MTOTO aliyejulikana kwa jina la Tofa Simchimba (5) mkazi wa kijiji cha Chizumbi kata ya Ukwile wilayani Mbozi mkoani Songwe, anadaiwa kuuawa...
By Mwandishi WetuMay 6, 2022WAZIRI wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Dk. Ashatu Kijaji amesema Serikai imefanya tathimini ya upandaji wa bei za bidhaa nchini na kuchukua hatua...
By Mwandishi WetuMay 6, 2022BALOZI wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Austria, Alexander Van der Bellen, leo...
By Gabriel MushiMay 5, 2022NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk leo tarehe 5 Mei, 2022 amempokea Katibu Mkuu...
By Gabriel MushiMay 5, 2022SERIKALI imetangaza nafasi za kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa ya mwaka 2022 itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya baadhi ya maafisa ununuzi wa umma kukubali zabuni za watoa huduma zenye bei...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022Kampuni ya vinjwaji Baridi ya Coca Cola kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA), linatarajia kulileta nchini kombe la Dunia...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, amesema jumla ya makosa makubwa 39,182 yameripotiwa katika vituo vya polisi katika kipindi cha...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeweka kipaumbele kwa mafunzo na ununuzi wa sare za askari ambapo jumla ya Sh 34.7...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania imetoa T-shirt 800 kwa Wizara ya Fedha na Mipango kwa ajili ya wiki ya Manunuzi ya Umma nchini...
By Gabriel MushiMay 5, 2022WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameishauri Serikali kuondoa tozo zisizo na athari katika miradi muhimu kwa wananchi pamoja...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022KATIKA utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya mwaka 2021/2022 Wizara ya Mambo, Serikali imelipatia jeshi la polisi helkopta moja kwaajili ya kutekeleza...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022SERIKALI ya Tanzania imeongeza siku nne zaidi kwa waombaji wa ajira za ualimu na afya kutoka jana Jumatano tarehe 4 hadi 8...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022MKUTANO wa saba kikao cha 16 cha Bunge la Tanzania leo Alhamisi kumesimamisha shughuli zake za kawaida na kuanza kujadili kupanda kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala zitakazopunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022BENKI ya NMB Tanzania imetoa Sh.25 milioni kwa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa lengo la kufadhiri siku ya uhuru wa vyombo vya...
By Gabriel MushiMay 4, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inawachukulia hatua watu wanaotajwa kufanya ubadhirifu katika ripoti za ukaguzi za Mdhibiti na...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali iondoe tozo ya Sh. 500 kwa kila lita ya mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa,...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022RAIS Samia amesema alinukuliwa vibaya na vyombo vya Habari vilivyosema kwamba alisema hakuwa na maelewano mazuri na Rais John Magufuli kipindi yeye akiwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaangalia hesabu zake kama zinarhusu kupandishwa kwa kima cha chini na mshahara na kusisitiza kuwa watumishi wataendelea kupandishwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kinatarajia kufanya maadhimisho ya kitaifa ya miaka nane ya kuzaliwa kwake, kesho Alhamisi, tarehe 5 Mei 2022, jijini Mwanza....
By Mwandishi WetuMay 4, 2022INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, ameagiza wananchi wanaokataa kulipia huduma ya ulinzi shirikishi (Sungusungu), wachukuliwe hatua za kisheria kwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema wanafunzi zaidi ya 3,000 walioacha masomo kwasababu mbalimbali, wamerejea masomoni baada ya Serikali yake kutoa muongozo wa...
By Regina MkondeMay 4, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amempa siku saba Inspekta Jenerali wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, adhibiti...
By Regina MkondeMay 4, 2022LICHA ya Taifa kupitia changamoto ya ongezeko la bei ya mafuta ya petrol na dizeli inayotokana na ongezeko la bei ya nishati hiyo...
By Gabriel MushiMay 3, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefafanua kuwa baada ya kukutana Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, alipokuwa kwenye ziara nchini humo,...
By Gabriel MushiMay 3, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa habari nchini kuzingatia sheria na kufanya kazi kwa uungwana kwani wakimkorofisha hatowaacha. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Gabriel MushiMay 3, 2022WAZIRI wa Habari Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amewaonya wanahabari wanaokiuka Sheria zilizopo katika utendaji kazi wao. Anaripoti mwandishi Wetu …...
By Gabriel MushiMay 3, 2022MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ameziomba Serikali barani Afrika kuziondolea tozo karatasi za kuchapisha magazeti. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea)...
By Gabriel MushiMay 3, 2022TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (Misa-Tanzania) limebainisha changamoto tano zinazokwaza tasnia ya habari nchini humo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 3, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatakia kheri ya Eid El Fitri Waislamu na Watanzania wote huku akiwataka kusherekea kwa amani na...
By Mwandishi WetuMay 3, 2022KIUNGO mkabaji wa klabu ya Simba Raia wa Mali, Sadio Kanoute hatokuwa sehemu ya kikosi cha klabu ya Simba kitakachoshuka dimbani kwenye...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2022KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (Kamati ya Saa 72), imezipiga faini klabu za Simba na...
By Mwandishi WetuMay 2, 2022LICHA ya kwenda sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa watani wa jadi, uliowakutanisha klabu za Simba na Yanga kwenye dimba la...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2022SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imevutiwa na ushirikiano baina ya Benki ya NMB na Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZTC), ambao umekuwa chachu...
By Gabriel MushiMay 2, 2022KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeibuka mshindi wa jumla katika maonesho ya afya na usalama mahala pa kazi jijini Dodoma. Anaripoti...
By Gabriel MushiMay 2, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki sherehe za Mei Mosi kitaifa jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu Sherehe hizo zimefanyika...
By Gabriel MushiMay 1, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, (NBC Premiere League) jana tarehe...
By Gabriel MushiMay 1, 2022SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) limesema baada ya kufanya tafiti linapendekeza kiwango cha chini cha kumwezesha mfanyakazi kuishi kiwe Sh milioni...
By Gabriel MushiMay 1, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa matumaini ya nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi nchini baada ya kuwadhibitishia kuwa atapandisha kima cha chini cha...
By Gabriel MushiMay 1, 2022CHAMA cha Waajiri Tanzania (ATE) kimesema mrundikano wa kodi zinazotozwa na taasisi mbalimbali za Serikali, umesababisha waajiri kupunguza wafanyakazi. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea)....
By Gabriel MushiMay 1, 2022LEO ni Mei Mosi, sikuu ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa nchini Tanzania inafanyikia Uwanja wa Jamhuri Dodoma na mgeni rasmi ni Rais...
By Mwandishi WetuMay 1, 2022