Sunday , 19 May 2024

Month: May 2022

Habari Mchanganyiko

TBL, Vodacom wazindua mfumo wa malipo kwa wakulima ‘BanQu’

KAMPUNI ya Bia ya Tanzania (TBL) kwa kushirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania amezindua mfumo wa malipo...

Habari za Siasa

Ummy Mwalimu: Marufuku shisha, ugoro inakuja

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ameiagiza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kufanya tathmini ya kina kuhusu matumizi ya shisha, ugoro...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu anayetuhumiwa ubakaji, ulawiti wanafunzi apandishwa kortini

  MWALIMU wa Shule ya Msingi Global International School iliyipo Vijana Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Daniel Chacha Magere (26) amefikishwa...

Kimataifa

EU kuacha kuagiza 90% ya mafuta Urusi

  VIONGOZI wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wamekubaliana kupiga marufuku uingizaji wa hadi theluthi mbili ya mafuta kutoka Urusi ifikapo mwishoni mwa...

Kimataifa

Canada kupiga marufuku umiliki wa bastola

  WAZIRI Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema serikali yake itapeleka muswada bungeni kuweka zuio la nchi nzima kwa watu kumiliki bastola pamoja...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia: Niombeeni nikidhi matamanio ya Watanzania

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amewaomba viongozi wa dini waendelee kuiombea Serikali ili aendelee kuongoza kwa uadilifu, haki pamoja na kukidhi matamanio ya...

MichezoTangulizi

Simba yaachana na Pablo

  MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, klabu ya soka ya Simba imeachana rasmi na kocha wake Pablo Franco Martni mara...

Habari Mchanganyiko

Askofu Shoo alilia amani, upendo Tanzania

  MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, ametoa mwito kwa Watanzania kuwa na imani thabiti badala ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hukumu ya Sabaya yapigwa kalenda, sababu yatajwa

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania imeahirisha kutoa hukumu ya kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro,...

Habari za Siasa

Sensa 2022: Majaliwa awapa majukumu wabunge

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wabunge wawaelimishe na wawahamasishe wananchi wajitokeza na washiriki katika Sensa ya Watu na Makazi ikiwa...

HabariHabari za Siasa

Chongolo awapa ujumbe viongozi wote wa CCM

KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongoloamewataka viongozi ngazi zote nchini kuhakikisha wanashiriki vikao vya mashina ili...

Habari Mchanganyiko

NMB yawaita wafanyabiashara kuchangamkia fursa miradi ya kimkakati

BENKI ya NMB nchini Tanzania imesema ipo tayari kutoa fedha kuwezesha wafanyabisahara wakubwa, wakati na wadogo kuchangamkia fursa kwenye miradi mbalimbali ya kimkakati...

Habari Mchanganyiko

Vibanda 453 vyateketekea kwa moto Soko la Vetenari

SOKO la Vetenari, lililoko wilayani Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam, limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Jumatatu, huku taarifa za awali...

Habari Mchanganyiko

Mbarawa akagua barabara VETA-Uhasibu, atoa darasa kwa madereva

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amewataka madereva kutumia barabara ya juu ya Veta Chang’ombe na Uhasibu kwa kufuata sheria za...

Habari za Siasa

Mbunge ashauri watuhumiwa wa ukatili wasipewe dhamana mahakamani

MBUNGE Viti Maalum, Christine Mzava, ameishauri Serikali iwashughulikie watu wanaofanya ukatili wa kijinsia, kama inavyowashughulikia watuhumiwa wa uhujumu uchumi, kwa kuwanyima dhamana mahakamani,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hii hapa mikoa mitano kinara kwa ukeketaji

SERIKALI ya Tanzania, imesema inaendelea kutoa afua za kutokomeza ukeketaji katika mikoa mitano yenye takwimu za juu, ikiongozwa na Manyara yenye asilimia 58...

Habari Mchanganyiko

Dk. Gwajima alia na uhaba wa maafisa ustawi wa jamii

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amesema wizara yake ina uhaba wa maafisa maendeleo ya jamii...

Habari Mchanganyiko

Ekari 140 zatengwa ujenzi soko la kimataifa mpakani mwa Tanzania, Kenya

SERIKALI kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Moshi imetenga eneo lenye ukubwa wa ekari 140 katika eneo la Lokolova kwa ajili ya ujenzi wa...

AfyaHabari

Kiwanda cha Dawa Kairuki chapongezwa, SADC yatajwa

KAMATI Afya ya Bunge la Zambia imepongeza uwekezaji wa wazawa wa Kiwanda cha Kutengeneza Dawa cha Kairuki nchini Tanzania wakisema ni njia ya...

Habari Mchanganyiko

Flaviana Matata Foundation, Marie Stopes yaamsha ari matumizi ya taulo za kike kipindi cha hedhi

MWANAMITINDO maarufu nchini Tanzania, Flaviana Matata kwa kushirikiana na Taasisi MarieStopes Tanzania wameitaka jamii kuamini hedhi iwe kama moja ya maisha ya kawaida...

Habari Mchanganyiko

Mfumo kuchakata majitaka wa DUWASA wamkosha katibu mkuu

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania, Mary Maganga ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kwa kuwa...

HabariHabari Mchanganyiko

Pollicy wazindua mtaala wa ‘Vote Women’ kuwapiga msasa madiwani wanawake kukabili ukatili mitandaoni

KATIKA kuwajengea uwezo wanasiasa wanawake kuhusu matumizi sahihi ya majukwaa ya mitandaoni, Shirika la Pollicy limezindua mtaala unaofahamika kwa jina la ‘Vote Women’...

AfyaHabari

Katibu mkuu afya ashauri Mganga mkuu wilaya Kigoma atumbuliwe

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameshauri kuondolewa kwa Mganga Mkuu wa  Wilaya Kigoma kutokana na kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha...

Habari za SiasaTangulizi

Katibu Mkuu NCCR Mageuzi amvaa Mbatia, ashusha shutuma nzito

MGOGORO ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi umeendelea kufukuta baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Martha Chiomba kuibua na kudai maisha yake...

Habari Mchanganyiko

Bosi NMB ashinda tuzo ya Mkurugenzi Mtendaji Bora wa Kibenki Afrika 2022

AFISA Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna ametangazwa kuwa mshindi wa kipengele cha Afisa Mtendaji Mkuu Bora Africa kwa Mwaka 2022...

Habari Mchanganyiko

Bashungwa aagiza nafasi za kukaimu zijazwe

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amewaelekeza Katibu Mkuu, Utumishi na TAMISEMI kufanya maamuzi...

Burudika

Kwaya ya MT. Kizito ziarani nchini Kenya

KWAYA ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makuburi, Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam, inatarajia kufanya ziara ya kitume nchini Kenya...

Habari Mchanganyiko

Benki ya Exim Yakabidhi Msaada wa Madawati 100 Shinyanga

BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,  Sophia Mjema...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chongolo awapa ujumbe wa matumiani wakumila tumbaku

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka wananchi wa Mkoa wa Shinyanga na maeneo mengine kuchangamkia kilimo cha tumbaku...

Habari Mchanganyiko

Chongolo atoa siku 60 kwa MSD kupeleka vifaatiba hospitali Ushetu

  KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameitaka Serikali ichukue hatua za haraka na ndani ya miezi miwili ya Bohari ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yafadhili wiki ya unywaji maziwa Katavi

  BENKI ya NMB nchini Tanzania imekabidhi tisheti 300 kwa uongozi wa Mkoa wa Katavi zitakazotumika katika maadhimisho ya wiki ya unywaji maziwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

#LIVE: Tuzo za EJAT2021, Majaliwa atoa ujumbe kwa MCT

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amelitaka Baraza la Habari Tanzania (MCT), kusimamia vyema vyombo vya habari ili vitekeleze majukumu yake kwa...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wataka chombo huru usimamizi Hifadhi ya Ngorongoro

  KAMATI ya kutafuta suluhu za mgogoro wa ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro nchini Tanzania imeshauri kiundwe chombo maalumu kitakachosimamia, ratibu na kudhibiti...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa viwanda 10 viendelezwe, yawapa siku 21

  SERIKALI ya Tanzania kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina imekabidhi kwa taasisi nne viwanda 10 ambavyo wawekezaji wake walishindwa kuviendeleza kulingana na...

Habari Mchanganyiko

Uchaguzi TLS: Mtobesya atoa ujumbe

  SAA chache kupita tangu Profesa Edward Hoseah kutangzwa mshindi wa urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jeremiah Mtobesya ametoa ujumbe wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu apokea maoni ya wakazi wa Ngorongoro

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa jana tarehe 25 Mei, 2022 amepokea mapendekezo kutoka kwa wananchi wa Tarafa za Loliondo, Ngorongoro na Sale kuhusu namna...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ni Profesa Hoseah tena TLS

  PROFESA Edward Hoseah kwa mara nyingine amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea) Ni...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Gwajima: Viongozi wa Serikali wanamchonganisha Rais

  MBUNGE wa Kawe, Askofu Dk. Josephat Gwajima amesema baadhi ya viongozi wa serikali badala ya kutatua migogoro ya ardhi wanachochea migogoro hiyo...

Habari Mchanganyiko

BRELA watangaza operesheni maalum, kufuta kampuni 5,000

  WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (BRELA), imetangaza kusudio la kufanya operesheni endelevu ya kuzifuta kampuni zinazokiuka sheria, ambapo zaidi...

Habari za Siasa

Rais Samia apandisha viwango vya posho

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amepandisha viwango vya posho ya kujikimu katika safari za ndani za watumishi wa umma, pamoja na malipo ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yapiga tafu milioni 20 kinara wa ubunifu UDSM

BENKI ya NMB nchini Tanzania, imekabidhi mfano wa hundi ya Sh.20   milioni kwa kinara wa ubunifu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...

AfyaHabari

Milioni 250 tozo za simu zajenga kituo cha Afya – Misha

TOZO za miamala ya simu iliyoanza kutozwa mwaka jana, imeendelea kuwafaidisha Watanzania ikiwamo wananchi 7000 wa Kata ya Misha mkoani Tabora baada ya...

Tangulizi

Naibu Spika awapongeza wabunge Mwambe, Rose kuoana, awapa darasa

  NAIBU Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu leo tarehe 27 Mei, 2022 amewapongeza wabunge Cecil Mwamba na Rose Tweve wote kutoka Chama...

Habari Mchanganyiko

Huduma ya Teleza Kidigitali yazinduliwa Morogoro

BENKI ya NMB nchini Tanzania, imezindua huduma ya Teleza Kidigitali na NMB MshikoFasta yenye lengo la kumuwezesha mteja kufungua akaunti mara moja na...

HabariHabari za Siasa

Msukuma: Mbowe alipa-miss Ikulu

MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma (CCM) amesema sio wanawake tu wanaofurahia utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan bali hata wanaume wanamfurahia. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Taasisi yaanzisha mafunzo kuwanoa wadau wa mawasiliano nchini

TAASISI mpya ya Mahusiano na Mawasiliano ya Umma nchini Tanzania (IPRT) imetangaza hatua kutoa mafunzo kuhusu mawasiliano ya kimkakati mahususi kwa watendaji wakuu,...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge upinzani, CCM waungana kumpongeza Rais Samia

  BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 26 Mei, 2022 limeazimia kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutajwa kuwa miongoni...

Habari Mchanganyiko

GGML yatoa msaada wa magari manne VETA Mwanza

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa msaada wa magari manne aina ya Toyota Land Cruiser kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo...

Habari Mchanganyiko

Sauda awa mwanamke wa pili kuwa Naibu Gavana BoT

  RAIS wa Tanzania amemteua Sauda Kassim Msemo kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Dk. Mollel naye aagizwa kujibu maswali kwa ukamilifu

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amemuagiza Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel kujibu tena swali la msingi na maswali ya...

error: Content is protected !!