Friday , 26 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa #LIVE: MEI MOSI, Rais Samia kupandisha mishahara?
Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: MEI MOSI, Rais Samia kupandisha mishahara?

Spread the love

 

LEO ni Mei Mosi, sikuu ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa nchini Tanzania inafanyikia Uwanja wa Jamhuri Dodoma na mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Ni zaidi ya miaka sita, wafanyakazi wa umma hawajapandishiwa mishahara na Mei Mosi ya mwaka 2021 iliyofanyikia Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, Rais Samia aliahidi nyongeza ya mishahara mwaka huu.

Kauli mbiu ya Mei Mosi 2022 ni; Mishahara na maslahi bora kwa wafanyakazi ndiyo kilio chetu. Kazi iendelee.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Prof. Muhongo akomalia matumizi nishati jadidifu kuondoa uhaba wa umeme

Spread the love  MBUNGE wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo, ameendelea...

Habari za Siasa

Kilosa yawa mfano wa kuigwa miradi ya Mwenge nchini

Spread the love  KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mzava amezitaka...

Habari za SiasaTangulizi

Biteko ataja vipaumbele 7 bajeti nishati 2024/25

Spread the love  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mwekezaji amwaga bil. 39 kujenga viwanda 3 vya uchenjuaji

Spread the loveKampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya...

error: Content is protected !!