Saturday , 15 June 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

BiasharaHabari za Siasa

Tanesco yawasha mtambo namba 8 Bwawa Julius Nyerere

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Samia: Wakuu wa mikoa, wilaya wanaendeleza ubabe

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema bado wakuu wa wilaya na mikoa hawafuati waraka uliotolewa na Serikali unaoelekeza uzingatiaji wa sheria na kanuni katika...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Ramaphosa achaguliwa tena kuwa rais Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amechaguliwa na wabunge wa nchi hiyo kuanza muhula wa pili madarakani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea)....

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

DA, ANC waridhia kuunda serikali ya mseto Afrika Kusini

Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress, ANC, kimefikia makubaliano na chama cha mrengo wa kati cha Democratic Alliance (DA) pamoja...

BiasharaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

Mataifa Afrika Mashariki yawasilisha bajeti 2024/2025 inayolenga kukuza uchumi

Mataifa manne ya Afrika Mashariki jana Alhamisi yamewasilisha bungeni bajeti za mwaka wa fedha unaokuja huku kila taifa likielekeza nguvu kuinua nguvu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Gesi asilia, petroli kodi juu

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta, Sura 220 ili kutoza Sh 382...

Habari za SiasaTangulizi

Bilioni 155.4 kugharamia kicheko cha wastaafu 2022-2030

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amesema jumla ya Sh 155.4 bilioni zinatarajiwa kupungua kwenye mapato ya Serikali kutokana na pendekezo la kufanya...

BiasharaHabari za SiasaTangulizi

Ushuru kwenye bia, urembo kuchangia bima ya afya

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura 147  ili kuelekeza  asilimia mbili  ya mapato...

BiasharaHabari za SiasaTangulizi

Kamari kodi juu kwenda kuchangia bima ya afya

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 10 kwenye thamani ya dau la kamari kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwigulu: Rais Samia amekopa trilioni 17.2

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amesema katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, wamekopa jumla ya Sh 17.2 trilioni kutoka katika...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Samia apandisha kikokotoo kutoka asilimia 33-40

HATIMAYE Serikali imesikia kilio cha wastaafu wa utumishi wa umma kuhusu mabadiliko ya kikokotoo baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza kuongezwa malipo...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Polisi wamtia mbaroni RC wa zamani aliyedaiwa kulawiti

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) Dk Yahya Nawanda kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa Chuo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wafungwa, mahabusu ruksa kupiga kura

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kuwa wafungwa, mahabusu na wanafunzi waliohukumiwa kifungo cha chini ya miezi sita wataruhusiwa kuandikishwa kuwa...

Habari za SiasaKimataifa

IFP wakubali kuungana na ANC kuunda serikali

Chama cha upinzani nchini Afrika Kusini, Inkatha Freedom Party (IFP) kimetangaza kuwa kitashirikiana na chama tawala cha African National Congress (ANC) huku ANC...

BiasharaHabari za Siasa

Prof. Mkumbo: Pato la taifa limefikia trilioni 148

Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mwaka 2023, pato halisi la Taifa lilifikia Sh 148.4 trilioni kutoka Sh 141.2 trilioni...

BiasharaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

Deni la Serikali lafikia trilioni 91

Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia Machi 2024, deni la Serikali lilikuwa Sh 91.7 trilioni ikilinganishwa na Sh...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Dk. Shogo Mlozi afariki dunia

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya kusaidia wanawake na vijana kujikwamua kiuchumi ya FUNGUA TRUST,...

KimataifaTangulizi

Boti yazama DRC, 80 wafariki dunia

JUMLA ya watu 80 wameripotiwa kufariki dunia huko nchini Congo DRC- baada ya boti waliyokuwa wakisaifiri kuzama kwenye mto unaofahamika kwa jina la...

BiasharaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

Marekani yasaka fursa uwekezaji sekta ya nishati Tanzania

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amekutana na Naibu Waziri wa Nishati wa Marekani, David Turk kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RC Chalamila: Wasanii wanamchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa rai kwa wasanii kupitia kazi zao za sanaa kuweka jumbe za matumizi ya...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo wapinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi serikali za mitaa

Chama cha ACT Wazalendo kwa kushirikiana na Asasi za Kiraia kinatarajia kufungua kesi kuzuia hatua za maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wabunge waibana Serikali madeni ya bilioni 285 kwa watumishi

WABUNGE wameita Serikali kuanza kulipa riba ya madeni watumishi wa umma yanayohusu likizo, uhamisho, na kusafirisha mizigo baada ya kustaafu kama inavyofanya kwa...

Habari za Siasa

Biteko: Mahitaji ya umeme yamefikia asilimia 15 kwa mwaka

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko mahitaji ya umeme Tanzania yameongezeka kutoka asilimia 10 hadi 15 kwa mwaka kutokana...

BiasharaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

NMB yamkosha Samia akipokea gawio la bilioni 57.4

Benki ya NMB imetoa gawio la Sh. 57.4 bilioni kwa Serikali ambayo ni kiashiria cha azma ya kuleta tija na faida kubwa kwa...

BiasharaHabari za Siasa

Puma Tanzania watoa gawio la bilioni 12.2 kwa Serikali

KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imetoa gawio la Sh. 12.2 bilioni kwa Serikali na kuahidi kuendelea kuboresha huduma zake ili kufanya vizuri...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Waliopiga kelele mama kauza bandari, faida ni hii

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kupigiwa kelele kuwa ameuza bandari baada ya kuruhusu wawekezaji wawili kwenye bandari ya Dar es Salaam,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mashirika yatoa gawio bilioni 637, Msajili alia hali ni mbaya

MSAJILI wa Hazina, Nehemia Mchechu  amesema hali sio nzuri kwa mashirika na taasisi za umma kwa sababu kati ya mashirika 304, ni mashirika...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chalamila: Lawama ni tamko la laana

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefafanua kauli yake kuhusu watu wanaolalamika kutokuwa na hela katika kipindi hiki cha uongozi...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Makamu Rais Malawi, wengine 9 wafariki kwa ajali ya ndege

Makamu wa Rais wa Malawi, Saulos Chilima pamoja na watu wengine 9 wamefariki katika ajali ya ndege iliyopotea  jana Jumatatu. Inaripoti Mitandao ya...

Habari za SiasaTangulizi

Samia amtumbua RC aliyedaiwa kulawiti mwanafunzi

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Momba, Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chalamila: Kutembea na kamera bila utendaji dalili ya kuchanganyikiwa

Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka watendaji wa mkoa huo kufanya kazi kwa uweledi ili watakapoondoka waache heshima kutokana na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

EU yaahidi kuimwagisa misaada serikali katika nishati safi

Wizara ya Nishati imewatoa hofu wadau wa sekta binafsi kuwa serikali inathamini mchango wa matumizi yote ya nishati safi ya kupikia ikiwemo umeme,...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Afya ya Malisa yaimarika, wakili ataja sababu kuugua ghafla

Wakili wa Mwanaharakati Godlisten Malisa, Hekima Mwasipu amesema chanzo cha ugonjwa wa mteja kuugua ghafla alipokuwa mikononi mwa polisini, ni kutokana na mazingira...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

BVR Kits 6,000 kuboresha daftari la wapiga kura

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imekamilisha maandalizi muhimu kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni pamoja...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Jafo: Miti milioni 266 imepangwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amesema hadi kufikia Machi 2024 miti milioni 266 imepandwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mativila ang’aka miradi ujenzi kutokamilika kwa wakati atoa maagizo

Naibu Katibu Mkuu anayesimamia Miundombinu katika Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza wahandisi washauri wanaosimamia miradi mbalimbali ya miundombinu ya...

AfyaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

Serikali kuajiri watumishi afya 10,112

Katika mwaka 2024/25 Serikali inatarajia kuajiri watumishi wa kada mbalimbali za afya 10,112 ambapo, baada ya taratibu za ajira kukamilika watapangwa kwenye vituo...

ElimuHabari za SiasaTangulizi

Walimu 12,000 kuajiriwa mwaka huu, wa kike kupewa kipaumbele

KATIKA mwaka 2023/2024, Serikali inatarajia kuajiri walimu 12,000 wa masomo mbalimbali wakiwemo wa sayansi ambao watapangiwa vituo vya kazi katika maeneo yenye upungufu...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RITA yaibua ubadhirifu wa bilioni 1 msikiti Mwanza

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini nchini (RITA), imebaini ubadhirifu mkubwa wa kiasi cha Sh bilioni moja katika Msikiti wa Ijumaa uliopo Jijini...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Nchimbi ‘asepa’ na kigogo CUF Tanga, aonya wabadhirifu

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dk. Emanuel Nchimbi ameonya viongozi wa umma wenye tabia za wizi na ubadhirifu wa...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Zitto: Vyama vya siasa haviandai ilani kwa kufuata dira ya Taifa

Mwanasiasa na mwanachama wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema vyama vya siasa vikiwemo vya upinzani haviandai ilani zao kwa kuzingatia vipaumbele vilivyopo kwenye...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Mpango asisitiza Dira 2050 kubeba matamanio ya vijana

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni muhimu itambue mahitaji ya vijana na kubeba  matamanio yao...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wabunge wanawake, Oryx wampa tuzo Rais Samia kuhamasisha nishati safi

WABUNGE wanawake kwa kushirikiana na Kampuni ya Oryx Gas Tanzania wametoa tuzo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kutambua mchango wake katika kuhamasisha...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi Moshi wamng’ang’ania Malisa, wafufua madai ya Waziri Mkenda

WAKILI wa Mwanaharakati Godlisten Malisa, Hekima Mwasipu amesema mteja wake anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za kusambaza taarifa...

Habari za SiasaKimataifa

Sababu Diane kung’olewa uchaguzi Rwanda zatajwa

Mkuu wa Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Rwanda, Oda Gasinzigwa amesema jina la Diane Rwigara (42) ambaye ni kiongozi wa vuguvugu la...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wafuasi ANC waandamana kupinga muungano na DA

Wafuasi wa chama cha African National Congress (ANC) nchini Afrika Kusini, wameandamana jijini Johannesburg, kushinikiza viongozi wao wakatae kuingia katika muungano na chama...

ElimuHabari za Siasa

Ukomo michango wanafunzi kidato cha tano 80,000

SERIKALI imesema ukomo wa michango kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha tano katika shule za sekondari za serikali ni Sh 80,000 kwa shule za...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Biteko aiagiza Tanesco kujenga laini mpya ya umeme Ushirombo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kujenga laini mpya ya umeme kutoka Nyakanazi-Ushirombo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RC Chalamila aonya wanafunzi elimu ya juu kuacha kulalamika

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wanafunzi vyuo vikuu kuachana na utamaduni wa kulalamika, badala yake wawe mabalozi wazuri...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yaivaa Chadema

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekituhymu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kutumia mikutano ya hadhara kutoa hotuba za kuchochea vurugu na umwagaji...

error: Content is protected !!