Friday , 19 April 2024
Home Kitengo Biashara Wiki ya Manunuzi ya Umma: NMB yatoa T-shirt 800
Biashara

Wiki ya Manunuzi ya Umma: NMB yatoa T-shirt 800

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Dismas Prosper akikabidhi T- Shirt 800 zilizotolewa na Benki ya NMB kwa Afisa Ugavi Wizara ya Fedha na Mipango, Hilda Segere kwa ajili ya Wiki ya manunuzi ya Umma itakayofanyia jijini Arusha kuanzia tarehe 5-7. Kulia ni Afisa Habari wa Wizara ya Fedha na Mipango, Saidina Msangi
Spread the love

BENKI ya NMB nchini Tanzania imetoa T-shirt 800 kwa Wizara ya Fedha na Mipango kwa ajili ya wiki ya Manunuzi ya Umma nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea).

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Dismas Prosper akikabidhi T- Shirt zilizotolewa na Benki ya NMB kwa Afisa Ugavi Wizara ya Fedha na Mipango, Hilda Segere kwa ajili ya Wiki ya manunuzi ya Umma itakayofanyia jijini Arusha kuanzia tarehe 5-7. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Clocktower, Emmanuel Kishosha na Kulia ni Afisa Habari wa Wizara ya Fedha na Mipango, Saidina Msangi

Wiki hiyo ya manunuzi yenye kauli mbiu ya ‘Matumizi ya teknolojia katika kubiresha ununuzi wa umma’ imezinduliwa leo Alhamisi tarehe 5-7 Mei 2022 na Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa jijini Arusha.

T-shirt hizo zimekabidhiwa na Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Dismas Prosper kwa Afisa Ugavi Wizara ya Fedha na Mipango, Hilda Segere.

Aidha, kwenye makabidhiano hayo alikuwepo Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Clock tower, Emmanuel Kishosha.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB Pesa Akaunti yawavutia wakaguzi wa ndani Afrika

Spread the loveUbunifu wa bidhaa bora wa Benki ya NMB pamoja na...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Makongo

Spread the love  MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imefika...

BiasharaMakala & Uchambuzi

Kanda ya Ziwa yaonyesha NMB inavyosaidia afya ya mama na mtoto

Spread the loveMafanikio inayozidi kupata Tanzania katika kupunguza vifo vya mama na...

Biashara

Shinda mpaka 1,250,000/= ukicheza shindano la Expanse Kasino

Spread the love  KUBWA zaidi kutoka Meridianbet ni promosheni ya Expanse ambayo...

error: Content is protected !!