonde la...

Kimataifa

COVID-19: Magogo ya kuchomea watu India yaadimika

  IDADI kubwa ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona (COVID – 19), nchini India, imesababisha uhaba wa magogo ya kuchomea watu. Inaripoti...

Habari za Siasa

Bunge latuhumu mabaraza ya kata

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, imeshauri Mabaraza ya Kata yaunganishwe kwenye mfumo wa mahakama, ili kudhibiti mianya ya rushwa. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Muswada sheria uvunaji viungo vya binadamu kutua bungeni

  SERIKALI ya Tanzania imesema, inaandaa muswada wa sheria ya uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo vya binadamu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

MichezoTangulizi

Bocco nae asalia Simba, asaini mkataba mpya

  UONGOZI wa klabu ya Simba umemalizana na nahodha wa kikosi hiko John Bocco kwa kumsainisha mkataba mpya mara baada yaw a awali...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Kabudi avunja ukimya sakata Masheikh wa Uamsho

  PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Katiba na Sheria, amewataka Watanzania kutoingilia kati sakata la Masheikh 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara...

Michezo

Simba yambakisha Tshabalala

Baada ya tetesi nyingi hatimaye klabu ya Simba imemuongezea mkataba beki wake wa kushoto Mohammed Hussen ‘Tshabalala’. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam...

Michezo

Kapombe azigonganisha Simba, Yanga atengewa Mil 180

  KUFUATIA taarifa za beki wa kulia wa Simba, Shomary Kapombe kutaka kutimkia Yanga, baada ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu uongozi...

Habari za Siasa

Kesi za madai, Serikali ya Tanzania yaokoa bilioni 132

  SERIKALI ya Tanzania, imeokoa Sh.132.24 bilioni, baada ya kushinda kesi mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Afya

Dk. Gwajima: Marufuku kuwauzia kina mama kadi za kliniki

  WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amepiga marufuku utaratibu wa kuwauzia kadi za kliniki wajawazito....

Habari za Siasa

Mbunge CCM alia ukata vituo vya Afya Segerea

  BONNA Kamoli, Mbunge wa Segerea, jijini Dar es Salaam (CCM), ameihoji Serikali, lini itaongeza vituo vya afya katika jimbo hilo, ili kuondoa...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yaanza safari kumpata mrithi wa Magufuli

  SAFARI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumpata mwenyekiti mpya wa chama hicho, imeanza rasmi jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Tumieni mbinu mbadala kujilinda na wanyamapori- Serikali

  WIZARA ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania, imewahimiza wananchi walio karibu na hifadhi za wanyamapori, kutumia mbinu mbadala ili kuwadhibiti wasiingie kwenye...

Michezo

Namungo kukamilisha ratiba dhidi ya Pyramids

  KIKOSI cha Namungo FC leo kitashuka dimbani kwenye mchezo wa kukamilisha hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids...

Michezo

Sare dhidi ya Chelsea, Zidane kuchukua maamuzi magumu

  BAADA ya kutoka sare ya mabao 1-1, kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Chelsea,...

Michezo

Chama hashikiki VPL

  KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amekuwa na msimu bora mpaka sasa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuhusika katika mabao 20...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema aibana Serikali bungeni

  AIDA Khenani, Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amehoji lini Serikali itapeleka fedha jimboni humo, kwa ajili...

Habari Mchanganyiko

Selikali yaanza kutekeleza yaliyoachwa Hayati Magufuli

  SERIKALI ya Tanzania, chini ya Rais Samia Suluhu Hassani, imeanza kutekeleza ahadi zote zilizoachwa na mtangulizi wake, Hayati John Pombe Magufuli. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ahoji ahadi ya Hayati Magufuli, ajibiwa

  SERIKALI imepanga kuendeleza ujenzi na matengenezo ya barabara nchini ikiwemo Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, kadri ya upatikanaji wa fedha. anaripoti Jemima Samwel...

Habari Mchanganyiko

Bunge lahofia ukame, Spika atoa agizo

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge, Viwanda, Biashara na Mazingira, limeonya uwezekano wa kutokea ukame nchini Tanzania, kufuatia kukithiri kwa vitendo vya ukataji...

Habari Mchanganyiko

Tanzania inavyotatua matatizo ya wakimbizi

  SERIKALI ya Tanzania imesema, jitihada zinaendelea kufanyika ili kumaliza tatizo la wakimbizi nchini humo kwa kuwarejesha makwao kwa kushirikiana na Jumuiya za...

error: Content is protected !!